Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wiki hii imekuwa mbaya sana kwa Marekani na ulimwengo wote wa kielektronik baada ya siri zote za Marekani za karibuni kumwagwa hadharani kwenye mitandao.
Mwanzoni Pentagon ilisitasita kukubali kashfa hizo lakini hatimae wamekubali kwamba ni chache sana ambazo ziliongezwa kidogo lakini zote zilizobaki ni kama zilivyo kuwa.
Katika kuvuja huko kwa siri za kijasusi kumeathiri sana kubadili mwelekeo wa vita vya Ukraine kiasi kwamba sasa Ukraine imepata pigo jengine la kubadili kile walichokusudia kukifanya katika vita.
wakati Marekani ikiwafungasha wenzake kupigana na Urusi kupitia Ukraine na ikijaribu kuitenga Urusi kumbe imegundulika hata mataifa madogo kama Misri imepanga kuipelekea Urusi makombora karibu 40 elfu.
Mpaka sasa haijajulikana siri hizo nyeti kama zilivyoandikwa zimemwagwa hadharani na nani.Haijulikani ni kuzidiwa nguvu kiteknolojia kwa Marekani na Urusi au ni uasi tu wa ndani ya Pentagon kama ilivyokuwa kwa wikileaks.