Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

Kwahiyo utaishi miaka 100?
Kisa hutaishi miaka 100 ndio uanze kufumuliwa Marinda na kupakwa kilainishi? Itakuwa ni akili hiyo, yaani ufanye kila aina ya ushenzi wenye madhara kwenye mwili wako kisa tu hutaishi miaka 100?! Ni logic gani hiyo?!
 
Kwanza kabisa nikupe hongera kwa kufanikiwa kuacha uraibu anaopatikana na Soda. Huu ni Uraibu kama uraibu wa Madawa ya Kulevya, kama ilivyo kwa tangazo la Pombe/Bia, kuwa unywaji wa Pombe kupindukia ni hatari kwa afya yako, ndivyo hivyo hata Kwa Soda zilitakiwa kuwa na Aina ya Tangazo kama hili.

Binafsi yangu nilikuwa ninakunywa Soda mbili hadi tatu kwa siku. Kila baada ya Mlo na breakfast nlikiwa nnakimbilia Pepsi baridi au Sparletta. Hivyo kujikuta ninakunywa Soda hadi 3 kwa siku, zikipungua ni mbili. Uzito uliongezeka kutoka 82kg hadi 93kgs. Hadi nikawa nahema kwa shida wakati nnapanda ngazi au mlima. Alhamdulilah, nimefanikiwa kukata kilo zote hizo, na sasahivi niko na 74Kg tu.

Ilifikia kipindi nikaona hapa bila ya kujiwekea nadhiri, sitoweza kuacha. Nikatafuta ushauri kwa wataalam wa Afya ili waweze kinishauri namna sahahi ya kuweza kuachana kabisa na Soda au kupunguza.

Mmoja wa Dr. Alinishauri vzur sana, kuwa nisiache kabisa. Yaani, nianze kwa kupunguza idadi nnayotumia kwa siku. Hadi pale mwili utakapo zoea. Nilifuata ushauri wake, nikaanza kuona mafanikio yake. Ndani ya miezi 4 tu, nikajikuta nimefanikiwa kuacha kabisa aina hii ya ulevi(Thank you Lord)

Hadi hivi sasa, ni takribani miaka 4, nimeacha Soda. Kama mdau mmoja hapo juu kwenye comments ametangulia kusema, yeye huwa anakunywa SODA wakati wa kusafiri, ananunua na tubiskuti vyake vichache kwa ajili ya kula njiani. Mimi pia hufanya Video hivyo.

Soda sio nzuri. Ushauri wangu. Kama mtu umevuka miaka 30, jaribu kwa namna yoyote ile kuikwepa/kukwepa matumizi ya vinywaji baridi vyenye kutiwa sukari ya viwandani. Tutumie zaido vitu vya asili kama vile Asali. Just za matunda au Tende kwa ajili ya kuongeza sukari asili mwilini.
 
Sawa usharudi mzuri
 
Back
Top Bottom