Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

LEGE shukrani sana ubarikiwe kwa kuacha muda wako na kuja kuturidhisha sisi ila mwisho mwisho kuna vitu sijaelewa lkn ubarikiwe tuamie kwa miss tanzania mkuu
 
LEGE nashukuru ,Pamoja na yote niliyokumbana nayo katika kipindi cha kufuatilia hii Riwaya,Nikiri kwamba imenipa faraja kubwa,
Nakubaliana na wengi kuwa and mwisho haujashiba kama ilivyotarajiwa .
Pia nashukuru Sana kunikutanisha na [HASHTAG]#Shunie[/HASHTAG] Dada ninayempenda sana,Na uhakika atatua katika mikono salama Ya [HASHTAG]#Steyn[/HASHTAG] ili kwenda kuogelea katika Dimbwi la Hapa mtaani kwetu tukishindwa kwenda Zanzibar.
uyo atakua wajina wangu mm aisee msalimie sana kumbe kuna shunie mwingine humu jf
 
Nmejfunza mengi xn kupitia riwaya hi pia LEGE UMEJAWA NA BUSARA XN hatukukulipa kitu na bado ulitukanwa kuchelewa kutupia season bado hukutoa reply mbovu ,thnx xn
 
Sasa Ni Wakati Wa Kutoa Shukran za Dhati kwako LEGE
Kwa niaba ya Wana Jf humu ndani Tunatoa Salam zetu nyingi za Shukran kwako kwani ktk safari yetu hii ya Paniela tumekumbana na Vizingiti vingi

Hawakukosekana Walotaka kutusaliti kama wafanyavyo kwenye vyama vyetu vya Siasa
Lakini tulishikamana Pamoja tukawakemea na wakaacha fikra zao chafu za kutaka kutukatisha Safary yetu hii
Wakijiona kuwa Wana uchungu kuliko Muanzilishi wa Safari eti wakidai Tuchangie Gharama za Safari
Pia walikuwako wale waso adabu ambao pindi Jahazi lilipo yumba wao lawama zote wakazitupia kwako mbaya zaidi ni Pale tulipotia Nanga kwa takriban week mbili tukisubiri Bahari kutulia Watu walishindwa vumilia na kelele zikawa nyingi
Kwa mara nyingine tena Nahodha wetu kwa Upendo wa hali ya juu kabisa Uliamua kushusha Boti na Kuwapeleka ktk kisiwa cha MISS TZ kwa ajili ya Mapumziko

Ni Mengi ya Kukushukuru Kamamda LEGE na lau nikiyaandika yote basi yaweza chukua muda Mrefu kuyamaliza

Hatuna Namna zaidi ya Kuisherehekea safari yetu kwani tumefika Salama salimini

Na Mpaka hivi sasa watu wote wamo ndani ya Ukumbi Tayar kuanzwa Sherehe

Unasubiriwa wewe Bw LEGE Uje uuongoze Ukumbi Kuimba Kwa Pamoja WIMBO WA GAIDI
 
Thank you very much. Kuna vitu vimeniumiza sana, kifo cha Anita na Mzee Deus. Anna haijaeleweka alipona au la.

Pia mafedha ya Dr. Joshua ya kuuza kirusi yalipaswa kutaifishwa na kutumika kukabili maafa yaliyotokea. Kulipa Fidia waliofariki na waliojeruhiwa Nk.

Kuna mambo kadhaa ya kusema lakini kwa jumla ni riwaya nzuri sana, inayosisimua sana.
 
Thanks sana mkuu lege.
Ila sitatenda haki nsiposema mtunzi mwishoni hajatulia sana coz uhalisia siyo mkubwa.Afu peniela namuona kama msaliti na mwenye tamaa ya fedha sikuona sababu ya yeye kuishia zanzibar akila bata(nmekumbuka zarina weekend[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]) badala ya kuulipa ubaya wake kwa kuozea jela.
Pitisha pongezi zangu kwa mtunzi.Mwambie INZI AKIWA SERIOUS ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI.
 
We jamaaaa ndo unasababishagaa hiii kituuu icwekwee n ikiwekwaa inakuwa imekatwa katwaa punguzaa kirangaa basiii na kisebusebuuu
LEGE ni super star ndio mana ananielewa sana.wewe huwezi mambo haya.hayataki hasira.kaa chonjo
 
Semaa amekuvumiliaaa we ndo unavurumishaa mijikoment Kama mvua
Sidhani kama amekutuma haya au umeamua tu kujibwatukia .LEGE ni mstaarabu sana amekaa kinya akina kasungujira ndio kelele nyingi
 
Mkuu ukianza kuweka mzigo mwingine tushtue kwa hapa LEGE
 
jamaa wa SAMAWATI BEACH HOTEL sijui alilipwa kabla ya hotel yake kulipuliwa au ndo imekula kwake
 
Ngoja na mie nikoment sasa maana nikekuwa msomaji tu wa hii story.

Generally story imekaa poa sana mwandishi kajitahidi sana kuteka attention ya wasomaji especially ktk sehemu ya kwanza hadi ya nne. Sehemu ya mwisho imepwaya kidogo maybe ni kwa sababu ya pressure za wasomaji but mtunzi amejitahidi sana...hongera zake tafadhali.

Kuna baadhi ya vitu mwandishi huenda alivisahau mfano ni yale makasha mengine ambayo peniela aliambiwa ayafuate sehemu flani haya mwandishi hakuyaongelea tena hatujui yalikuwa na nini lakn pia mwisho wa Anna haukuongelewa, Jesca hatukusikia akihojiwa... anyways yapo mapungufu mengi ya kiufundi but story imekuwa na magunfisho mengi mazuri katika maisha halisi.

Ila asee kwangu mimi sijapenda kabisa kifo cha Anitha hakustahili kabisa kufa kwa style ile huku muuaji wake akitumbua maisha zenjbar. Rip Anitha wangu
 
Asante sana kamanda LEGE Mungu akubariki sana.
Jason mjanja sana alipima upepo akaona mmhh huu upelelezi siuwezi ngoja niwaachie wenyewe. Mwisho wa siku kadumu hadi mwisho wa picha. Angekufa nae angejitia kiherehere
 
Nadhani Ni vema mtunzi akazingatia mawazo ya wasomaji na kufanya marekebisho then atoe ! kitabu .
Napendekeza asimuue Anita kwani alivumilia MNO MATESO makali kule mke wa rais mtaafu Bi Nkozumi , ningependa kuona akifaidi maisha baada ya Uaminifu ule. Ni vzr pia kumng'arisha zaidi Mathei Kwa uaminifu wake jinsi alivyoweza kutotembea na Paniela na Asha mtoto wa Rais, Zaidi ya Yote Nakushukuru Sana Mr. Lege Kwa Juhudi zako, kitabu kikikamilika tufahamishane ili nikinunue hima
 
Back
Top Bottom