Penzi la Irene Uwoya na Kayumba hata halipendezi

Penzi la Irene Uwoya na Kayumba hata halipendezi

Kamwene, jamani tuseme ukweli hii couple ya mwanadada Irene Uwoya na Kayumba kiukweli hata hainogi yani bora hata kipindi kile yupo na janjaro kidogo ila kwa hapa amezidi kupotea kwa kweli.


Hivi kweli Irene hajaona kabisa watu wa rika lake mpaka kila kukicha anatembea na vitoto vidogo ??

Hii tabia mwanzoni alikuwa nayo Wema Sepetu ,alikuwa anapenda sana kuwatunuku penzi lake vibenten, kuanzia akina Young D, Asley, Mirror, Dogo Janja nk wote wameshamlamba Wema sasa ninaona hiyo tabia anaiendeleza Uwoya.


Kiukweli kwa mwendo huu Irene anajishushia CV sana ,BTW sisi yetu macho ngoja tuone mwisho wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusikia ntamwambia. Afucwakijitokeza wengine usisite kufungua thread mpya
 
Nimemsikiliza Dogo akihojiwa na Dulla Planet wa East Africa Radio,huyo dogo ni wa kumuhurumia,anamla Uwoya!!
 
Mwache aendelee tu kwan Uwoya ana Cv gan???
Ila kuna shida sana sana sana kwa mastaa wa kike wakichaga.Ww fuatilia utaona.Sijui ni ushamba au nn!?
 
tafuta hela maisha ya uwoya wewe yanakusaidia nini,nyie ndio wanga wenyewe
 
tafuta hela maisha ya uwoya wewe yanakusaidia nini,nyie ndio wanga wenyewe


Man, maisha haya mazebweza ni wengi mno. We usishangae ukisikia mleta mada ni baba wa watoto wanne. Poor kids, they didn't ask for this. Nature is cruel sometimes
 
Back
Top Bottom