Kipindi John Mwaulsya anawaua wazazi Wa Peniela inaonyesha ilikua in miaka ya 80 mwishoni, mtunzi anatuonyesha mahala kuwa John na baba take Peniela waliwasiliana kwa simu ya mkononi (?), how possible?
Pili kipindi John Mwaulaya akiwa Mdogo (ikumbukwe kuwa hivi sasa in Mzee) aliwahi pewa laku mbili na mwanajeshi kwa kumtafutia mbwa wake aliyekuwa amepotea. Laki mbili miaka ya 1940 au 30? How possible?
Haya ni maeneo nionayo kuwa yanahitaji uboreshwaji katika Hadithi hii.
Otherwise, hii ni bonge la hadithi.