Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafuga midevu salam kwenu jichanganyeni Tehran iwe majivu. Mlikuwa mnatafutiwa timing naona mnaelekea penyewe.Mambo yanaanza kuwa serious .Pentagon wanaonekana waki warm
Up hizo ngege
Ndevu ni moja ya alama za mwanaume,wewe endelea kung'arisha uso kwa kila aina ya cream,Wafuga midevu salam kwenu jichanganyeni Tehran iwe majivu. Mlikuwa mnatafutiwa timing naona mnaelekea penyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaaa haaa haya bhanaHivi mfano Iran angekaa kimya bila kujitunisha kifua kujibu malipizi,na akaamua kufyatua adui zake kimya kimya angepungukiwa nini,
Sifa za mtoto wa paka kujifanya simba zinaenda kusababisha nyumba nzima kuchomwa moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafuga midevu salam kwenu jichanganyeni Tehran iwe majivu. Mlikuwa mnatafutiwa timing naona mnaelekea penyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya nguvu nyingi wanaweza kuangamizwa vilevile. Kumbuka sio siku zote mwenye nguvu ndio ashindae. Kila mtu aliamini Daudi anaenda kuuawa na goliati lkn kilichomkuta goliati ni historia. By the way uzi wako ni porojo tu, hauna cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona vikwazo vinamla yeye badala yakuvi counter?Hakuna Vita hapo kwa sasa!
Kinachofanyika ni game ya Kisiasa kwa pande zote mbili
Tayari Iran imefanikiwa kushawishi Utawala wa Iraq kuikataa Marekani kwa kupitisha Azimio rasmi
Marekan imefanikiwa kushawishi NATO na Umoja wa Ulaya kuwa upande wake
Iran nayo imejitoa kwenye makubaliano ya ki nyuclear for Pilitical reasons pia
Sasa hivi America imefanikiwa kwa upande wa kuithibitishia Dunia kuwa Iran ipo Iraq Vitani kwa kuwa Kamanda wake kauawa Iraq sio Iran
Iran imefanikiwa kurejesha Ki Propaganda sana
America imefanikiwa kijeshi
Ki Vita Iran hana ubavu wa kuipiga America ila ana ubavu wa kuitingisha ki Uchumi kitu ambacho America haipo tayari kwa sasa
Kweli kabisa, kuingia kwenye angala Iran sio rahisi maana walitingua ile droni isiyoonekana kwenye rada marekani akakaa kimya, na ndio maana wamArekani walipata shida sana kumuua jamaa mpaka walipopata nafasi ya jamaa kua Iraq kwa kule marekani ina vituo vyake vya kijeshi na wanaingilia tu angala la iraq, ndo maana wakamuua jamaa nje ya hapo wasingewezaNdevu ni moja ya alama za mwanaume,wewe endelea kung'arisha uso kwa kila aina ya cream,
Hizo picha ndio zimekuaminisha kua vita inapiganwa hivyo? ile drone latest isiyoonekana ilitunguliwa hivi karibuni tu ulisikia hilo? Unadhani kuingia anga la Iran ni rahisi sio Eeeh!
Leo asubuhi ana order world bank na bank zote ukifanya biashara au kutuma pesa Iran ni makosa makubwa .Tough sanctions
America ni Taifa kubwa Duniani na likikuwekea vikwazo lazima utayumba
Iran ina vikwazo vya Magharibi kwa Miaka 40 lakin jee unaweza kuwalinganisha na Zimbabwe waliowekewa juzi juzi?
Pamoja na Vikwazo vyote hivyo bado anazidi ku emerge kama Super power wa Middle East mbele ya Saudia na Israel
Kule ni mwendo wa kuzalisha Engineers tu kila mwaka
... Nafasi adhimu hii kuhitimisha suala la Iran once and forever!Wafuga midevu salam kwenu jichanganyeni Tehran iwe majivu. Mlikuwa mnatafutiwa timing naona mnaelekea penyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
we ni tahiraLicha ya nguvu nyingi wanaweza kuangamizwa vilevile. Kumbuka sio siku zote mwenye nguvu ndio ashindae. Kila mtu aliamini Daudi anaenda kuuawa na goliati lkn kilichomkuta goliati ni historia. By the way uzi wako ni porojo tu, hauna cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app