Pentekoste iliyochangamka

Kila mtu huweza kwa sehemu. Yeye ameweza kuhubiri kuhusu mafanikio ya kimwili ambayo nayo Ni muhimu pia kwa ustawi wa roho, Sasa wewe hubiri hayo uliyoandika hapo na mwingine atahubiri kuhusu bhangi na sigara na mirungi ambavyo havijaandikwa ktk maandiko matakatifu lkn lengo likiwa Ni ukamilifu.
 
😀 Unaweza ukatumia biblia kuunga mkono tafsiri unazozitoa?, vinginevyo yeyote anaweza kusema chochote kuhusu lolote kwenye biblia.
 
Umenena vema kuwa umetumia akili yako!
 
tafsiri yangu ni collect 100% ufunuo siyo kitu kipya bali ni yaleyale yaliyo fundishwa na kuonywa .....kama tafsiri yangu ni potovu toa yako nikuulize maswali ndiyo utajua ujinga wako .....maana tafsiri za makanisani ni za kihuni haswa
 
Nyie walokole mna matatizo gani?? Huwezi fanya jambo au kuongelea jambo bila kutaja roman we ulisikia wapi roman ina hali ngumu?? Uzi wako unaonekana wakipuuzi kama hao wachungaji wenu wachumia tumbo wanavyowadanganya kila baya kulihusisha na roman hamuwezi maliza misa bila kutaja roman shame on you
 
Soma kwa akili kubwa sana utajua kahaba ni nini mbona hiyo ufunuo 17 ina dhihilisha vyote ninavyo sema wewe huoni kuwa huyo kahaba ndiye yule yule mnyama wa pili ambaye ni 666 ...soma imeandikwa huyo kahaba kakaa juu ya mnyama mwekundu sana mwenye vichwa 7 na pembe 10 kisha kamsome yule mnyama wa kwanza atokaye baharini anavichwa 7 na pembe 10 na imeandikwa kuwa huyo mnyama atokaye baharini ndiye ampaye nguvu huyo mnyama wa pili ambaye ni 666 huoni kuwa ni kitu kile kile ila mafumbo mawili tofauti ni kama ndoto ya farao zilikuwa mbili hila maana ni moja ...tena hapo wametaja wazi kuwa huyo mwanamke kahaba kavikwa Vito vya dhamani yani hivyo Vito ndiyo sanamu ya huyo kahaba
1)MNYAMA ATOKAYE BAHARINI ANA VICHWA 7 NA PEMBE 10 NA MNYAMA ALIYOPO JAMGWANI ALIYE KALIWA NA MWANAMKE KAHABA NAYE ANA VICHWA 7 NA PEMBE 10
2)MNYAMA 666 ANA UHUSIANO NA YULE ATOKAYE BAHARINI NA YULE KAHABA ANA UHUSIANA NA YULE MNYAMA WA JANGAMWANI MAANA KAMPANDA
3)MNYAMA 666 ANA SANAMU YAKE NA KAHABA ANA VITO VYA THAMANI KAVIVAA..
kumbuka nilikuambia kuwa sanamu ya mnyama 666 ni mali na fahari zote za duniani na huyo kahaba kavishwa mali za fahari zote za duniani ..
 
Your browser is not able to display this video.
 
Roman haijawahi kuwa na hali mbaya kufikia hatua ya kufananishwa na pentekoste
Sisi ndi chanzo. Mwanzo wa madhehebu

Your browser is not able to display this video.
 
Mbona mnaquote maandiko ambayo yanapinga kunena kwa Lugha. Tena kimakosa pasipo kujua kwa undani wa maandiko husika.

Katika kanisa la kwanza Rojo alimiminwa kwa wingi na kunena ilikuwa ni ishara kuu. Wahubiri wakawa wachache na mmomonyoko wa maadili ukawa mkubwa huku watu wakinena kwa lugha. Ndio Paulo akasema autubuye ni mkuu kuliko anenaye kwa lugha kwa lengo la kulijenga kanisa. Sasa wakristo vuguvugu wakaondoa kunena kwa lugha kabisa.

Palipo na Roho wa kuna Uhuru. Kikubwa kila kitu kifanyike kwa uzuri wa utakatifu. Utumiaji wa maji, vitambaa, matope n.k. ni uchawi na ulogi. Damu ya Yesu na jina lake latosha.
 
Sijui kwanin wayapotosha maandiko kiasi hiki, nataman tu watu wasiyabebe baadh ya maneno yako kama yalivyo badala yake wakachunguze wenyewe maandiko kuona ikiwa ndivyo ilivyo au la,
okay so umeitaja Ufunuo 17(ambapo anatajwa mwanamke kahaba).
1. Kwanza ufunuo 17:18 inaweka wazi kuwa mwanamke huyo ni mji mkuu...sasa ukisema mji huu n mwili wa mtu ulete ushahid wa maandiko. Itabidi ueleze pia kwanin tuuelewe mji huo huo unaotajwa ufunuo 18:10; Isaya 21:9; ufunuo 14:8 kama babeli kuwa ni mwili wa mwanadamu
2. Sura ya 17 inaeleza kuwa mwanamke alikuwa amekaa JUU ya mnyama(ufunuo 17:7) hivyo unakosea kutafsiri mwanamke sawa na mnyama. Labda nikukumbushe tu kwenye vitabu vya unabii(apocalyptic books) yaani Daniel na Ufunuo mnyama huwa anawakilisha ufalme na pembe huwa inawakilisha mfalme(Daniel 7:17, 24; 8:20-22; ufunuo 17:10,12).
3. Ikiwa wafalme ni nafsi yako elezea biblia ina maana gani kusema kuwa kati ya wafalme hao kumi, watano wamekwisha kuanguka(ufunuo 17:10) na mmoja yupo na mwingine hajaja bado...husianisha na tafsiri yako ya mfalme= roho kwa kutumia biblia.
4. Nikukumbushe tu kuwa kuna madhara makubwa sana ya kulipotosha neno la Mungu, huwezi kulitafsiri vile unavyotaka, iache ijitafsiri yenyewe!
 
Tafsiri
tafsiri yangu ni collect 100% ufunuo siyo kitu kipya bali ni yaleyale yaliyo fundishwa na kuonywa .....kama tafsiri yangu ni potovu toa yako nikuulize maswali ndiyo utajua ujinga wako .....maana tafsiri za makanisani ni za kihuni haswa
Tafsiri ya biblia nitaileta wakat ukifika, kwa sasa endelea kujibu maswal yangu!
 
Sijui kwanin wayapotosha maandiko kiasi hiki, nataman tu watu wasiyabebe baadh ya maneno yako kama yalivyo badala yake wakachunguze wenyewe maandiko kuona ikiwa ndivyo ilivyo au la,
okay so umeitaja Ufunuo 17(ambapo anatajwa mwanamke kahaba).
1. Kwanza ufunuo 17:18 inaweka wazi kuwa mwanamke huyo ni mji mkuu...sasa ukisema mji huu n mwili wa mtu ulete ushahid wa maandiko. Itabidi ueleze pia kwanin tuuelewe mji huo huo unaotajwa ufunuo 18:10; Isaya 21:9; ufunuo 14:8 kama babeli(ya kiroho) kuwa ni mwili wa mwanadamu
2. Sura ya 17 inaeleza kuwa mwanamke alikuwa amekaa JUU ya mnyama(ufunuo 17:7) hivyo unakosea kutafsiri mwanamke sawa na mnyama. Labda nikukumbushe tu kwenye vitabu vya unabii(apocalyptic books) yaani Daniel na Ufunuo mnyama huwa anawakilisha ufalme na pembe huwa inawakilisha mfalme(Daniel 7:17, 24; 8:20-22; ufunuo 17:10,12).
3. Ikiwa wafalme ni nafsi yako elezea biblia ina maana gani kusema kuwa kati ya wafalme hao kumi, watano wamekwisha kuanguka(ufunuo 17:10) na mmoja yupo na mwingine hajaja bado...husianisha na tafsiri yako ya mfalme= roho kwa kutumia biblia.
4. Nikukumbushe tu kuwa kuna madhara makubwa sana ya kulipotosha neno la Mungu, huwezi kulitafsiri vile unavyotaka, iache ijitafsiri yenyewe!
 
Wewe unachanganya kitabu cha ufunuo na kitabu cha Daniel tumia akili fumbo alibebi maana halisi ya kitu bali linategemea logic pana zaidi ya kuunganisha dot...mfano mji mkuu ni huu ulimwengu na dunia yetu na miili yetu ambayo nafsi zetu zinakaa aliyo tuumbia mungu
 
Tafsiri

Tafsiri ya biblia nitaileta wakat ukifika, kwa sasa endelea kujibu maswal yangu!
Tena hii injili ninayo kupa ni correct kwa asilimia 100% naweza kukuambia hata maana ya nyoka aliye tajwa kwenye ufunua kuwa zilitoka roho 3 mfano wa chura hizo roho kwanini ni 3 na hizo roho ni nini ? Ukiweza kujua maana ya hizo roho zitokazo kwa joka utaweza kujua kwa nini Yesu alijaribiwa jangwani majaribu matatu 3
 
Kiukweli mm sina mgogoro na uhusiano uliopo kati ya ufunuo sura ya 13 na 17, tatizo ni vile unazitafsiri sura hizo bila ushahidi wa biblia yenyewe. We unafikiri kila mmoja akisema anachotaka si watu watachanganyikiwa? Na kwakwel biblia imeonekana kuwa figisu za watu na uongo kwa sababu ya watu tunaokuja na tafsiri zetu wenyewe kufit kile tunachotaka badala ya kuiacha yenyewe ituambie nn imekusudia kusema! Kumbuka mtu yeyote hapaswi kupunguza au kuongeza maneno ya unabii huo (ufunuo 22:18-19)
 
Tumia logic je dhambi inafanyeje kazi ...utajua kuwa mwili wa binadamu una siri kubwa sana kwenye dhambi .....hapo utajua yote ninayo kuambia ni kweli
 
Wewe unachanganya kitabu cha ufunuo na kitabu cha Daniel tumia akili fumbo alibebi maana halisi ya kiyu bali linategemea logic pana zaidi ya kuunganisha dot...mfano mji mkuu ni huu ulimwengu na dunia yetu aliyo tuumbia mungu
Lviwa ulimwengu mzima wa wasomaji wa biblia wataniunga mkono kuwa huwezi kukitenganisha kitabu cha Daniel na ufunuo. Ishara zilizotumika huku zinatumika pia huku, hahahaa tumia biblia kuunga hoja zako mkono vinginevyo atakuja mwingine na kusema mnyama ni simba na 666 ni idadi ya mashabiki. Uko sahihi fumbo linatafsiriwa kama fumbo na huwezi kuvitafsiri vitabu hivi viwili (Daniel na ufunuo) kiharisia(literary)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…