Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!

Mbona hio attach yako haioneshi Wala kuongelea maswala ya drones , wewe Nani kakwambia au Bibi yako
 
Sio mchezo kwa lugha nyepesi tunaweza tukaziita Dronebomu Yani zikimaliza kurusha mabomu iliyobeba bomu la mwisho ni Drone yenyewe

Ila Iran anasema sio zake Sasa sijui kwa nini wanaendelea kulazimisha kuwa ni za Iran
Ziko tofauti tofauti,, hizo shaheed ni one way, yaani hairudi ikitoka,,
Zinarusha makombora huwa zinarudi home base,
Hizo shaheed ni very cheap na ndo zinasumbua, maana zenyewe thamani yake usd 20,000,, wakati makombora ya kudungulia yA ukraine moja tu linachezea usd milioni 1,😂,hivyo utaona namna ukraine inavyoingia hasara kudeal na hizo drones
 
Nadhani hiizi ndizo zimefanya Mawaziri wa Ulinzi wa US na Russia kufanya mazungumzo ya simu kuona ni jinsi gani wanaweza kufanya kuhusiana na mgogoro wa Ukraine!
 
Jamaa ana mihemko sana
 
Super power ni wewe mzee,kwani mpaka sasa nani anatawala mchezo kati ya URUSI na Ukraine.WENYE AKILI KIDOGO WANAJUA ANAEREFUSHA VITA YA UKRAINE NI NATO.
 
Taarifa nyingine zimaainisha kuwa 85% ya drones hizo zinadunguliwa hata na rifle ya kawaida
 
Ukiona unasifiwa sana na adui jua yajayo yanaweza kukufanya ukajinyonga , yaani Pentagon hii ikose zana za kutungua hizo drone au kuwa haina tech ya namna hiyo?


Mmh hili nalo Bashungwa mnyambo wa kuchomekewa mkaliangalie
Ukweli ni kuwa zinadunguliwa hata na rifle za kawaida
 
Taarifa nyingine zimaainisha kuwa 85% ya drones hizo zinadunguliwa hata na rifle ya kawaida
Hizi drones hazina camera, wala sensors mfano anti radiation, wala siyo laser guided,, hizi ni pre programmed,, yaani flight path yake to the target iko pre programmed, hivyo kuidukua ni ngumu maana imeshakuwa fed with infor na cordinates za target , so kwanza haiwezi piga moving targets,, sababu haina sensors, na ndo maana ni very cheap,
Haihitaji data uplink, so haidukuliki
 
Last week ilitolewa taarifa kuwa 85% zinatunguliwa kwa bunduki za kawaida
 
Na mrusi anazi update na mbaya zaidi zipo mikononi mwa mkatili namba 1
View attachment 2399404
Moja ya sababu inayofanya drones za US kudukuliwa kwa urahisi ni ziko high tech,, yaani zinategemea sana real time data uplink kwa maana kuwa inapokea comand toka home base au operater in real time, na live data downlink, kwamba inatuma data kuhusu target to thebase in really time, ndo maana drone ya US , israel inaweza kuzunguka( loitering)on target hata kwa masaa 30 ikisubiri command ya kuattack,, Russia bado hawajawa na hii technology,,
Lakini hii technology inazifanya drones kuwa rahisi kudukuliwa,
Advantage yake, ni US na israel tu ndo wana drone zinazoweza kuwinda mtu specific hata kwa wiki zikikusanya taarifa au zikitafuta mda mwafaka wa kushambulia
 
Last week ilitolewa taarifa kuwa 85% zinatunguliwa kwa bunduki za kawaida
Jiongeze Mkuu...

Kama zingekuwa zadungulika kwa nini kila kukicha Biden (USA) + Zelensky (Ukraine) wanailalamikia Iran isizipelekee droni hizo Ukraine. Na wanasema kabisa kuwa zaangamiza miundombinu na kuua watu.
 
Jiongeze Mkuu...

Kama zingekuwa zadungulika kwa nini kila kukicha Biden (USA) + Zelensky (Ukraine) wanailalamikia Iran isizipelekee droni hizo Ukraine. Na wanasema kabisa kuwa zaangamiza miundombinu na kuua watu.
Sina maoni kwakuwa sina upande wowote
 

Isingekuwa vikwazo, Iran ingekuwa kati ya mataifa yenye nguvu (nyingi sana) duniani.
 
☢️The testing of the 12th version of the B61-12 nuclear bomb without a warhead took place in 2015 at the Nevada Test Site. The new bomb, capable of replacing the four obsolete B61 models, features a tail fin. It makes the bomb controllable and more accurate, allowing it not to be parachuted down (which required flying precisely over the target), but to be dropped from an aircraft flying at a high altitude, after which the bomb autonomously plans towards the target for many kilometres, thrusting if necessary.

Estimated power - from 340 kilotons (Hiroshima explosion - from 15 to 20 kilotons)☢️
US is distributing its tactical nuclear weapons in NATO countries arround Russia
 
Super power ni wewe mzee,kwani mpaka sasa nani anatawala mchezo kati ya URUSI na Ukraine.WENYE AKILI KIDOGO WANAJUA ANAEREFUSHA VITA YA UKRAINE NI NATO.
Kumbe tunakubaliana Urusi level zake ni kuteswa na Ukraine. Sasa Ukraine haipo kwenye nchi zinazojaribu au kufikiriwa kuwa superpower. Hiyo ni ligi ya Ndondo kama inashindikana hatuwezi toa timu kuipeleka ligi kuu
 
Nchi yako ina lipi inafanya kukabiliana na aina hizo za silaha, au kazi yenu kushabikia wanaume wa nchi nyinginei wakiumiza vichwa.
 
😂😂😂 Kuna moja ipo Poo
Nchi yako ina lipi inafanya kukabiliana na aina hizo za silaha, au kazi yenu kushabikia wanaume wa nchi nyinginei wakiumiza vichwa.
Nchi yako ina lipi inafanya kukabiliana na aina hizo za silaha, au kazi yenu kushabikia wanaume wa nchi nyinginei wakiumiza vichwa.
Wewe jaribu kuvamia kambi moja ya Jeshi uone JWTZ wana uwezo upi! Mimi kama mimi nnajua Uwezo wa JWTZ so sina shaka na lolote nalala kwa amani nikiwa na uhakika Mipaka yetu ipo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…