Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

 
Natumae mpaka muda huu utakua ushazea kuishi bila kunywa soda...
 
 
Natumae mpaka muda huu utakua ushazea kuishi bila kunywa soda...
Nimeshasahau hata kama kuna kitu kinaitwa soda 😂😂😂, daah, maisha haya kweli ni kuamua tu, hakishindikani kitu aisee. Hata mwili wangu watu wananiambia kuna nuru na mng’ao fulani hivi umeongezeka
 
Keep it up brother.Maji ya chupa,sodas zote ambazo zina kiasi kikubwa sana cha artificial sweeteners kama Aspertame,artificial juices,natural juices ambazo zina additives kama preservatives etc.etc.ni silent killers,avoid them at any cost.Hizi ndizo zinazoleta magonjwa mengi yasiyotibika kama Cancers,Heart Diseases,Diabetes etc.etc.
 
 
 
aisee mim ndio mraibu wa Coca-Cola kabisa, nashindwa bila ile adi nguvu ya mwili inakwisha. kwa siku napiga tatu wastani
 
 
Wakulima wa mataunda wawezeshwe ili waweze kufanya usindikaji mdogo mdogo wa juisi halisi za matunda
 
Back
Top Bottom