Peniela (Story ya kijasusi)

Shikamoo inaoneka we ni babu
 
Nakubaliana na ww kwa sababu naona methew hana mpango wa kumtafuna Anitha pamoja na ukaribu wao
Ndio utakapoyakubali maandiko mapenzi na kazi vitu viwili tofauti.
Kama kwa "Samson na Delila"
 
Captein amos ni double agent aisee...!!....selikarini yumo.na sc 41 kunamuhusu pia....wapi ndipo anatumikia kwa uaminifu....???...
Yes ni Double Agent but i believe yuko kwa Deus Zaidi....hopeful.Thats how i think sema pesa ni mwanaharam bwana
 
Mathew Kiboko alimbana mtu ngunguri kama John akaongea dah jamaa nomaa alafu anaconfidence ya kufa mtu.
 
Jaji Elibariki anaonekana ana kismati...Penieli kafa kaoza dadadeki.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.....John ni mtu mwema sana bc tu shetani almtawala...me namhurumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…