Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

Pamoja na kutokutulia na mwanamme hata harmonize nae pia hatulii na mwanamke mmoja.

Hapo ndy wakawa ni Qnet na kylinda.

Wote wanaviziana.
Faraji alipatapata hapo kwa kajala

Ova
 
Kajala syo mwanamke wa kuishi na mwanaume....
Yule ashazoea maisha ya kuonekana tu.....kila siku anataka bata tu
Ashazoea kudunkdunk tu
Kwa upande wa mwanaume naye hivyohivyo,msanii akae na dem mmoja wapi hiyo

Ova

Kweli kama amezoea maisha ya kudunkdunk ni ngumu kutulia.
 
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...

Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala akapanick akawa anamuuliza unaongea na nani? Harmonize akakata na kugoma kumuonesha alikuwa anaongea na nani. Kufika home mnaambiwa bonge la ugomvi, Kajala akatishia nyau akamwambia Harmonize anaondoka anarudi kwake.

We Harmonize mihasira akaingia ndani akapasua perfume zooooote za Kajala. Kajala akaanza kumchamba unapasua perfume zangu unajua nimenunua how much au unajua nani kazinunua? Harmonize akamwambia poa sepa, nenda kwako nimechoka kukubeg beg kama malaika, ondoka sasa hivi? Yani hata pasikuche we sepaaaa.

Kajala hakuamini anachoambiwa akaanza kulia hataki kuondoka. Hakudhani Harmonize angemuambia aondoke wakati siku zote Harmonize anambeg.

Kajala karudi kwake wiki nzima Harmonize hajamtafuta ndio Kajala kuanza kupigia simu watu ambao Harmonize anawaheshimu kuwa waongee naye. Alianza na Majey, Majey kumpigia Harmonize, Harmonize akajibu hataki keshamalizana na Kajala. Kajala akapiga kwa Jembe anaomba amuombee awapatanishe, Harmonize akamgomea na Jembe.

Ni wiki sasa Kajala yuko South Africa, huko kwenyewe alipofika alikuwa anahangaika tu kupatana na Harmonize ila Harmonize akamblock kila sehemu na simu zake hapokei.

Hii statement ya Kajala leo ni kama ile statement ya Zari ya ua jeusi watu wakadhani kuwa Zari ndiyo kamuacha Diamond, kumbe bibie ni baada ya kuona bwana hamtaki tena na haeleweki akajiwahi yeye kwenye social media kujionesha yeye ndiyo kamuacha mwenzie. llichukua muda mrefu mnooo Diamond kuja kufungua mdomo na kuwaambia watu kuwa yeye ndio aliemuacha Zari.

Same thing kimetokea hapa kwa kajala. Na mkumbuke last time Kajala aliachana na Harmonize kimya kimya bila kuandika chochote ndo mjue this time kuna jambo hadi kaja kuji explain.

Ila kubabeki Harmonize kachunwa vizuri tu na Kajala na mwanaye. lle gari moja Paula kaichukulia mkopo ndiyo akaongeza mzigo dukani. Wamemla vihela vyake vya kweli.

View attachment 2440096


Credit: Dada wa Taifa.
Huu itakuwa Ni uchawi pia umetumika kuwaachanisha wamakonde siyo watu poa
 
Jukwaa la kilimo hukuliona mkuu?

Ukiona uzi huuelewi jua, una wenyewe
Usitegemee kila uzi humu ukufurahishe

Ukiona uzi huuelewi
Jifunze kupita tu kimya kimya[emoji4]

Ni mtizamo wangu tu
no offense intended[emoji120]
Uko sahih Bab j mijitu kujifanya wakuwajui alfu nae Ana pata likes alfu Bado mijitu inapita kusoma comment pumbavu zaoao
 
kicheche huwa hatulii banda moja la kuku..Kajala hawezi kutulia na mwanaume yeyote, umalayer ni tabia yake tangu ako mdogo
Alitembee na Bab Ako ,pengjne hata mkoaa mzima wemu unakotoka hakuna aliye mlala Ni chuki tu mnayo kwa dad etu
 
Mimi? Mimi? Nafasi ipi? Kuwa na hamonise? Kisa? Pesa? Hata niwe nimerogwa siwezi kuwa na mahusiano na mtoto ninaemzidi umri.

Afu mimi sina tabia ya kupenda wanaume wafupi vile.
Wasanii nao ni wanaume ati ujitambe? Upuuzi mtu vibibi kubemenda watoto.
Kama ni hela mbona kuna wanaume wakubwa umri wana vipesa vyao na hawajitambi? Uwezi nielewa kwanza maliza shule.
Sister acha wivu penzi ujalipata wee tulia tu kajala ale maisha kwa boys yoyote anayejichanganya
 
Kwenye huu upumbavu wa Kajala na Harmonize nimebaki njiapanda kujua ningechukua uamuzi gani endapo ningekuwa Harmonize. Kwa utamu wa Kajala nisingekuwa tayari kumuachia ila pia kwa namna anavyochuna nisingeweza kuvumilia maumivu kwa muda mrefu. Mimi kwa ubahili wangu huwa hata nikilipia dawa pharmacy huwa roho inauma.
 
Kajala syo mwanamke wa kuishi na mwanaume....
Yule ashazoea maisha ya kuonekana tu.....kila siku anataka bata tu
Ashazoea kudunkdunk tu
Kwa upande wa mwanaume naye hivyohivyo,msanii akae na dem mmoja wapi hiyo

Ova
Yani TRAB NA TRAT
 
Back
Top Bottom