MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA
Habari za muda huu kwa mara nyingine tena
Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu
Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu
naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu
Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...
Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana
Elimu yangu: Degree
Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)
Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)
Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya
》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering
》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography
》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo
》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)
》Computer Networking
》 System analysis and design
MSAADA WENU WAUNGWANA
MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA
KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU
NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY
NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO
MUNGU WABARIKI SANA
NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI
NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA