Lwiva hoja yako naielewa lakin ili kuiweka sawa zaidi ipatane na kile kimeelezwa kwenye biblia kuhusu 666 (ufunuo 13:18) lazima utoe maana ya vitu vifuatavyo ukihusianisha na tafsiri yako ya 666.KUHUSU 666 SIYO PAPA ....Kuna jamaa hapa hapa jf aliwai kuleta uzi kuhusu 666 alianza kuleta habari kama zako nilipo kuja na fafanuzi uzi aliukimbia na kuukacha .....666 NI MWILI WAKO MWANADAMU KAMA UJUI NIULIZE KIVIPI ......kama 666 ingekuwa ni PAPA basi wote waliokufa kabla ya papa duniani wataingia peponi ? Maana imeandikwa wenye chapa ya huyo mnyama ndiyo wataingia motoni.....maana yake ni nini ? Kwanza inatakiwa tujiulize chapa ya mnyama ni nini? Je nikitu gani kitakacho mfanya mtu kutupwa motoni zaidi ya DHAMBI !.....BASI CHAPA YA MNYAMA NI DHAMBI MAANA NDIYO KITU PEKEE KIMPELEKACHO MTU MOTONI .....hivyo 666 siyo papa wala binadamu yoyote aliye pita wala ajaye maana kama ni binadamu ajaye basi wote waliokufa kabla ya huyo mwanadamu wataingia peponi?💥Chapa kwenya paji la uso ni mawazo maovu mioyoni mwetu.
💥Chapa kwenye paji la uso ni matendo maovu
Chapa kwenye paji la uso na mikoni ni kinyume cha haya maandiko ....ndiyo wale wasio zaliwa kwa damu wala kwa mwili ..Kuzaliwa kwa damu =chapa kwenye pajikuzaliwa kwa mwili =chapa kwenye mikoni
Mwili wako ndiyo huyo mnyama ndiyo maana ikaandikwa msizifuate tamaa za mwili maana nia ya mwili ni mauti.
Nime screenshot ule uzi wa 666 jamaa alikimbia uzi..uzi ulikuwa wa mwaka 2023
1. Joka (The dragon) ambaye alimpatia nguvu mnyama(vs 2), ambaye pia aliabudiwa kwa sababu hiyo.
2. Mnyama toka baharini, ambaye 666 inasemwa kuwa ni namba yake.
-eleza pia kwann anasemwa kutoka baharini
-vichwa kumi na pembe zake kwann zimetajwa hapa? (kimsing hizi n sifa zake bainishi)
-kwann biblia inasema alipata Jeraha kwenye moja ya vichwa vyake(13:3)
3. Bila shaka hutaacha kumuelezea pia mnyama toka nchi kavu(uf.13:11) kwa sabab tunaambiwa ana uhusiano mkubwa na mnyama wa kwanza, n kama chawa wake hivi
4. Utaeleza pia alama ya mnyama wa kwanza ni ipi
5. Kisha ndo ueleze vizur sasa 666 kuhusianisha na hivyo vitu, utakuwa umenisaidia sana kufahamu vitu hivyo!
Kumbuka 666 kulingana na kitabu cha ufunuo ni kama code ya kumfaham mnyama, sasa kama hiyo 666 ni "dhambi" au "mwili wako" lazima uelezee na huyo mnyama ambaye namba yake inasimama badala ya 'dhambi' au 'mwili wako' ni nan, na hao wengine waliotajwa (The dragon and the beast from the Land) ni akina nan? Zingatia The beast, The Dragon, from The sea, from The land. Najua unaelewa nnachojaribu kusisitiza hapa.