Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hii couple ya siri usitegemee kuiona kwenye mtandao.
Sasa hata huyo Kayumba ulikuwa unajua????Yani kayumba ndo awe anamuweka uwoya mjini!? Haiwezekan... huyo demu huwa anatafuta watu wa kufichia mahusiano yake, itakua anatoka na mtu respected ambaye hataki media zimjue
Mapenzi yake unamuonea! Usisahau kunasemekana ana ishi kwa matumaini hivyo mwanaume anayejitambua hampati
Kwani kuna mtu hajui... kabla hata ya birthday ya kayumba watu walikua washajuaSasa hata huyo Kayumba ulikuwa unajua????
Mpenzi wa Uwoya ndio huyo Kayumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
NdimnofuelaKamwene, jamani tuseme ukweli hii couple ya mwanadada Irene Uwoya na Kayumba kiukweli hata hainogi yani bora hata kipindi kile yupo na janjaro kidogo ila kwa hapa amezidi kupotea kwa kweli.
Hivi kweli Irene hajaona kabisa watu wa rika lake mpaka kila kukicha anatembea na vitoto vidogo ??
Hii tabia mwanzoni alikuwa nayo Wema Sepetu ,alikuwa anapenda sana kuwatunuku penzi lake vibenten, kuanzia akina Young D, Asley, Mirror, Dogo Janja nk wote wameshamlamba Wema sasa ninaona hiyo tabia anaiendeleza Uwoya.
Kiukweli kwa mwendo huu Irene anajishushia CV sana ,BTW sisi yetu macho ngoja tuone mwisho wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Coco fanya mchakato basi. Na mimi unilee basi ... Maana ki-ben 10 Asiye lelewa nimebaki peke yangu tu ... wenzangu wote wameshapata madangaRusha picha ya Kayumba nimuone basi..
Mkuu vipi !? Ukihitaji ki-ben 10 Usisite kunitafuta tafashali ..haha