Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkimbizi niliishia pale yule bint kapelekwa kupumzika Madagascar sijui halafu akiwa hotelini akaingia yule afande aliyekua ananyoa timberland, wakaanza mahusiano. Hivi iliishia pale au iliendelea?kulikuwa kuna page ya kusoma lkn naona washa isitisha na hata hivyo kule online walikuwa hawajaiweka yote kama ilivyokamilika kwenye kitabu hivyo fanya mpango upate tuu kitabu mkuu
WALE WA STORY YA DANY MZIGO UMESHUKA MPAKA MWISHO KASOMENI WAKATI TUKIMSUBILIA PENIELA
Peniela utashusha leo hii au majaliwa?!WALE WA STORY YA DANY MZIGO UMESHUKA MPAKA MWISHO KASOMENI WAKATI TUKIMSUBILIA PENIELA
Peniela utashusha leo hii au majaliwa?!
Niambie mwanaume wa DarShunie mwanamke Wa dar
Kitabu n bei ganimkimbizi na mdunguaji itakuwa ngumu sana mkuu .hiyo kwa kukusaidia nikununua kitabu tu kama upo dar ni rahisi kama upo nje ya dar unatumiwa pia mkuu
Mkuu nimekutumie email ili unitumie iyo soft copy ya Hofu fanya ivyo mkuu tafadharkulikuwa kuna page ya kusoma lkn naona washa isitisha na hata hivyo kule online walikuwa hawajaiweka yote kama ilivyokamilika kwenye kitabu hivyo fanya mpango upate tuu kitabu mkuu
Ntashkuru mkuuhaina shida mkuu nitajitahidi