mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Duh huyu dem kapigana vita vingi [emoji1]
Jamaa Ana mtreat kama mtoto mbichi kumbe kilomita zimetembea
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh huyu dem kapigana vita vingi [emoji1]
Faraji alipatapata hapo kwa kajalaPamoja na kutokutulia na mwanamme hata harmonize nae pia hatulii na mwanamke mmoja.
Hapo ndy wakawa ni Qnet na kylinda.
Wote wanaviziana.
Kajala syo mwanamke wa kuishi na mwanaume....
Yule ashazoea maisha ya kuonekana tu.....kila siku anataka bata tu
Ashazoea kudunkdunk tu
Kwa upande wa mwanaume naye hivyohivyo,msanii akae na dem mmoja wapi hiyo
Ova
Huu itakuwa Ni uchawi pia umetumika kuwaachanisha wamakonde siyo watu poaGuys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...
Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala akapanick akawa anamuuliza unaongea na nani? Harmonize akakata na kugoma kumuonesha alikuwa anaongea na nani. Kufika home mnaambiwa bonge la ugomvi, Kajala akatishia nyau akamwambia Harmonize anaondoka anarudi kwake.
We Harmonize mihasira akaingia ndani akapasua perfume zooooote za Kajala. Kajala akaanza kumchamba unapasua perfume zangu unajua nimenunua how much au unajua nani kazinunua? Harmonize akamwambia poa sepa, nenda kwako nimechoka kukubeg beg kama malaika, ondoka sasa hivi? Yani hata pasikuche we sepaaaa.
Kajala hakuamini anachoambiwa akaanza kulia hataki kuondoka. Hakudhani Harmonize angemuambia aondoke wakati siku zote Harmonize anambeg.
Kajala karudi kwake wiki nzima Harmonize hajamtafuta ndio Kajala kuanza kupigia simu watu ambao Harmonize anawaheshimu kuwa waongee naye. Alianza na Majey, Majey kumpigia Harmonize, Harmonize akajibu hataki keshamalizana na Kajala. Kajala akapiga kwa Jembe anaomba amuombee awapatanishe, Harmonize akamgomea na Jembe.
Ni wiki sasa Kajala yuko South Africa, huko kwenyewe alipofika alikuwa anahangaika tu kupatana na Harmonize ila Harmonize akamblock kila sehemu na simu zake hapokei.
Hii statement ya Kajala leo ni kama ile statement ya Zari ya ua jeusi watu wakadhani kuwa Zari ndiyo kamuacha Diamond, kumbe bibie ni baada ya kuona bwana hamtaki tena na haeleweki akajiwahi yeye kwenye social media kujionesha yeye ndiyo kamuacha mwenzie. llichukua muda mrefu mnooo Diamond kuja kufungua mdomo na kuwaambia watu kuwa yeye ndio aliemuacha Zari.
Same thing kimetokea hapa kwa kajala. Na mkumbuke last time Kajala aliachana na Harmonize kimya kimya bila kuandika chochote ndo mjue this time kuna jambo hadi kaja kuji explain.
Ila kubabeki Harmonize kachunwa vizuri tu na Kajala na mwanaye. lle gari moja Paula kaichukulia mkopo ndiyo akaongeza mzigo dukani. Wamemla vihela vyake vya kweli.
View attachment 2440096
Credit: Dada wa Taifa.
SAS kwanin umesoma alikuombaa wee ni mpumbavu kumbeInatusaidia nini sisi members wa JF kujua kuvunjika kwa penzi la watu??yaani mtu mzima unatumia muda wako kuandika JF kuhusu kuvunjika kwa penzi la watu??this is none sense,grow up
Uko sahih Bab j mijitu kujifanya wakuwajui alfu nae Ana pata likes alfu Bado mijitu inapita kusoma comment pumbavu zaoaoJukwaa la kilimo hukuliona mkuu?
Ukiona uzi huuelewi jua, una wenyewe
Usitegemee kila uzi humu ukufurahishe
Ukiona uzi huuelewi
Jifunze kupita tu kimya kimya[emoji4]
Ni mtizamo wangu tu
no offense intended[emoji120]
Safi San mam etu kutoka ifakara, kilomberoWatarudiana tu, huyu chalii alizidisha bange
Kajala ni kisu bana no matter how old she's
Acha wivu mapenzi hayana umri Ni Africa tu mm mwenye naweza muoa mam Ako mzazi na akutuliaa tuliNimefurahi sana hivi mwanamke kisa njaa unaanzaje kumpenda mtoto mdogo vile? Mastar wa tanzania wana keroooooo.
Asante konde boy tafuta size yako.
Acha uboyaa mnafiki wew Nani kakutuma kusomaaTabia za KISHOGA kwa Mwanaume kuanzisha nyuzi JF zinazohusu maisha ya wapenzi wengine,haya kimbia kachukue nafasi ya Kajala sasa[emoji3]
Alitembee na Bab Ako ,pengjne hata mkoaa mzima wemu unakotoka hakuna aliye mlala Ni chuki tu mnayo kwa dad etukicheche huwa hatulii banda moja la kuku..Kajala hawezi kutulia na mwanaume yeyote, umalayer ni tabia yake tangu ako mdogo
Sahih kbsa anaangaika humu jf wenzake wanadanga tu nawatokasema tu na wewe haukufanikiwa kupata nafasi hiyo ungeifadi ungeitumia
Sister acha wivu penzi ujalipata wee tulia tu kajala ale maisha kwa boys yoyote anayejichanganyaMimi? Mimi? Nafasi ipi? Kuwa na hamonise? Kisa? Pesa? Hata niwe nimerogwa siwezi kuwa na mahusiano na mtoto ninaemzidi umri.
Afu mimi sina tabia ya kupenda wanaume wafupi vile.
Wasanii nao ni wanaume ati ujitambe? Upuuzi mtu vibibi kubemenda watoto.
Kama ni hela mbona kuna wanaume wakubwa umri wana vipesa vyao na hawajitambi? Uwezi nielewa kwanza maliza shule.
Wee umeongea kiutu uzima kbsaaWatu mmekalia kusemea range tu, hizi hela zinatafutwa tu aisee, pesa haiwez nunua furaha, kama furaha hamna hvyo vitu vyote havina thamani
HV mkuu huna msg yake akiwa amebinua kalio mnk uwezi kosaNina imagine tu hapa, nafumua fumua kwa bed ile mumamaa naikojoza mwanzo mwenga [emoji28][emoji28][emoji28] minyama nyama ile nainyonya tuu na kuikamata kwa hasira ikitoka hapo inakuwa nyekunduuuu
Yani TRAB NA TRATKajala syo mwanamke wa kuishi na mwanaume....
Yule ashazoea maisha ya kuonekana tu.....kila siku anataka bata tu
Ashazoea kudunkdunk tu
Kwa upande wa mwanaume naye hivyohivyo,msanii akae na dem mmoja wapi hiyo
Ova