Hongera sana. Mimi siku ya tatu sasa sijapata kileo.Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
Ila utakufa tu,alisikika mlevi mmojaMwaka wa 8 huu sinywi hayo matakataka. Sio soda, sio juice za kopo, sio energy drinks, sio aina yoyote ya kilevi. Vilevi vingine nje ya soda sijawahi kuvigusa toka nizaliwe. Ni maji tu.
Hongera mkuu, tuzidi kukaza, tunaweza!!Hongera sana. Mimi siku ya tatu sasa sijapata kileo.
Nikifa nitakuachia watoto mama angu uwatunze. Najua wewe utaishi milele mke wangu mzuri. Alisikika mlevi mmoja.Ila utakufa tu,alisikika mlevi mmoja
Ndugu yangu ninapowaza kuwa kuna kufa na kumuacha mkeo anaolewa na njemba nyingine wivu unanishika,tulinde afya zetu na tuwe karibu na MunguNikifa nitakuachia watoto mama angu uwatunze. Najua wewe utaishi milele mke wangu mzuri. Alisikika mlevi mmoja.
Umesevu pesa ya kutosha tofali ngapi? Hongera.Hongera mkuu, tuendelee kupeana moyo, tutafanikiwa na hii kadhia, nimejidhatiti kweli kweli
Soda siyo nzuri kiafya, ukiweza kupunguza au kuacha kabisa ni jambo jema kwa afya yako.Kwani Soda ina athiri nini ukinywa?
kwann huli chipsHongera mimi nina mwaka wa 5 Sasa sili chipsi kabisa. Ukiamua inawezekana. Sasa naanza na hilo la soda.
Hata hizo unakuwa ujapunguza risk, hizo zote ni kemikali. Yale yale unakuta mtu eti soda anywi ila anavuta sigara.Soda siyo nzuri kiafya, ukiweza kupunguza au kuacha kabisa ni jambo jema kwa afya yako.
Tena atleast ukinywa unywe hizi soda sugar free kama Coca zero, sprite zero, pepsi bonge angalau unapunguza risk.
Kwenye hizi soda kuna sukari ya kufa mtu.
Mmh, mi nikajua fegi. Soda haina addiction.Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
Tatizo ni uandaaji tu, mafuta mengi halafu mafuta yenyewe yana cholesterol.
Viazi ulaya vikipikwa ni chakula kizuri sana, wanawake wangekuwa wanajielewa hiki ndio kingekuwa chakula chao kikuu na siyo chips.Mwamba hali chipsi ila anakula viazi mviringo.
Testlesskutumia
Umeelewa nilichoandika?Hata hizo unakuwa ujapunguza risk, hizo zote ni kemikali. Yale yale unakuta mtu eti soda anywi ila anavuta sigara.
Kwani nyanya chungu zina utamu gani?Testless
Mimi matumizi yangu makubwa Ni maji, kwa 24 hrs nakunywa 1.5 lt chupa 6 au 7. Kwenda kwa watu lazima nibebe maji kwenye begi. Safarini napata tabu Sana maana nalazimika kutokunywa maji ili kuzuia kukojoa Mara kwa Mara. Je hii nayo Ni addiction?Kuacha kunywa soda ni rahisi sana,
Kula chakula, kunywa juice ya matunda halisi.
Kisha baadae kunywa maji mengi ya kawaida ya uhitaji wa size ya body lako