Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uyo atakua wajina wangu mm aisee msalimie sana kumbe kuna shunie mwingine humu jfLEGE nashukuru ,Pamoja na yote niliyokumbana nayo katika kipindi cha kufuatilia hii Riwaya,Nikiri kwamba imenipa faraja kubwa,
Nakubaliana na wengi kuwa and mwisho haujashiba kama ilivyotarajiwa .
Pia nashukuru Sana kunikutanisha na [HASHTAG]#Shunie[/HASHTAG] Dada ninayempenda sana,Na uhakika atatua katika mikono salama Ya [HASHTAG]#Steyn[/HASHTAG] ili kwenda kuogelea katika Dimbwi la Hapa mtaani kwetu tukishindwa kwenda Zanzibar.
uyo atakua wajina wangu mm aisee msalimie sana kumbe kuna shunie mwingine humu jf
Mwenye link riwaya ya njama naombaBora umemruka acha nipunguze bear coz nilisha vurugwa
umevurugwa na nnBora umemruka acha nipunguze bear coz nilisha vurugwa
LEGE ni super star ndio mana ananielewa sana.wewe huwezi mambo haya.hayataki hasira.kaa chonjoWe jamaaaa ndo unasababishagaa hiii kituuu icwekwee n ikiwekwaa inakuwa imekatwa katwaa punguzaa kirangaa basiii na kisebusebuuu
Sidhani kama amekutuma haya au umeamua tu kujibwatukia .LEGE ni mstaarabu sana amekaa kinya akina kasungujira ndio kelele nyingiSemaa amekuvumiliaaa we ndo unavurumishaa mijikoment Kama mvua
Nahisi wewe utakua anitha kama sio penielaNa turaleeeeee