Pentagon imekubali kuwa hawana siri tena iliyobaki

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Wiki hii imekuwa mbaya sana kwa Marekani na ulimwengo wote wa kielektronik baada ya siri zote za Marekani za karibuni kumwagwa hadharani kwenye mitandao.

Mwanzoni Pentagon ilisitasita kukubali kashfa hizo lakini hatimae wamekubali kwamba ni chache sana ambazo ziliongezwa kidogo lakini zote zilizobaki ni kama zilivyo kuwa.

Katika kuvuja huko kwa siri za kijasusi kumeathiri sana kubadili mwelekeo wa vita vya Ukraine kiasi kwamba sasa Ukraine imepata pigo jengine la kubadili kile walichokusudia kukifanya katika vita.

wakati Marekani ikiwafungasha wenzake kupigana na Urusi kupitia Ukraine na ikijaribu kuitenga Urusi kumbe imegundulika hata mataifa madogo kama Misri imepanga kuipelekea Urusi makombora karibu 40 elfu.

Mpaka sasa haijajulikana siri hizo nyeti kama zilivyoandikwa zimemwagwa hadharani na nani.Haijulikani ni kuzidiwa nguvu kiteknolojia kwa Marekani na Urusi au ni uasi tu wa ndani ya Pentagon kama ilivyokuwa kwa wikileaks.
4b2abdf0-d7dd-11ed-be6f-1573d75bc4be.cf.webp
42f66700-d7cf-11ed-af1d-abf3b000ef95
 
Kwa maneno yao ni kuwa kuvuja kwa hizo siri kunahatarisha assets wao ndani ya Ukraine na Russia, na nchi zilizotajwa maana wao ndio wametoa taarifa zikafika Pentagon.
 
Wiki hii imekuwa mbaya sana kwa Marekani na ulimwengo wote wa kielektronik baada ya siri zote za Marekani za karibuni kumwagwa hadharani kwenye mitandao.

Mwanzoni Pentagon ilisitasita kukubali kashfa hizo lakini hatimae wamekubali kwamba ni chache sana ambazo ziliongezwa kidogo lakini zote zilizobaki ni kama zilivyo kuwa.

Katika kuvuja huko kwa siri za kijasusi kumeathiri sana kubadili mwelekeo wa vita vya Ukraine kiasi kwamba sasa Ukraine imepata pigo jengine la kubadili kile walichokusudia kukifanya katika vita.

wakati Marekani ikiwafungasha wenzake kupigana na Urusi kupitia Ukraine na ikijaribu kuitenga Urusi kumbe imegundulika hata mataifa madogo kama Misri imepanga kuipelekea Urusi makombora karibu 40 elfu.

Mpaka sasa haijajulikana siri hizo nyeti kama zilivyoandikwa zimemwagwa hadharani na nani.Haijulikani ni kuzidiwa nguvu kiteknolojia kwa Marekani na Urusi au ni uasi tu wa ndani ya Pentagon kama ilivyokuwa kwa wikileaks.
4b2abdf0-d7dd-11ed-be6f-1573d75bc4be.cf.webp
42f66700-d7cf-11ed-af1d-abf3b000ef95
Ami vipi pemba kwema huko???
 
Mbona siri zenyewe hujaziweka
Mkuu hii chai haina vitafunio🤣🤣🤣
Siri zenyewe ziko wapi?
Jamii forum siku hizi imejaa wajinga sana.... hayajui hata kinachoendelea duniani.. yanataka kila kitu yatafiniwe ndo yaelewe.....hivi atakuwa na uwezo gani wa kuanika document zoote zilizo leak humu jamii forums ili nyie mzisome mlidhike?.... nyambafu nendeni kwenye vyanzo vya habari mzitafute huko zipo nyingi tu...
 
M

Mkuu na wewe umeingia pentagon hatukatai🤣🤣🤣Sawa sisi wajinga wewe mwerevu tupe bas hizo document tuzisome sio maneno matupu
 
acha uvivu nenda fuatlia kwenye vyanzo mbalimbali vya habari mimi sina muda wa kukupakulia kila kitu....
 
Back
Top Bottom