Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

LEGE tunashukuru sanaaa lakini tupatie time zako za kurusha tusishinde tunalia humu
 
WAKUU TUFANYE HIVI 2 KAMILI HAIFIKI NITAKUWA NIMEWEKA MZIGO NA KUIMALIZA KABISA SEASON YA 3.

natamani sana nibwage mzigo uishe lkn mambo yananisonga kidogo lkn sio mbaya maana kwa siku lazima zifike sehem 5 nazaidi. ningesema niweke kila siku sehem 1 tungekesha
 
pouw kaka ht ukianza kbis na season y 4 co vbaya
 
Eti uso kwa uso dr.joshua na chizibariki....coming soon... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... Halafu rose na joshua lao si moja ..!!.. Na rose ndio agent wa deal ya package..... Ila kuna supprise kutoka kwa chizi bariki japo... Kama ingalikuwa tunapiga kura za kuwaatoa washiriki...??.. Elibariki angekuwa anaongoza kwa kura za kufungasha virago wakati huu....
 
Huyu Jaji wa Mahakama Kuu hana akili za kupambanua mambo, eti anataka kumuangukia Dr. Joshua? Hajui Joshua ana hasira za kifo cha binti yake.
 
wakuu @consgliere, gwijimimi , kisukari, mambo, Daudi1 na stelingi LEGE mwenyewe, heshima mbele (tulivokuwa tunasema JF zamani)

Hii ni bonge la stori yaani, very addictive, mmenitoa kule kwa Danny sa ivi naona kama ile ni mchina orijinal ndo hii, aloo

sasa basi Huyu elibariki, mmembatiza chizi bariki kachafua hali ya hewa sana tu, ila mwishowe bado Mathew na Anitha na peniela watain=buka kidedea kwa mtazamo wangu. huyu rosemary kaingia late lakini naona anatawala balaa sio kwa ukatili ule, ila atakamatwa tu maana Mathew akiwakosa kule akili itamjia kwamba wako kwa rosemary atawafata pale kuwaokoa, au la anitha somehow ataweza kuchomoka pale.

ngoja tuone, mi nikitoka nakuta page kumi zimeenda watu mnacomment balaa, LEGE tupia tu mzigo kila mtu atasoma kwa muda wake bana
Well said Kaizer
 
Well said mkuu, ni suala la muda tu. Nadhani Sterling hasa wa hii kitu atakua ni Mathew tu.
 
Back
Top Bottom