Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kuangalia uhalisia wa wahusika wa mwandishi na wahusika wa jf ivi inawezekana kwelMmmh hili pishi jipya kama silielewi. Sipati muunganiko kutoka sehemu ikiisha kwenda sehemu nyingine. Utamu haukolei.
Kwan Anna kafa au yupo mahututiNaona wengi tunaona siyo fair kwa anna kupata kifo kwa uaminifu wake.Ila ukiangalia kwa jicho lingine baba yake asingekua na tamaa ya kukiuza kirusi haya yote yasingetokea.Nadhani mtunzia amempa adhabu tosha rais kwa kuipoteza familia yake yote kwa uzembe wake.
huwezi jua labda kirusi kimesambaa kwa watu wengi na ili kuwaokoa siunajua penny ndio kinga,hvyo kwa mamntiki hyo anaweza akaja akawa shujaa labda ndio maana story imepewa jina la panielaIngawaje siyo mtaalam wa uandish ila sioni kama peniela anastahil kubeba jina la simulizi.Sioni kikubwa alichofanya zaid ya kugawa papuchi tuu na kusaliti wenzie.
anna yupo mahututi!Kwan Anna kafa au yupo mahututi
Niamin mm atapona uyoanna yupo mahututi!
Inawezekana but mtunzi hajamtendea haki Dr Joshua, yaan process ya kifo cha president imezidiwa na John Mwaulaya, pia hata ya kifo cha Flaviana kilitungwa vizur mnoo, ila hawa maraisi na watia nia yaan wamekufa kifo cha wazembe.Naona wengi tunaona siyo fair kwa anna kupata kifo kwa uaminifu wake.Ila ukiangalia kwa jicho lingine baba yake asingekua na tamaa ya kukiuza kirusi haya yote yasingetokea.Nadhani mtunzia amempa adhabu tosha rais kwa kuipoteza familia yake yote kwa uzembe wake.
Yaan hebu fikiria kumuonesha kule alikomficha mke wa Deusi, yaan alimpeleka Elibariki itadhan Peniela anapelekwa supermarket na Kareem.Ni kweli mkuu nilitegemea hata kile kirusi alivyokichukua kutoka kwa Anna angekificha sehemu ambayo ni ngumu kuona mtu yoyote.Au angeweka kisanduku feki pale alafu Peniella angehangaika nacho mpaka akome.