zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Wewe Papa akifa unapata nini?Papa anakufa huko Vatican
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Papa akifa unapata nini?Papa anakufa huko Vatican
Hata yesu walisema, huyu si mtoto wa selemara. Nguvu ya Mungu haichagui sehemu mtu anakotoka. HahahahaTapeli yule acha kumficha yule Mmalawi alielowea Zambia na kufanya biashara ya mafuta Tunduma na Mbeya usifikiri hatumjui
Umalaya mwingi umewajaawanavaa singlend na vimini suruari nyimbo za Dunia ndo nyimbo za injili
Yule sio Yesu usimfananishe Yesu na matapeli kwanza unakufuruHata yesu walisema, huyu si mtoto wa selemara. Nguvu ya Mungu haichagui sehemu mtu anakotoka. Hahahaha
Wanacheza Orgy au sio?Tena kwenye hizi ministry ndo hovyo kabisa waumini hawakemewi.
Mtu anawakusanya mashorabaro na masister du maadamu matoleo
Yule sio Yesu usimfananishe Yesu na matapeli kwanza unakufuru
Wote unaowaona kwenye hivyo vilinge vyao wametoka Romania yaan wakikaribia kufa ndio akili zinawarudikwa uaminifu kabisa roman haijawahi kuwa katika hali nzuri ya kiroho
Unaokoteza matapeli huko unawafananisha na Yesu ndio maana anawaokota kumbe mnamuona km Yesu mtenda miujiza?Kiukweli Mimi huwa sichagui huduma ipi niende endapo nitajua Kama nipo fiti kiroho, maana hata Kama nitaangukia kwenye huduma mbovu lkn bado niliembeba Ni zaidi ya huduma hiyo mbovu
Kwenye treatment ya mwanamke kobazi mnaupiga mwingi kama Messi.Nyie si ndio mnaopiga kelele kuwa uislamu unamkandamiza mwanamke,,endeleeni kuwapa madhabahu akina Zumaridi lkn ukweli mbinguni mtapasikia tu..
Nipo pale..
Naona mmoja wa makerubi wa Mwamposa unampakulia minyama boss wako at the expense of Roman CatholicNeno Ni lenyewe, wewe ndio sio mwenyewe, umepotoka kabisa. Kumbuka ulimwengu wa Giza una vitu unavyotumia, vifaa mbalimbali Kama chungu, ngozi za wanyama, vibuyu nk.
Vilevile ulimwengu wa Nuru una vifaa mbalimbali ambavyo vimetumika na watakatifu na vinaendelea kutumika. Mf. Mafuta, maji, chumvi nk. Hivi huwakilisha ulimwengu wa nuru. So mtu akitumia hivyo ibadani sio kwamba anakosea hasha Bali wewe ndio unakosea kwa kuwapa watu uzito wakuwaamini watumishi wa Mungu. Na watu Kama wewe yesu kasema Ni heri kufungwa jiwe nakutoswa baharini.
Watumishi wa Mungu wanajitahidi kufundisha vizuri lkn watu Kama wewe ambaye hujui hata neno Wala huamini ktk miujiza Ni tatizo. Kwani Ni muujiza gani ambao wewe umewahi ukubali kwamba umetoka kwa Mungu?
Hao akina mwamposa wanakusanya pesa nyingi lkn sio kwamba wanafikia level za roman catholic ambao wanafanya biashara wanna maseminali, Wana mahospitali, wanauza vitabu, rozali, nk. Mwamposa kuuza maji tu unaona kakumalizia hela zote wakati pesa hizo zinatumika kuendeleza kazi ya Mungu. Acheni fikra potofu.
s
Sipo kwa mwamposa Mimi Wala maisha yangu hayana uhusiano na mwamposa kabisa. Namtumia mwamposa kuwakilisha watumishi wa Mungu wote ambao wanapitia vijineno neno.Naona mmoja wa makerubi wa Mwamposa unampakulia minyama boss wako at the expense of Roman Catholic
Sipati kitu.Wewe Papa akifa unapata nini?
Tangulia wewe kufaSipati kitu.
Mm nimeishia hapo sijaendelea kusoma tena"Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"
Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
Huwa wanakufa sana kama binadamu wengine, atachaguliwa mwinginePapa anakufa huko Vatican
Sijakuona siku nyingi unajua mpaka nikasema yupo wapiHuwa wanakufa sana kama binadamu wengine, atachaguliwa mwingine
Itakuwa wewe ndo huonekaniSijakuona siku nyingi unajua mpaka nikasema yupo wapi
Tangu zamani"Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"
Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
Aaah hapana sio kweliItakuwa wewe ndo huonekani