Peniela (Story ya kijasusi)

Mmmmaaaa...... Mmammmaaa..... Mamaa.. Mako...walahiii.... Elibariki..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]......
 
Anaweza akaibuka hero kwa kufanya ile kitu inaitwa 'to hell', bila ya kujari kama watatambua mchango wake au laah!! Ila yote ni katika kutafuta peace of mind.
Yeye ndiye atakua karata muhimu kwa makundi yote.
No wonder Mathew aka end up kuwa chaguo la Deus.
 
Mhhh
 
Chizibariki yupo under depression, as a normal citizen kwa matukio yaliyomtokea lazima akili ipararalize kidogo. Yaani akili inafumba macho bila ya kukulaza wewe.
Just fikiria, kutoka kutoaminika na kudharirishwa na familia, kunusurika kuuawa, huku ukinshuhudia anayekuokoa akifia juu yako, kufiwa na mkwe huku ukikosa kuhudhuria mazishi, juu ya yote unatafutwa ili uuawe, halafu unapewa kesi ya kumtwanga risasi mkeo, mkeo anafariki, unakosa nafasi ya kumzika, watu wanaokuamini wanakufumania, mpenzi wako anakupiga chini, unahisi kukataliwa, unahisi kudharauliwa....duh, hapo dunia mzigo.
 
wakuu @consgliere, gwijimimi , kisukari, mambo, Daudi1 na stelingi LEGE mwenyewe, heshima mbele (tulivokuwa tunasema JF zamani)

Hii ni bonge la stori yaani, very addictive, mmenitoa kule kwa Danny sa ivi naona kama ile ni mchina orijinal ndo hii, aloo

sasa basi Huyu elibariki, mmembatiza chizi bariki kachafua hali ya hewa sana tu, ila mwishowe bado Mathew na Anitha na peniela watain=buka kidedea kwa mtazamo wangu. huyu rosemary kaingia late lakini naona anatawala balaa sio kwa ukatili ule, ila atakamatwa tu maana Mathew akiwakosa kule akili itamjia kwamba wako kwa rosemary atawafata pale kuwaokoa, au la anitha somehow ataweza kuchomoka pale.

ngoja tuone, mi nikitoka nakuta page kumi zimeenda watu mnacomment balaa, LEGE tupia tu mzigo kila mtu atasoma kwa muda wake bana
 
Duh waliosema "misfortune never come single "walimaanisha umejitahidi kuorodhesha dhahma zote zilizo mtokea jaji ili wadau humu ambao 99%wanamlaumu jaji nao wajaribu kuvaa viatu vyake kama vitawatosha.
Sisi binadamu tuna uwezo tofauti wa kukabiliana na mambo kama methew ingawa wengi tungependa kuwa hivyo.
 
Mkuu LEGE kama utatupia kesho let us know mapemaa ili tusifunguae uzi mpaka muda ufike .lakini kutuweka watu wazima na ndevu zetu yunasihiiinda na kuitaaaaaaa LEGEee not fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…