Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

Mwaka wa 8 huu sinywi hayo matakataka. Sio soda, sio juice za kopo, sio energy drinks, sio aina yoyote ya kilevi. Vilevi vingine nje ya soda sijawahi kuvigusa toka nizaliwe. Ni maji tu.
Hapo kwenye vilevi unakosa uhondo.
 
Unatuhamisha kwenye mada
Subiri mada ya vyama vya ndiyo uje uweke vitu km hivi.
 
Mbadala mbona upo mkuu...kunywa zero..ni kwel zina zero sugar...
 
Yaani mtu anaanzaje kupenda soda hadi anakua Addicted??? Ni sawa uniambie eti una hamu ya bia. Bia inakupaje hamu jamani
Bia ina mahala ikigusa unakua safi kabisa.
Si lazima unywe nyingi hata moja au mbili tu inatosha.
Kwanza bia inaongeza damu hivyo ni nzuri kwa afya yako ukinywa kistraabu.
 
Acha kabisa ndugu jenga mazoea ya kunywa maji badala ya sida au kabia kamoja wakati wa mlo wa usiku.
 
Niliacha na hii kitu karibia miaka 16 iliyopita.

Hatari zaidi ni hivi vinywaji vya siku hizi hivi. Hizi energy energy ndio hatari zaidi. Nasikia wanatupiamo ya kulevya,ili uwe addicted navyo. Ndio maana unakuta vijana hawa wa bodaboda kila baada masaa kadhaa anacho. Wenyewe wanakuambia vinaongeza nguvu. Hatari sana
 
Acha kabisa ndugu jenga mazoea ya kunywa maji badala ya sida au kabia kamoja wakati wa mlo wa usiku.
Bia sijawahi weka mdomoni , hata soda zenyewe saa hizi nimepunguza sana , maji toka ujana unaingia nakunywa mengi sana min 4 litres kwa siku .
 
Hawatupii kwa siri..

Wameandika kabisa pale kuwa kuna Caffeine ndani.

Caffeine ina CNS effect..kwahiyo addiction ni lazima...The same applies kwa kahawa nayo ina caffeine.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Kuna watu wanakunywa soda...khaa!!
 
Una mapepo kakanyage mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…