Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela anaanza kunikera sasa. Yeye kila siku anagongwa na watu tofauti lakini Eli hata haoni wivu
Yeye kamaliza.karibia wahusika wote muhimu wa mission....halafu anajifanya ana wivu na eli kumgonga naomi teja....
Mnafki....halafu nimegundua penny hana/hajawahi kuwa na mapenzi ya kweli ni muongo.....na ana tamaa.... ngoja tuone kama mathew ataingia mzimamzima....... ananiboa hata mie sasa........pauchi imemalizika....hata kama haina makombo kazidi bhana....
 
mida mida wakuu nitabwaga nyingine kama 2 hivi zakulalia

Mkuu Mwandishi Hayuko Fair kbs hata kama Eli alimkosea Paniela lakini anachotaka kukifanya Paniela ni kibaya zaidi binafs nimefura hasira toka nimeanza kusoma hii kitu Hakuna sehem iloniudhi kama hii
Mkuu LEGE hizo hata usipo zileta binafs Sijafurahishwa kbs
 
I knew it...mwandishi alitaka Jaji na Naomi wafumaniwe ili Penny
alipize kwa Mathew....bifu lingine tena litaingia ....BTW wapi wakili Jason[emoji12]
 
I knew it...mwandishi alitaka Jaji na Naomi wafumaniwe ili Penny
alipize kwa Mathew....bifu lingine tena litaingia ....BTW wapi wakili Jason[emoji12]
lkn huyu mtunzi ni watofauti sana unavyofikilia inakuwa tofauti kbs
 
kalelewa na kufundishwa kazi hiyo ikiwa na pamoja kuitumia papuchi yake kukamilisha mission anazokutana nazo
Ukichanganya na uasili wa wanawake uwezo wao wa kuchanganya ukatili na huruma kwa wakati mmoja..... !!.. Mwaulaya aliliona hilo. Ndio maana alimtunza sana.... Na kwa udhaifu wa wanaume na wanawake wazuri... Lazima awe anapata information's sana.....
 
Back
Top Bottom