Penzi la Irene Uwoya na Kayumba hata halipendezi

Man, maisha haya mazebweza ni wengi mno. We usishangae ukisikia mleta mada ni baba wa watoto wanne. Poor kids, they didn't ask for this. Nature is cruel sometimes
kwani unateseka?
 
mkuu,vitu vingine ni vya kipuuzi sasa anamzungumzia uwoya kwani huyo uwoya si ana haki ya kuwa na yeyote anaemfaa Kama anabadilisha vidume 'k' si yake
 
Uwoya amesema kuwa mashabiki wake wawe wapole, kama wanataka kumjua shemeji yao watamjua lakini si Kayumba.
“Ninachojua ni kwamba watu wengi wako ‘bize’ kujua mimi niko na nani hakuna mtu ambaye watamuacha kumtaja kwenye listi zao kuwa natoka naye kimapenzi hivyo siwashangai na kingine siwezi kutoka na Kayumba mjue hilo", amesema Uwoya.
Nanukuu
 
Kwani Uyowa sijui Uwoya alisha achana na huyu jamaa?
 
Miaka ni namba tu. Waache wenzio wafaidi.
 
Kamwene, jamani tuseme ukweli hii couple ya mwanadada Irene Uwoya na Kayumba kiukweli hata hainogi yani bora hata kipindi kile yupo na janjaro kidogo ila kwa hapa amezidi kupotea kwa kweli.

Hivi kweli Irene hajaona kabisa watu wa rika lake mpaka kila kukicha anatembea na vitoto vidogo ??

Hii tabia mwanzoni alikuwa nayo Wema Sepetu ,alikuwa anapenda sana kuwatunuku penzi lake vibenten, kuanzia akina Young D, Asley, Mirror, Dogo Janja nk wote wameshamlamba Wema sasa ninaona hiyo tabia anaiendeleza Uwoya.

Kiukweli kwa mwendo huu Irene anajishushia CV sana ,BTW sisi yetu macho ngoja tuone mwisho wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo janja je?
 
Si mbaya dogo kafaidi zigo
 
Naskia ni mgawaji mzuri wa 0719
Asilimia kubwa ya hawa wasanii wa bongo movie hawa wadada wanatoa sana mgongo...atazingua tu kidogo ili usimuone namna gani vipi lakini akishabugia pombe unasusiwa matako..demu akishakua mlevi mtihani sana..
 
Mmh
 
Yani kayumba ndo awe anamuweka uwoya mjini!? Haiwezekan... huyo demu huwa anatafuta watu wa kufichia mahusiano yake, itakua anatoka na mtu respected ambaye hataki media zimjue
Mtu respected gani akaweka mahusiano kwa mwanamke disrespected?
 
Huyo demu uwoya namtaka sana hata akiniambia nimpe laki 4 nimkojolee viwili niko tayari kabisa mara nyingi namcheki Instagram ila huwa ananijibu kwamkato sana,sijali kuwa kifua chake kimelaliwa na wengi
 
Back
Top Bottom