Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Thanks so much Mr LEGE, mambo mengi niliyokuwa nahitaji majibu yake kwa asilimia kubwa nimeyapata.
Thanks a lot.
 
Ni sheeda
Huku kuna Peniela ambae ajawahi kukatalia mwanamme aliemtongoza. Kamkosa Methew tu.
Kule nae kuna Danny mtaalam wa kupaka mate nae ajawahi kumkosa mwanamke labda yule wa mwisho walivyokuwa na Osama

Mmh taratibu jaman maana huku sio kwa wakubwa unaweza jiachia ikawa sooo kwa Mods
 
Katkaa watuu wanohangaika na hiiikituuu nafkirii we nikiwangoo cha barabara ya mwendo kasiii. Haunagaa kazii man????????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani kama teja yeye Wa kinondon manyanya or mwananyamala inaonekana mpendwa anapenda sana story kama izi ndo ulevi wake
 
Sijua kwa nn kila nikimuona uncle magu namkumbuka Dr joshua
Hiii story ukianza kuwapachika awa viongozi wetu waliopo awa acha tu me raisi mstafu nampachika pakam ndo anaendana nae maana nasikia mkewe nae alikuwa mbabe Aya kazi kwako wapange mpaka umpate elibariki ana fiti wap japo Mr Joshua Na mstafu nae kama wanashabiana iv
 
Dah ila mutunzi huyu ni hatari yani huwezi jua nini kitatokea badaye! Nimefurahi ile sehemu ya anitha alipo mchezesha akili huyo mlinzi
 
Kuna maswali najiuliza sipati majibu kwa nini john hakuangamiza kirusi hicho huku alikuwa na uwezo huo??
 
Ni sheeda
Huku kuna Peniela ambae ajawahi kukatalia mwanamme aliemtongoza. Kamkosa Methew tu.
Kule nae kuna Danny mtaalam wa kupaka mate nae ajawahi kumkosa mwanamke labda yule wa mwisho walivyokuwa na Osama

Mmh taratibu jaman maana huku sio kwa wakubwa unaweza jiachia ikawa sooo kwa Mods
Vivyo vitumbua vya kupaka mate vipo wapi?
 
tuylia mkuu utajua tuu mambo yote na siri zote alikuwa nazo john mwaulaya?? yeye ndio alikuwa mratibu wa kila jambo lakini alikuwa na moyo wa ubinadam zaidi ya unyama alioufanya
Acha Muzee kamanda aendelee kuwa Hero.

Brgds,
The late Muzee "John Mwaulaya Albert"
 
Naamini Mwaulaya alikuwa akisukumwa na nature ya kazi maalum kuivaa roho ya unyama, kwani kama angekuwa ni katili kwa ajili basi yeye ndiye angekuwa na tamaa ya kujipatia pesa kwa kuwa kitoto Aby.
Well said
 
Back
Top Bottom