Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi.

DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa)

DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa)

Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
 
Kazi zao zimekaa kisiri sana, So I think hata pensheni zao huenda ziko hivyo pia
 
Back
Top Bottom