Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

Wafuga midevu salam kwenu jichanganyeni Tehran iwe majivu. Mlikuwa mnatafutiwa timing naona mnaelekea penyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndevu ni moja ya alama za mwanaume,wewe endelea kung'arisha uso kwa kila aina ya cream,
Hizo picha ndio zimekuaminisha kua vita inapiganwa hivyo? ile drone latest isiyoonekana ilitunguliwa hivi karibuni tu ulisikia hilo? Unadhani kuingia anga la Iran ni rahisi sio Eeeh!
 
Nimeona habari kamili Fox kwenye youtube, safari hii naona jamaa wamedhamiria kuitindua Iran kweli japo wanakili wazi uwezo wa Iran sio wa kuubeza hivyo wamejiandaa kwa lolote.

Sent using mazonge yamezidi
 
Wafuga midevu salam kwenu jichanganyeni Tehran iwe majivu. Mlikuwa mnatafutiwa timing naona mnaelekea penyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hakuna Vita hapo kwa sasa!

Kinachofanyika ni game ya Kisiasa kwa pande zote mbili

Tayari Iran imefanikiwa kushawishi Utawala wa Iraq kuikataa Marekani kwa kupitisha Azimio rasmi

Marekan imefanikiwa kushawishi NATO na Umoja wa Ulaya kuwa upande wake

Iran nayo imejitoa kwenye makubaliano ya ki nyuclear for Pilitical reasons pia

Sasa hivi America imefanikiwa kwa upande wa kuithibitishia Dunia kuwa Iran ipo Iraq Vitani kwa kuwa Kamanda wake kauawa Iraq sio Iran

Iran imefanikiwa kurejesha Ki Propaganda sana

America imefanikiwa kijeshi


Ki Vita Iran hana ubavu wa kuipiga America ila ana ubavu wa kuitingisha ki Uchumi kitu ambacho America haipo tayari kwa sasa
 
 

Attachments

  • 6A5317FE-3033-47A1-9495-8806F0D02926.jpeg
    49 KB · Views: 1
  • 1438461F-4D2C-4C8B-AF12-4F74AC1A9538.jpeg
    12.6 KB · Views: 4
  • 1AA65AF3-C11B-4542-B4BA-A606C31A6FA9.jpeg
    14.3 KB · Views: 1
  • 384D7B8F-0ED1-4433-98F7-87AB04C564F0.jpeg
    23.4 KB · Views: 1
Mbona vikwazo vinamla yeye badala yakuvi counter?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona vikwazo vinamla yeye badala yakuvi counter?

Sent using Jamii Forums mobile app

America ni Taifa kubwa Duniani na likikuwekea vikwazo lazima utayumba

Iran ina vikwazo vya Magharibi kwa Miaka 40 lakin jee unaweza kuwalinganisha na Zimbabwe waliowekewa juzi juzi?

Pamoja na Vikwazo vyote hivyo bado anazidi ku emerge kama Super power wa Middle East mbele ya Saudia na Israel

Kule ni mwendo wa kuzalisha Engineers tu kila mwaka
 
Kweli kabisa, kuingia kwenye angala Iran sio rahisi maana walitingua ile droni isiyoonekana kwenye rada marekani akakaa kimya, na ndio maana wamArekani walipata shida sana kumuua jamaa mpaka walipopata nafasi ya jamaa kua Iraq kwa kule marekani ina vituo vyake vya kijeshi na wanaingilia tu angala la iraq, ndo maana wakamuua jamaa nje ya hapo wasingeweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Exactly ona USA walivyoifanya Zimbabwe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…