pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
[emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eee niliendelea na ile Live another Day.Pole sana. Jack Bauer ni sheeeda. Lakini nadhani imeendelea sana kama uliishia no 8
Zaman tu mkuu LEGEmshamaliza kwani
Usinikumbushe zama hizo...maana Mimi ilizidi sababu kuna wakati nikiingalaia kwa Massa zaidi ya 10, halafu ikaja OZ, then The Unit then...many many otherSiamini kama kumepambazuka .....sijawahi kuwa teja hivi.Mara ya mwisho kuwa teja hivi ilikuwa wakati naangalia 24hrs series for the first time niliugua kabisa na wakati naangalia The God father part zote tatu hii niliangalia mpaka asuhi kabisa.Sikutegea kuwa Peniela anaweza kunifanya hivi ....LEGE🙄🙄🙄🙄
Naam mkuu ni tayariLEO NAZANI WEEK END ITAKUWA NJEMA KWENU.
MKIMALIZA MNISTUE TUENDELEE HAKUNA KULALA.
Kitambo tunakusubiri wewe tumshamaliza kwani
Tuendelee Boss