Pentekoste iliyochangamka

Pentekoste iliyochangamka

Mafundisho ya mashetani yapi weka video tuyaone, acha ubishi
kaka video inabidi uitafute kwenye maandiko.
kwa sababu hayo si maneno yangu
japo mm binafsi nilishaiona
 
Ibrahimu alikuwa tajiri, yusuph, daudi, Suleiman, nk. Haitakiwi mtu wa Mungu uwe fukara Ni kutokutambua haki zako. Sasa akitokea nabii akafundisha namna ya kujua haki zako ili uwe tajiri Basi huyo ameshakuwa freemaso
ooh unazungumza vyema habari za agano lakale, japo torati huifuati .
utajiri wao ulikuwa kivuli cha utajiri aliouleta Bwana yesu kristo. si wa mali tena.
ila kunautajiri mkuu upo kuliko wa hao yusufu,ibrahim na daudi,
yesu na mitume walikuwa na maisha duni ila waliupata uo utajiri.
mungu hayupo tena hukoo, tembea nae yeye haweeki kambi
 
Roma ndio imeutunza Ukristo kwa zaidi ya miaka 2025 hadi sasa duniani na wao ndio walioamua Biblia hii ndo ndo itumike
Kuna viashiria vyote vya waziwazi kwa Roman Catholic kuwa ni Dini ya Kishetani muanzilishi mkuu wa kuvurugika kwa imani aliyoisisitiza Yesu Kristo mwenyewe katika Mathew 5:48 (ikakaziwa zaidi katika 1 Petro 1:15-16). Kanisa la Roman Catholic linawapumbaza walio wengi kwa kivuli cha Ukristo ila kiuhalisia hakuna Ukristo wowote zaidi ya ushetani ndani yake. Kanisa hili pamoja na makanisa ya manabii wa uongo ndio pekee nyumba zao za ibada wachawi wanaingia kusali/kuchezea watu na kutoka comfortably kwa sababu hakuna roho wa Mungu ndani yake. Sababu nyingine za wazi tiririka nazo hapo chini.

All of the Vatican symbolism is of Ancient Egypt or Greece idols (huwezi pata majibu ya essence ya RC kuaddopt the same paganic symbolism, hii inakinzana na andiko kutoka 2 Corinthians 6:14).

The pattern of almost all Catholic Prayers follow the same pattern of satanic incantations (Novena is the best and close example, contrary to Mathew 6:7).

Kwa kujua nguvu iliyo katika ubatizo aliouamuru Yesu Kristo (Nguvu ya Roho Mtakatifu), nguvu inayoogofya ulimwengu wa giza, Roman Catholic kwa makusudi waliamua kubadilisha ubatizo completely, kuanzia kitendo mpaka agano la ubatizo contrary to teachings of all apostles of Jesus Christ in the book of acts.

Roman Catholic ni washiriki wakuu kwenye kuliangamiza kanisa la mwanzo la imani alioianzisha Mungu mwenyewe imani ya utakatifu. Kanisa la mitume likiwemo alilolianzisha Petro (church of Jerusalem) lilitambulika kama kanisa la watakatifu (hapa wafuasi wa papa watakuambia Petro ndie muanzilishi wakanisa lao/papa wa kwanza ilhali Petro alikuwa na mke). Romans walishiriki kikamilifu kuwauwa na kuwaangamiza washirika wa kanisa hili na mengine mengi kisha baadae kuja kuanzisha kanisa fake la Roman Catholic wakaliita kanisa ya kikristo ila likaondolewa mafundisho yote yanayohimiza utakatifu katika Yesu Kristo (mpaka hii leo utakatifu hauubiriwi katika kanisa la Roman Catholic).

Roman Catholic wameshiriki kuchezea maandiko matakatifu kwa kuondoa na kubadili neno la Mungu contrary to Deuteronomy 4:2 and Revelation 22:18-19. Pia wamejaribu kuyafuta kabisa baadhi ya maandiko kwenye neno la Mungu kwa madai kuwa hayafai kwa mafundisho (thanks YHWH the vatican army failed all attempts in Ethiopia, we can at least access some of the original copies of ancient scriptures but few are yet to be found to date eg. The Book of Shemaiah the prophet). This is contrary to 2 Timothy 3:16-17

Nna mengi ya kuandika kuhusu Roman Catholic ila nadhani kuna haja ya kuwa na uzi wa pekee. Wacha niishie hapa kwa sasa.
 
ooh unazungumza vyema habari za agano lakale, japo torati huifuati .
utajiri wao ulikuwa kivuli cha utajiri aliouleta Bwana yesu kristo. si wa mali tena.
ila kunautajiri mkuu upo kuliko wa hao yusufu,ibrahim na daudi,
yesu na mitume walikuwa na maisha duni ila waliupata uo utajiri.
mungu hayupo tena hukoo, tembea nae yeye haweeki kambi
Acha mbwembwe roman Catholic Ni matajiri wakubwa, huyo mwamposa hawezi fikia utajiri wa Papa hata theluthi. Yaani wewe unataka walokole wore wawe masikini duh!
 
Kuna viashiria vyote vya waziwazi kwa Roman Catholic kuwa ni Dini ya Kishetani muanzilishi mkuu wa kuvurugika kwa imani aliyoisisitiza Yesu Kristo mwenyewe katika Mathew 5:48 (ikakaziwa zaidi katika 1 Petro 1:15-16). Kanisa la Roman Catholic linawapumbaza walio wengi kwa kivuli cha Ukristo ila kiuhalisia hakuna Ukristo wowote zaidi ya ushetani ndani yake. Kanisa hili pamoja na makanisa ya manabii wa uongo ndio pekee nyumba zao za ibada wachawi wanaingia kusali/kuchezea watu na kutoka comfortably kwa sababu hakuna roho wa Mungu ndani yake. Sababu nyingine za wazi tiririka nazo hapo chini.

All of the Vatican symbolism is of Ancient Egypt or Greece idols (huwezi pata majibu ya essence ya RC kuaddopt the same paganic symbolism, hii inakinzana na andiko kutoka 2 Corinthians 6:14).

The pattern of almost all Catholic Prayers follow the same pattern of satanic incantations (Novena is the best and close example, contrary to Mathew 6:7).

Kwa kujua nguvu iliyo katika ubatizo aliouamuru Yesu Kristo (Nguvu ya Roho Mtakatifu), nguvu inayoogofya ulimwengu wa giza, Roman Catholic kwa makusudi waliamua kubadilisha ubatizo completely, kuanzia kitendo mpaka agano la ubatizo contrary to teachings of all apostles of Jesus Christ in the book of acts.

Roman Catholic ni washiriki wakuu kwenye kuliangamiza kanisa la mwanzo la imani alioianzisha Mungu mwenyewe imani ya utakatifu. Kanisa la mitume likiwemo alilolianzisha Petro (church of Jerusalem) lilitambulika kama kanisa la watakatifu (hapa wafuasi wa papa watakuambia Petro ndie muanzilishi wakanisa lao/papa wa kwanza ilhali Petro alikuwa na mke). Romans walishiriki kikamilifu kuwauwa na kuwaangamiza washirika wa kanisa hili na mengine mengi kisha baadae kuja kuanzisha kanisa fake la Roman Catholic wakaliita kanisa ya kikristo ila likaondolewa mafundisho yote yanayohimiza utakatifu katika Yesu Kristo (mpaka hii leo utakatifu hauubiriwi katika kanisa la Roman Catholic).

Roman Catholic wameshiriki kuchezea maandiko matakatifu kwa kuondoa na kubadili neno la Mungu contrary to Deuteronomy 4:2 and Revelation 22:18-19. Pia wamejaribu kuyafuta kabisa baadhi ya maandiko kwenye neno la Mungu kwa madai kuwa hayafai kwa mafundisho (thanks YHWH the vatican army failed all attempts in Ethiopia, we can at least access some of the original copies of ancient scriptures but few are yet to be found to date eg. The Book of Shemaiah the prophet). This is contrary to 2 Timothy 3:16-17

Nna mengi ya kuandika kuhusu Roman Catholic ila nadhani kuna haja ya kuwa na uzi wa pekee. Wacha niishie hapa kwa sasa.
Unachanganya kati ya utawala wa Warumi na kanisa katoliki,
Waliouwa watakatifu ni utawala wa Warumi.Aabudiwi shetani pale bali Yesu Kristo
 
ama hakika roman ni vipofu kweli kweli.
kuwa taasisi yenye mali na miradi aimaanishi kuwa na Mungu
roman ni taasisi na si kanisa.
😆😆😆😆😆😆Wale wasabato walikesha na kuomba pale uwanja wa ndege Tabora wakimsubiri Yesu ashuke toka Mbinguni kuja kuwatwaa, njaa ilipowazidia wakalegea dhoofu taaban wakaondolewa na Police kinguvu breki ya kwanza kuwanusuru kwa kuwapa misosi ili kunusuru uhai wao.
 
mungu akubariki sana ndugu yangu
watu wanashindwa kujua hata hatuyaongei kwa chuki ila upendo husahihisha.
ni kama upo njeya mto na watu wapo kwenye boti na mbele kuna korongo zitoo. unawapigia kelele washukee na hawakuelewi
 
Unachanganya kati ya utawala wa Warumi na kanisa katoliki,
Waliouwa watakatifu ni utawala wa Warumi.Aabudiwi shetani pale bali Yesu Kristo
fatilia historia ya wafia imani utamuelewa huyu brother,
hata hivyo sidhani kuwa hujui kwamba vatican ni utawala kamili.
😆😆😆😆😆😆Wale wasabato walikesha na kuomba pale uwanja wa ndege Tabora wakimsubiri Yesu ashuke toka Mbinguni kuja kuwatwaa, njaa ilipowazidia wakalegea dhoofu taaban wakaondolewa na Police kinguvu breki ya kwanza kuwanusuru kwa kuwapa misosi ili kunusuru uhai wao.
 
😆😆😆😆😆😆Wale wasabato walikesha na kuomba pale uwanja wa ndege Tabora wakimsubiri Yesu ashuke toka Mbinguni kuja kuwatwaa, njaa ilipowazidia wakalegea dhoofu taaban wakaondolewa na Police kinguvu breki ya kwanza kuwanusuru kwa kuwapa misosi ili kunusuru uhai wao.
hao wanachekesha sanaaa
 
fatilia historia ya wafia imani utamuelewa huyu brother,
hata hivyo sidhani kuwa hujui kwamba vatican ni utawala kamili.
Ni utawala kamili ndani ya Kristo kumbuka Ukatoliki ndio umeutunza Ukristo kwa miaka 2025 hadi sasa haya makanisa ya kilokole ndo yamekuja kuuharibu angalia makanisani kwenu hakuna mfumo wa mavazi hata ukienda uchi sawa, check nyimbo zenu hazina tofauti na nyimbo za mashetani hazina uvuvio wa Roho Mtakatifu si ajabu muimbaji wa injili kucollable na muimbaji wa shetani wakatoa single,check mastep ya kuzimu kwenye nyimbo zenu
 
Mwalimu wangu Marehemu Padre Professor Theodore J. Walter(S.J) alinithibitishia kabisa kwamba kanisa sio njia ya kumuabudu Mungu bali ni kanisa ni chombo cha kusimamia na kufanya biashara za wajanja. Nitamkumbuka daima yule padre na mlinzi wa PAPA
 
Siku hizi wamegundua njia ya kukusanya sadaka. Unanunua Spika na Microphone unachagua kituo cha daladala unaanza kuhubiri. Kisha unakusanya sadaka.
Wana kelele sana hao jamaa, pia kuna wale wanaoingia kwenye daladala hasa za ruti ndefu kama Kariakoo - Tegeta wanapiga neno afu wanalazimisha sadaka kwa masimango.
 
Pentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.
ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi.
Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman.
imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na pesa.
chumvi na maji.

moja ya mambo kanisa limejichanganya nayo;
1; mahubiri ya pesa tu na mali, kamwe Bwana yesu hakuwahi kuwa na mahubir ya mtindo huu. biblia inasema haiwezekan kwa tajiri kuurithi ufalme wa mungu. utafuteni kwanzaufalme wa mungu na hayo mengine mtazidishwa
kanisani wamejazana wenye dhambi wanaotaka baraka za Mungu.

2; WAHUBIRI/WAHUDUMU WANAWAKE.
1Wakorintho 14;32Roho za manabii zinawatii
manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa
machafuko bali ni wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya
watakatifu, 34wanawake wanapaswa kuwa
kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali
wanyenyekee kama sheria isemavyo. 35Kama
wakitaka kuuliza kuhusu jambo lo lote,
wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana
ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.

1 timotheo 2;11
11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa
utii wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya
kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya
mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa
kimya.

3;KUNENA KWA LUGHA
1 wakorintho 14;16
Kama mtu ye yote akinena kwa lugha,
basi waseme watu wawili au watatu si zaidi,
mmoja baada ya mwingine na lazima awepo
mtu wa kutafsiri. 28Lakini kama hakuna mtu ye
yote wa kutafsiri, hao watu na wanyamaze
kimya kanisani na wanene na nafsi zao
wenyewe na Mungu.

4; USASA IBADANI
Mungu hajwahi kwenda na wakati kwa sababu maendeleo ya usasa yoote ni ya ibilisi. yeye ni yeye yule jana leo na hata milele habadiliki. akisema usivae hiki ni hivyo milele . sasa huu usasa wa mpaka kumuita mungu DADY ni aibu kanisani.

5; MIUJIZA NJE YA NENO LA MUNGU
hapa sasa ndo kuna tatizo kubwa watu wamekuwa wakifata miujiza na si neno. kumbuka B wana yesu alitumia miujiza ili kuwavuta watu awahubirie neno la uzima. ila huu uhubiri wa kumwagia chumvi nymba na kuweka picha ya mhubiri chini ya biasharayako ni ushetani na ushirikina.

KWA KUMALIZA UKIANGALIA VIZURI WENGI WALIOKUWA WASHIRIKINA WALITAFUTA AINA MPYA YA USHIRIKINA ULIOJIFICHA KATIKA VAZI LA KIDINI.
WENGI WAMEENDA KWA WAGANGA NA KWA MANABII KWA KUWA NI VVITU VINAVYOFANANA.
INASIKITISHA KUONA PENTEKOSTE ILIPOFIKIA.
Kuna kikanisa kimoja cha pentekoste hapa mtaani kila siku waumini wake wanakesha wakitupigia kelele kwa mziki mnene tunashindwa kulala na wake zetu. Yaani imegeuka kuwa kero ya mtaa na cha kushangaza ratiba yao ni kila siku.....yaani ni daily and never miss. Ifike wakati hawa watu wapunguze maombi yao waache kutupigia kelele usiku kucha na kutunyima usingizi.
 
Mwalimu wangu Marehemu Padre Professor Theodore J. Walter(S.J) alinithibitishia kabisa kwamba kanisa sio njia ya kumuabudu Mungu bali ni kanisa ni chombo cha kusimamia na kufanya biashara za wajanja. Nitamkumbuka daima yule padre na mlinzi wa PAPA
Kweli kabisa mkuu. Umenena jambo la ukweli na uhakika.
 
"Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"

Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
Namshangaa na mimi...huyu atakua msabato..msabato bila kuiongelea Roman catholic vibaya siku haijaenda...
 
Kuna viashiria vyote vya waziwazi kwa Roman Catholic kuwa ni Dini ya Kishetani muanzilishi mkuu wa kuvurugika kwa imani aliyoisisitiza Yesu Kristo mwenyewe katika Mathew 5:48 (ikakaziwa zaidi katika 1 Petro 1:15-16). Kanisa la Roman Catholic linawapumbaza walio wengi kwa kivuli cha Ukristo ila kiuhalisia hakuna Ukristo wowote zaidi ya ushetani ndani yake. Kanisa hili pamoja na makanisa ya manabii wa uongo ndio pekee nyumba zao za ibada wachawi wanaingia kusali/kuchezea watu na kutoka comfortably kwa sababu hakuna roho wa Mungu ndani yake. Sababu nyingine za wazi tiririka nazo hapo chini.

All of the Vatican symbolism is of Ancient Egypt or Greece idols (huwezi pata majibu ya essence ya RC kuaddopt the same paganic symbolism, hii inakinzana na andiko kutoka 2 Corinthians 6:14).

The pattern of almost all Catholic Prayers follow the same pattern of satanic incantations (Novena is the best and close example, contrary to Mathew 6:7).

Kwa kujua nguvu iliyo katika ubatizo aliouamuru Yesu Kristo (Nguvu ya Roho Mtakatifu), nguvu inayoogofya ulimwengu wa giza, Roman Catholic kwa makusudi waliamua kubadilisha ubatizo completely, kuanzia kitendo mpaka agano la ubatizo contrary to teachings of all apostles of Jesus Christ in the book of acts.

Roman Catholic ni washiriki wakuu kwenye kuliangamiza kanisa la mwanzo la imani alioianzisha Mungu mwenyewe imani ya utakatifu. Kanisa la mitume likiwemo alilolianzisha Petro (church of Jerusalem) lilitambulika kama kanisa la watakatifu (hapa wafuasi wa papa watakuambia Petro ndie muanzilishi wakanisa lao/papa wa kwanza ilhali Petro alikuwa na mke). Romans walishiriki kikamilifu kuwauwa na kuwaangamiza washirika wa kanisa hili na mengine mengi kisha baadae kuja kuanzisha kanisa fake la Roman Catholic wakaliita kanisa ya kikristo ila likaondolewa mafundisho yote yanayohimiza utakatifu katika Yesu Kristo (mpaka hii leo utakatifu hauubiriwi katika kanisa la Roman Catholic).

Roman Catholic wameshiriki kuchezea maandiko matakatifu kwa kuondoa na kubadili neno la Mungu contrary to Deuteronomy 4:2 and Revelation 22:18-19. Pia wamejaribu kuyafuta kabisa baadhi ya maandiko kwenye neno la Mungu kwa madai kuwa hayafai kwa mafundisho (thanks YHWH the vatican army failed all attempts in Ethiopia, we can at least access some of the original copies of ancient scriptures but few are yet to be found to date eg. The Book of Shemaiah the prophet). This is contrary to 2 Timothy 3:16-17

Nna mengi ya kuandika kuhusu Roman Catholic ila nadhani kuna haja ya kuwa na uzi wa pekee. Wacha niishie hapa kwa sasa.
Umenena kweli tena kweli tupu. Yesu alihubiri Jerusalem, ila wahuni wakalipeleka kanisa Rome ili waharibu mafundisho ya kweli ya Masihi. Wamejaza ushetani na kuabudu masanamu pale Rome kila kona kumejaa masanamu.
 
Back
Top Bottom