FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #201
Hizi soda za bila sukari mbona zina sukari sasa?
Eti jamani, haya masoda ya bila sukarie mwenzenu nilifikiri hayana kabsa sukari ajabu ukinywa hayana tofauti na yale ya kawaida au hii sukari wao wanaona ni ndogo mbaya zaidi watu wenye matatizo ya afya nao utasikia naomba hio bila sukar lakn leo nimekunywa moja naona haina tofaut na za kawaida...