Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kamwene, jamani tuseme ukweli hii couple ya mwanadada Irene Uwoya na Kayumba kiukweli hata hainogi yani bora hata kipindi kile yupo na janjaro kidogo ila kwa hapa amezidi kupotea kwa kweli.
Hivi kweli Irene hajaona kabisa watu wa rika lake mpaka kila kukicha anatembea na vitoto vidogo ??
Hii tabia mwanzoni alikuwa nayo Wema Sepetu ,alikuwa anapenda sana kuwatunuku penzi lake vibenten, kuanzia akina Young D, Asley, Mirror, Dogo Janja nk wote wameshamlamba Wema sasa ninaona hiyo tabia anaiendeleza Uwoya.
Kiukweli kwa mwendo huu Irene anajishushia CV sana ,BTW sisi yetu macho ngoja tuone mwisho wao.
Sent using Jamii Forums mobile app