Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Hii story haitabiriki mwisho wake, nadhani hata Mathew, Anitha na Peniela watageukana
 
Siamini kama kumepambazuka .....sijawahi kuwa teja hivi.Mara ya mwisho kuwa teja hivi ilikuwa wakati naangalia 24hrs series for the first time niliugua kabisa na wakati naangalia The God father part zote tatu hii niliangalia mpaka asuhi kabisa.Sikutegea kuwa Peniela anaweza kunifanya hivi ....LEGE🙄🙄🙄🙄
Usinikumbushe zama hizo...maana Mimi ilizidi sababu kuna wakati nikiingalaia kwa Massa zaidi ya 10, halafu ikaja OZ, then The Unit then...many many other
 
Back
Top Bottom