SEHEM YA 10
kunificha chochote.Nilimuuliza kwa nini alifikia ma
amuzi ya
kuwasaliti wenzake na kwenda kutoa siri zote Kwa Dr
Joshua
na hivyo kuvuruga kila mlichokuwa mmekipanga,akanij
ibu
kwamba alifanya vile baada ya kutafakari kwa kina j
uu ya
mustakabali mzima wa maisha yake na njia pekee aliy
oona
inafaa ni kwa kurejea kwa Dr Joshua na kumuomba msa
maha
na ili baba aweze kumsamehe alilazimika kumueleza u
kweli
wa kila jambo.Nilimuuliza tena baada ya kumueleza D
r
Joshua siri zote amekipata alichokuwa anakitaka? Ak
anijibu
ndiyo amekipata na hata zaidi ya alivyotegemea kwan
i Dr
Joshua amemuahidi kwamba atampigania ili awe rais w
a
Tanzania baada ya yeye kumaliza muda wake”
“ What ? !!..This is insane” akasema Anitha na wot
e
wakacheka
“ Msicheke .This is a serious issue.Dr Joshua
amefurahi sana kwa Elibariki kumfumbua macho kuhusu
kilichokuwa kinaendelea nyuma ya pazia ambacho haku
wa
anakifahamu na ndiyo maana amemuona Elibariki ni mt
u
anayefaa kushika nafasi ya urais.Baba anamaliza mud
a wake
wa uongozi kwa hiyo anatafuta mtu ambaye atamuachia
madaraka ambaye atakuwa mtiifu kwake na ambaye
ataendelea kumficha madhambi aliyoyafanya wakati w
a
uongozi wake” akasema Anna.Mathew akatafakari kido
go na
kusema
“ Siamini kama Elibariki amefikia hatua hii.Usalit
i
alioufanya ni mkubwa sana na siku moja
ataulipia.Nawahakikishieni Anna na Anitha kwamba hi
cho
anachokitaka Elibariki katu hakiwezi kufanyika.Dr J
oshua
anamfahamu Elibariki ni msaliti kwa hiyo hawezi ku
mpa
nafasi hiyo kubwa.Elibariki amefanya kosa kubwa mn
o katika
maisha yake na ninawahakikishieni kwamba siku moja
litamgharimu” akasema Mathew na wote wakawa kimya
“ Ok tuachane na hayo ya Elibariki.Ulifanikisha ul
e
mpango wetu? Mathew akamuuliza Anna
“ Hapana nilishindwa kuufanikisha ule mpango wetu
kwani baba hakurejea nyumbani jana na leo asubuhi
nilipoonana naye hatukuweza kuelewana.Nawaahidi
nitafanya kila linalowezekana hadi nifanikishe jamb
o hili.Vipi
ninyi kwa upande wenu mlifanikiwa kuonana na Yule m
tu
ambaye anaweza kuwaelekeza mahala kilipo kirusi Aby
?
“ Hapana bado hatujafanikiwa.Mtu tuliyetegemea
kuonana naye ili atupe maelekezo mahala kilipo kiru
si Aby
amepata udhuru na hatutaweza kuonana naye kwa siku
ya
leo hadi kesho kwa hiyo bado iko nafasi ya kuutekel
eza ule
mpango wetu.Dr Joshua anatakiwa kuwa kitandani kwa
siku
kama mbili ili mpango wetu u fanikiwe na njia pekee
ya
kulifanikisha hilo ni kwa kumuwekea ile dawa
niliyokuelekeza.Atasumbulwa na tumbo la kuhara hali
itakayomlazimu alale kitandani na hatajishughulisha
na
jambo lolote na hivyo kutupa sisi nafasi ya kukichu
kua kirusi
Aby.” Akasema Mathew
“ Nitajitahidi kufanya kila linalowezekana hadi
nifanikiwe.Mathew huwezi kujua kiu yangu ya kutaka
kuona
namna baba na mtandao wake watakavyokutana na rungu
la
sheria.Baba yangu ana roho mbaya ya kishetani.Amechu
kua
kila kitu kizuri kwangu kiasi kwama najiona ni mtu
nisiye na
thamani yoyote katika dunia hii” akasema Anna
“ Usiseme hivyo Anna.Wewe bado ni mtu mwenye
thamani kubwa.Mambo aliyoyafanya baba yako yasikufan
ye
ujione huna thamani.Nakuahidi nitafanya kila linalo
wezekana
na Dr Joshua pamoja na mtandao wake wote lazima
wakutane na rungu la sheria.Nakuahidi siku si nyin
gi toka
sasa kila aliyetenda uovu lazima atalipa.Kitu kikub
wa cha
msingi ni kufuata maelekezo nitakayokupa.lakini kam
a
nilivyokufahamisha awali kuwa suala hili ni la hata
ri kubwa
na hata wewe waweza kujikuta katika hatari kubwa.I
cant
forgive myself if anything bad happens to you Anna”
akasema Mathew na kumfanya Anna atabasamu
“ Usihofu Mathew I’ll be fine. Mathew kilichonilet
a ni
kukupa hizo taarifa sasa naomba niondoke.After wha
t
you’ve been through ,you two need to spend some ti
me
with each other” akasema Anna na kwa mara ya kwanza
akamuona Mathew akitabasamu
“ Nani kakwambia sisi ni wapenzi?
“ Kareem alinieleza hivyo”
“ Alikudanganya ,sisi si wapenzi ni marafiki wa
kawaida tu” akasema Anitha
“ Ok guys I’ll be going now.Tutawasiliana baadae”
akasema Anna huku akitabasamu .Mathew akamsindikiza
hadi katika gari akamfungulia mlango akaingia na ku
ondoka
“ Mhh !! kwa mara ya kwanza ukikutaa na Anna picha
unayoipata ni msichana mwenye kiburi,dharau na hasi
ra
lakini ukikaa naye kwa muda mfupi mkazoeana utagun
dua ni
msichana wa tofauti kabisa.Amebarikiwa uzuri wa kip
ekee na
hata anapotabasamu dah ! mwili lazima ukusisimke.Ki
kubwa
zaidi kinachonivutia kwa huyu binti ni ujasiri alio
nao.Sijawahi
kukutana na mtu ambaye yuko tayari kumtia hatiani b
aba
yake mzazi.Kwa hili anastahili kulindwa.Kama nilivy
oahidi
kumlinda Peniela huyu naye nitafanya kila niwezalo
kumlinda
kwani kitu anachokifanya ni cha hatari kubwa” akawa
za
Mathew wakati akirejea ndani
***************
“ Alichonieleza Peniela ni kitu cha kweli.Ni wazi
Dr
Joshua ndiye aliyetoa maelekezo ya kumuua Jacob
Kateka.Namini kabisa Dr Joshua ananifuatilia na ana
mtumia
Abel kunichunguza.Sasa nimemini Dr Joshua ni kweli
ana
ajenda ya siri na nia yake kubwa ni kuniondoa kati
ka ule
mpango wa kukiuza kirusi na azimiliki pesa zote pek
e
yake.Sintokubali kitu kama hicho kitokee.Tumeshirik
iana toka
mwanzo na mimi ndiye niliyesimamia mchakato mzima h
adi
fedha ikapatikana na siwezi kukubali kuenguliwa kat
ika hatua
za mwisho.Hapa ni aidha tugawane au tukose wote.I s
wear
I’ll fight for my right..Kumuua Jacob hakuwezi niog
opesha
hata kidogo wala kunirudisha nyuma.Nitapambana na D
r
Joshua hadi mwisho..Kwa sasa ngoja niende kwa jaji
Elibariki
ili nijue kuna ajenda gani kati yake na Dr Joshua n
a vile vile
nataka kumfahamu vizuri Peniela.Jaji Elibariki anao
nekana
kumfahamu Peniela vizuri.Ninahisi yule mwanamke ana
ajenda yake ya siri na lengo lake kubwa lazima lita
kuwa ni
kukipata kirusi.Kama lengo lake ni hilo basi itakuw
a rahisi
kwangu kukipata kwa kumtumia yeye.” Akaendelea kuwa
za
Dr Kigomba akielekea nyumbani kwa jaji Elibariki
Macho ya jaji Elibariki yalikuwa mekundu na
haikuhitaji taaluma kubwa kugundua kuwa alikuwa
ametumia kilevi kikali.Toka aliporudi nyumban baada
ya
kumalizika kwa shughuli za msiba alikuwa akitumia p
ombe
kali kuondoa mawazo aliyokuwa nayo.Ndugu jamaa na
marafiki walikuja kumjulia hali na kumpa pole.Baada
ya
kuwasindikikza rafikize wawili waliofika kumpa pole
alireje
asebuleni akajilaza sofani.Kichwa chake kilijaa maw
azo
mengi.Alitafakari kuhusu maisha yake na namna
atakavyoyaanza maisha mapya.Akiwa bado katika
tafakari,mlango ukagongwa akainuka na kwenda kuufun
gua
,alikuwa ni mlinzi wake ambaye alimtaarifu kuwa ku
na
mgeni yuko getini anaitwa Dr Kigomba
“ Kigomba??.. jaji Elibariki akamuuliza askari Yul
e
“ Ndiyo,amejitambulisha hivyo”
Jaji Eliariki akatafakari kidogo halafu akamwambia
mlinzi amruhusu aingie
“ Kigomba amekuja kutafuta nini? Mimi na yeye
hatuna mahusiano yoyote ,anatafuta nini hapa? Amet
umwa
na Dr Joshua? Akawaza jaji Elibariki
Gari la kigomba likaingia ndani akashuka na kumkut
a
jaji Elibariki anamsubiri
“ Mheshimiwa jaji!! Akasema Dr Kigomba huku
akimpa mkono jaji Elibariki ,wakasalimiana na kuin
gia
sebuleni.Elibariki akammiminia Dr Kigomba mvinyo ka
tika
glasi
“ Karibu sana Dr Kigomba.Sikutegemea kabisa kama
ungeweza kunitembelea”
“ Usemayo ni ya kweli Mr jaji.Mimi na wewe hatuna
mazoea ya karibu sana lakini yawezekana kuanzia leo
tukawa
ni watu wa karibu”
“ Usijali Dr Kigomba ,karibu sana” akasema jaji
Elibariki halafu ukimya wa sekunde kadhaa ukatanda
.Dr
Kigomba akagugumia mvinyo wote uliokuwamo katika gl
asi
na kusema
“ jaji Elibariki nimekuja kwako kuna mambo mawili
au matatu ya msingi yaliyonileta hapa” akanyamaza k
idopgo
halafu akaendelea
“ Jambo la kwanza lililonileta hapa ni kukupa pole
kwa msiba mzito uliokupata .Sote tumeguswa na msiba
huu.Flaviana alikuwa ni kama mwanangu.Tunakuombea
uweze kupata nguvu za kuhimili kipindi hiki kigumu”
akasema
Dr Kigomba
“ Shetani mkubwa huyu,anajifanya kunipa pole
wakati ni yeye ndiye aliyeandaa shambulio lililosab
abisha
mke wangu akapigwa risasi.Natamani nimpasue na h ii
chupa
lakini ngoja niwe mvumilivu nimsikie kilichomleta h
uku.”
Akawaza jaji Elibariki huku akimtazama Dr Kigomba k
wa
hasira
“ Jambo la pili” Dr Kigomba akaendelea
“ Dr Joshua amenieleza kwa kirefu kuhusu wewe na
kila kilichotokea.Natumai una fahamu kila kinachoen
delea
kati yangu na Dr Joshua.Sisi ni washirika wakubwa n
a kila
anachokifanya yeye basi hunishirikisha na mimi
pia.Ninakupongeza sana kwa uamuzi wako wa kijasiri
wa
kuamua kurejea kwa Dr Joshua na kumueleza ukweli wa
mipango yote inayopangwa dhidi yake au dhidi yetu k
wa
sababu sisi hufanya kazi pamoja.You are now one of
us kwa
hiyo karibu sana” akasema Dr Kigomba akanyamaza ki
dogo
akamimina mvinyo katika glasi na kuendelea
“ pamoja na kukupongeza kwa ulichokifanya lakini
nataka vile vile nikuweke wazi kwamba baada ya Dr
Joshua
kufahamu kilichokuwa kinafanyika nyuma ya pazia ame
jenga
ukuta mkubwa kati yake na mimi na ghafla sana yale
mahusiano yetu mazuri yamekatika.Mimi na yeye tuli
anza
mipango hii pamoja na mimi ndiye niliyekuwa nashug
hulikia
kila kitu .Hatimaye mnunuzi alikamilisha malipo na
anachokisubiri hivi sasa ni kupewamzigo wake na tay
ari yuko
hapa nchini kukichukua kirusi hicho lakini mara tu
ulipomueleza Dr Joshua yale mambo ,amebadilika na
amenieleza kwamba anasitisha mipango yetu yote hadi
hapo
baadae eti kwa kitisho cha usalama.Hakukuwa na sab
abau
yoyote ya kuahirisha mpango wetu kwani kilichokuwa
kinasubiriwa ni kumkabidhi Hussein mzigo wake lakin
i
kilichotokea Dr Joshua akamuhamisha Hussein toka ho
teli
aliyofikia ambayo nilimtafutia mimi lengo likiwa ni
kuniengua
katika mpango na nisifahamu chochote
kinachoendelea.Kama vile haitoshi fedha tayari tuli
kuwa
tumelipwa na zikaingizwa katika akaunti yake ya sir
i iliyoko
nje ya nchi,zilihamishwa zote haraka sana katika ak
aunti
nyingine bila ya mimi kufahamu.Kwa ufupi ni kwamba
Dr
Joshua amenigeuka katika hatua hizi za mwishoni na
lengo
lake ni ili azimiliki pesa zote peke yake.jambo hi
li
limenisikitisha sana” akanyamaza kidogo halafu akae
ndelea
“ jaji Elibariki nimekuja kukuomba kitu kimoja.Nat
aka
mimi na wewe tuwe washirika,tuunganishe nguvu ,tuwe
kitu
kimoja ili tukipate kirusi kile ambacho tutakiuza
kwa
mabilioni ya fedha.Tunatakiw a kukipata kabla Dr Jo
shua
hajamkabidhi Hussein.Tukifanikiwa kukipata kirusi h
icho ni
utajiri mkubwa mno kuliko hata kuwa na mgozi wa
madini.Nakuhak......”
“ Stop that Kigomba ..!!!” Jaji Elibariki akamkati
sha Dr
Kigomba
****************
Ndani ya hoteli kubwa ya nyota tano ya Samawati
beach hotel,Dr Joshua alikuwa na maongezi ya faragh
a na
mgeni wake Hussein Abdullah Al Nassor.Maongezi yali
kuwa
mazito kiasi kwamba Dr Joshua alijikuta akifuta jas
ho mara
kwa mara.Kuna nyakati Fulani walionekana kushindwa
kuelewana na Hussein akainuka kwa hasira lakini Dr
Joshua
akamtuliza na maongezi yakaendelea
Wakati maongezi yakiendelea simu ya Dr Joshua
ikaita,alikuwa ni Abel Mkokasule.Akasogea pembeni k
idogo
ili aweze kuipokea
“ Hallow Abel” akasema Dr Joshua
“ Mzee,kuna taarifa nimeipata sasa hivi toka kwa
vijana wangu niliowaweka kumfuatilia Dr Kigomba”
“ Ndiyo Abel,kuna taarifa gani? Akauliza Dr Joshua
“ Dr Kigomba ameonekana akiingia nyumbani kwa jaji
Elibariki”
“ What ??..Amekwenda kwa Elibariki? Akauliza Dr
Joshua kwa mshangao
“ Ndiyo mzee”
“ Oh my God !! Huyu jamaa hakati tamaa
kabisa.Nilimuondoa Jacob ili kumzuia asiendelee na
mipango
yake ya chini chini dhidi yangu lakini anaonekana b
ado ana
kiu na ile fedha .Sasa wakati wake umefika ,kuendel
ea
kumuacha hai huyu jamaa ni kujitafutia hatari.Hili
ni jipu na
tayari limeiva kwa hiyo lazima litumbuliwe haraka.I
have to
take him down immediately.Hii ni nafasi pia ya kumu
ondoa
jaji Elibariki kwani sina kazi naye tena.Ni kijana
shenzi mno...”
akawaza Dr Joshua
“ Hallow Abel naomba unisikilize vizuri” akasema D
r
Joshua
“ Nakusikiliza mzee.”
“ Huyu Kigomba amekuwa akipanga njama za chini
chini dhidi yangu.Kuna mipango mibaya sana anaisuka
kwa
siri akiwatumia watu wangu wa karibu.Alianza na Jac
ob na
sasa amefika kwa Elibariki.Nataka ufanye kitu kimoj
a haraka
sana,Kill them all,umenielewa Abel?
“ Nimekuelewa mzee”