seeker of knowledge
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 225
- 168
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ww sasa hatareeeAisee nimesoma hii kitu usiku nimeota napambana na risasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ww sasa hatareeeAisee nimesoma hii kitu usiku nimeota napambana na risasi
Ha ha haaaa....yaani mkuu upo tayari kuitosa kwa ajili ya kiinglishi!?Kama ni kwa hiyo lugha, akaenao tu, maana hamna jinsi.
Sasa nitafanyaje mkuu, naunaona "the problem the language even in the white house". Hapa nilipo sina hata hiyo kamusi mkuu, na hata ningekua nayo, basi kuna kukesha nimeshika kamusi badala ya Biblia na episode moja nikajikuta naimaliza mwezi mzima. Mwambie chonde chonde, aendelee kutufanyia utu na u binadamu. Hata kama ni kifurushi tutamtumia.Ha ha haaaa....yaani mkuu upo tayari kuitosa kwa ajili ya kiinglishi!?
Ha ha ha haaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa nitafanyaje mkuu, naunaona "the problem the language even in the white house". Hapa nilipo sina hata hiyo kamusi mkuu, na hata ningekua nayo, basi kuna kukesha nimeshika kamusi badala ya Biblia na episode moja nikajikuta naimaliza mwezi mzima. Mwambie chonde chonde, aendelee kutufanyia utu na u binadamu. Hata kama ni kifurushi tutamtumia.
Hawajaenda mbali sana, hayo matukio yote ni ndani ya siku kama tatu tu hivi.Namtafuta dactari wa jeshi aliishia wapi?
Kwanini msiba wake haujawa inshu serikalini?
Hawajajua adi Leo au
WACHA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA,,,, HII NI ZAIDI YA RIWAYA,, daaah I wish bongo ndio ingekuwa state, kitu kinatolewa ndani series aiseeeh kama nawaona fox na mbc wanavyoigombania .
Na unafanana nayeNimesoma hii Riwaya mpaka nikjiona mm ndo Peniela chaaa!
Hahahaaaa angalia avatar halfu uniambieeNa unafanana naye
Mnafanana kabisaHahahaaaa angalia avatar halfu uniambiee
Umeona eeeMnafanana kabisa
Itabidi mi niwe ElibarikiUmeona eee
Nimesoma hii Riwaya mpaka nikjiona mm ndo Peniela chaaa!