Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka


Achana naye haelewi kinachozungumzwa

kama wivu tungemwonea wivu mengi bakhresa rostam yusuph manji nk
 

Wasomi wenyewe wako wapi wabeba vyeti tu awa......msomi wa kibongobongo akawatishie wasioiona shule kama kina matola, sie wasitutishe kabisaa.........lecturer wa IT na hajawahi ata kutengeneza kiapplication au kasoftware kakizushi nae ajiite msomi.....injinia anajiandaa kufanya mtihani wa kugraduate unakuta yupo bize anameza notes uyu nae wakukutisha........ Hao wahitimu wa muziki uko chuo bagamoyo mbona hatuwaoni wakichaguliwa Bet au Mtv au ata wakisimama kwenye majukwaa makubwa sana sana wanaishia kuimba kwenye mahotel.....Mtu amesomea community development akipewa aandae mradi ajui ata aanzie wapi,kazi wanazofanya sasa ni kuandaa per diem, kutick orodha flani,kuingiza maandishi kwenye form yani hakuna lolote.

Msomi wa kibongobongo hatishi kabisa msiwaogope na tai zao wanamatatizo kinoma,si unaona stress zao umu .
 

Hapo sasa na mimi najiuliza.. Maana m 200 kwa wiki daahhhh ht kimgahawa? tehh
 

Matumbo kama ulivyojipa jina lako

unaongea UTUMBO unasadifu jina hahaha
 
Huyo kiboga muda tu tunajilia...ANAPAKULIKA KISAWA SAWA....wht ELIMU she has..?? Perhaps sexology..nina zake..kachafu sana haka...!!!
Alaaa...kumbe!naona ana hamu...jaman msomi ana mdomo mchafu kama mtaro wa maji machafu!!anaonekana yeye kakulia maisha ya dhiki na ya kiswahili kuliko sie anaetuona tuna low kaliba
 
Hapo sasa na mimi najiuliza.. Maana m 200 kwa wiki daahhhh ht kimgahawa? tehh

Ndo ushangae sasa na wewe mtu kwa wiki analipwa mili 50 kama wanavyodai wapambe wake halafu unakaa nyumba ya kupanga tena sinza, what a shame? Kashindwa hata kupanga apartment yenye hadhi ya kistaa? Sasa sijui hizo million mia mbili anapeleka wapi.
 

respect kaka matumbo ukweli mtupu
 
Last edited by a moderator:
Matumbo kama ulivyojipa jina lako

unaongea UTUMBO unasadifu jina hahaha

Nyie wasomi wasomi mna usomi gani mnajaza mavyeti tu ndani.......msomi unajisifia mshahara na watu hawaujui ata mdigriii na wanaishi kama peponi nyie mnatoka jasho tu na suruali zenu za marinda na shati za tomato.
 
Matumbo kama ulivyojipa jina lako

unaongea UTUMBO unasadifu jina hahaha
Domo chaaafu mpaka kinyaa...na huyo bi dada alokariri vimaneno vya kimajungu vya mchiriku...afu hapa mnajifanya mmetuweka kwenye kundi la low caliber....!!
Nyie ndo wa high caliber!Midomo michaaafu...mnatia na kiinglish chenu cha kukalili..!mmenikeeera!
Mnafanya kazi gani zaidi ya kutumia muda wenu mwingi kujibizana hapa na kutukana!i doubt kuhusu usomi wenu!Cultural imperialism ni janga kuliko ebola na linawahenyesha!
Vya kwenu mnaviona nuksi...mfyuuu!Wivu na chuki bure mnataka diamond aish kama bill gates!!come on...!msimpangie maisha....kwel kabisa anatakiwa abadili mfumo wake wa maisha bt still ana mafanikio ktk jambo analofanya!hutaki kuamini kajinyonge kwa mijihasira....afu nyie ni walimu wa vigodoro hamna lolote mna akili finyu kuliko mie muuza mbogamboga!
 

wasomi wa kibongo wachache sana wanaweza kuimplement walichokisoma kwa uhalisia wengi wetu ni school feeding tu
 
respect kaka matumbo ukweli mtupu

Kaka awa wanatisha watu,mara sijui balance sheet balance sheet kuna kinamangi hawajui ayo mabalance sheet ila miradi imesimama mwanzo mwisho....awa balance sheet wape mtaji na kila kitu baada ya miezi biashara imekufa wanabaki kutukanatukana watoto wanaofanikiwa kwa talents zao.
 
Last edited by a moderator:
Nyie wasomi wasomi mna usomi gani mnajaza mavyeti tu ndani.......msomi unajisifia mshahara na watu hawaujui ata mdigriii na wanaishi kama peponi nyie mnatoka jasho tu na suruali zenu za marinda na shati za tomato.

Si bure ww ht std 2 haongei maji hivi
 

I see no point in ur comment, matusi ya ajabu ajabu tu jaribu bas hata kuongea point kidogo , sasa wewe ukitumia lugha chafu, warumi ana shahada za kutosha tu, sasa tusifike uko sana, jaribu kujibu hoja bas sometimes
 
Last edited by a moderator:
"Nkimaliza zangu Chuo ntaaplai zangu kazi Voda, ntalipwa milioni 3.5/mwezi, ntajibana zangu kila mwezi natumia laki5 tu, izo 3m naifaZi benki, baada ya miezi mi3 nanunua gari la 9m/=, nkishakua na gari basi 3m ya mwezi unaofatia napanga nyumba ya laki mbili na amsini kwa mwezi, 3m inayofatia nanunua fenicha, kwanza adi apo ntakuwa nshatimiza miezi 6 kazini, adi apo naruhusiwa kukopa, nakopa zangu 10m/= afu natafuta kiwanja cha 6m tu, si ntakuwa nakatwa 1m/= za mkopo kila mwezi, izo 4m nafungua kabishara, bado ntakuwa nabakia na 2m/= /mwezi baada ya makato ya mkopo, izo 2m zinatosha kila mwezi kupandisha tofali, Mungu jaalia kabla Jakaya ajatoka madaLakani, nna mjengo, gari na kijibiashara changu pale Mwenge.
.
Mliosoma vyuo naamini mmewahi kuwa na muono huo mkiwa chuoni, huu muono unapangika fresh sana, huitaji hata Kalkyuleta, hii kwa kizungu inaitwa "Theory", wahisani wetu Watu wa Marekani wanaitaga "PLAN A". Maliza chuo sasa uje mtaani, utakutana na kitu kwa kizungu inaitwa "Implimentesheni", ndo neno "PLAN B" linapokujaga, plan B kuielezea ni ngumu labda nitunge sentensi fupi huyo kijana apo juu atayoituma akitoka zake Job, of kozi mwezi wake wa 10 job: "Mwana shwari, leo nmetoka mapema mwana ila sina hata ela ya Bajaj, mwana unawezakuwa na efamsini ya karibu Mkuu nmalizie ngwe, ntakurudishia mwisho wa mwezi mshahara ukitoka, sijasteblaizi bado mwana!"
 

Msomi wa kweli hutumia mda wake kwa jamii kuwaelimisha mwenendo sahihi.. Kimsingi hapa hakuna aliyepoteza mda.. Tumejaribu kuwaelewesha bahati mby vchwa vyenu vibovu hamtaki kuelewa

tatizo la watu ambao IQ zenu sifuri ni kwamba mnadhani maisha ni hela.. Starehe na uzinzi.. Thats why tukaamua kuwaelekeza kuwa.. Hayo si maisha.. Ni wehu

lakini kwa kuwa ni makopo hamuwez kuelewa kinachozungumzwa na hamtabadilika daima

HALAFU LINGINE.. UNASEMA SIJUI KIINGEREZA CHA KUKARIRI

NADHANI WW NI MIONGON MWA WATU WANAODHANI KUWA KUJUA KIINGEREZA NI KIPIMO CHA USOMI.. HUU NI UJINGA MWINGINE AMBAO NAKUSHAURI KUANZIA LEO FUTA

just imagine tuamue watz kuanzia leo sote sisi.. Tufanye kazi ya kusaka wanawake au wanume wa kulala nao tu na kutafuta pesa...

Hivi Tanzania itakuwa nchi ya aina gani.. Kama watz wote tungekuwa na life style hilo mnaloliamini?

Hivi Taifa lingestawi kweli?
 

Hakika umenena mkuu.....msomi acha aheshimiwe.....na elimu ina nafas kubwa sana katika aya maisha uwez mfananisha msomi hata wa certificate na mtu wa lasaba hakika akil znakua tofauti
 
wasomi wa kibongo wachache sana wanaweza kuimplement walichokisoma kwa uhalisia wengi wetu ni school feeding tu

Mi nakushauri usiongelee nafsi ya wengi ongelea nafsi yko kama umeshindwa kuimplement.. Otherwise tutakuomba ulete vithibitisho. . Hiki ni kitu kingine ambcho tumeshindwa kuelewana ktk mjadala

unazusha mambo bro lakin huna uhakika nayo

ulianza na Income statement sasa hv unakuja na implementation

KUMBUKA no research.. No right to talk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…