Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Ha ha kima utawajua tu wakiona tope...

Utajifariji Sana najua shule huna ndo mana kila ufanyalo unataka kujilinganisha na wasomi ha ha ha ha poor you!!!

Hivi gari kali na majumba makubwa mjini anamiliki domo hadi achukiwe??

Hivi kwa kipi hasa MTU umchukie? Nani kasema hana kitu? Au ubutu wako Wa akili unatafsiri MTU duni ni yule mwenye low income tu? Binafsi sichukii au sijilinganishi na wasanii Kama nyinyi mnavyohangaika kujinasibisha na wasomi...

Mfano Mimi na wengine tunaweza ishi miaka bila kusikiliza mziki Wa kishenzi na maisha yakaendelea ila wote Mimi na hao lower calibers lazima tupate Huduma za wasomi ili tuishi....

Huyo domo kavuma kanikuta Nina maisha yangu na atafifia ataniacha na maisha yangu...

Tabu kwenu akina binamu nyama ya hamu kutwa kuwaza ngono na upuuzi mnaosikiliza kwenye vibaraza vyenu vinavyonuka...

Hao wasomi ndo wanaowagongeeni vinuka chupi wenu tena wanawaendea hadi kwa waganga ili watunzwe hapa mjini...

Sikatai na nipo proud nimeajiriwa na ajira imenifanya niishi standard life bila kuwa affiliated na upuuzi wowote...

Sote tunaweza kuwa na PESA ila si wote tunaweza kwenda shule....

Pole Sana kamwe usifikiri unaweza pata standard ya usomi labda degree za kufunua kaniki kwa waganga....

Siwezi mchukia MTU asonisaidia kitu ila hapa tunatoa description ya jinsi gani wewe na hilo kundi lako mlivyo Duni na mnavyohenyeka kwa maisha yalojaa laana tupu....

Mtoto alokulia malezi ya kukataliwa na baba...alokua Kama uyoga pori....anayeishi kwenye duara la zinaa tu mi nimchukie kwa lipi?

Mbwa alookota mnofu umkimbize wanini wakati unajua hawezi Fanya lolote zaidi ya kula na kunya??

Poor you!!!!

Achana naye haelewi kinachozungumzwa

kama wivu tungemwonea wivu mengi bakhresa rostam yusuph manji nk
 
Wanaumia sana utakuta msomi anakaa kibamba anaamka saa 10 alfajiri anawahi Posta Nmb anakaa dirishani mpaka saa 10 anawamalizia wateja wa ndani mpaka saa 11 anaanza kubalance mpaka saa 1jioni anaanza kuangaikia usafiri kufika kibamba saa 4 usiku.muda wote huo anamfanyia kazi mwanadamu mwenzie.kufika nyumbani anapiga bao moja kutokana na uchovu.ratiba inaendelea mpaka ijumaa.jumamosi anafanya kazi mpaka saa 7 mchana.akitoka hapo anaenda kwenye vikao vya harusi jioni.jioni ndio anaenda club sababu kesho yake haendi kazini.sasa akimuona diamond abanwi na mtu yeyote yeye kila siku ni shangwe mapovu ya hasira yanawatoka.mwishoni

Wasomi wenyewe wako wapi wabeba vyeti tu awa......msomi wa kibongobongo akawatishie wasioiona shule kama kina matola, sie wasitutishe kabisaa.........lecturer wa IT na hajawahi ata kutengeneza kiapplication au kasoftware kakizushi nae ajiite msomi.....injinia anajiandaa kufanya mtihani wa kugraduate unakuta yupo bize anameza notes uyu nae wakukutisha........ Hao wahitimu wa muziki uko chuo bagamoyo mbona hatuwaoni wakichaguliwa Bet au Mtv au ata wakisimama kwenye majukwaa makubwa sana sana wanaishia kuimba kwenye mahotel.....Mtu amesomea community development akipewa aandae mradi ajui ata aanzie wapi,kazi wanazofanya sasa ni kuandaa per diem, kutick orodha flani,kuingiza maandishi kwenye form yani hakuna lolote.

Msomi wa kibongobongo hatishi kabisa msiwaogope na tai zao wanamatatizo kinoma,si unaona stress zao umu .
 
Si bora hata JIDE yeye mambo ya kupiga show MAREKANI yalishamshindaga, ila maisha yake kaweka safi kabisa, anaishi vizuri na ana miradi ya kueleweka.

Sasa wenzetu wanaofanya show za kulipwa million 200 kwa week toka mwaka 2011 mpaka leo hata walichofanya cha maana hakijulikani , kweli wonders shall never end

Hapo sasa na mimi najiuliza.. Maana m 200 kwa wiki daahhhh ht kimgahawa? tehh
 
Wasomi wenyewe wako wapi wabeba vyeti tu awa......msomi wa kibongobongo akawatishie wasioiona shule kama kina matola, sie wasitutishe kabisaa.........lecturer wa IT na hajawahi ata kutengeneza kiapplication au kasoftware kakizushi nae ajiite msomi.....injinia anajiandaa kufanya mtihani wa kugraduate unakuta yupo bize anameza notes uyu nae wakukutisha........ Hao wahitimu wa muziki uko chuo bagamoyo mbona hatuwaoni wakichaguliwa Bet au Mtv au ata wakisimama kwenye majukwaa makubwa sana sana wanaishia kuimba kwenye mahotel.....Mtu amesomea community development akipewa aandae mradi ajui ata aanzie wapi,kazi wanazofanya sasa ni kuandaa per diem, kutick orodha flani,kuingiza maandishi kwenye form yani hakuna lolote.

Msomi wa kibongobongo hatishi kabisa msiwaogope na tai zao wanamatatizo kinoma,si unaona stress zao umu .

Matumbo kama ulivyojipa jina lako

unaongea UTUMBO unasadifu jina hahaha
 
Huyo kiboga muda tu tunajilia...ANAPAKULIKA KISAWA SAWA....wht ELIMU she has..?? Perhaps sexology..nina zake..kachafu sana haka...!!!
Alaaa...kumbe!naona ana hamu...jaman msomi ana mdomo mchafu kama mtaro wa maji machafu!!anaonekana yeye kakulia maisha ya dhiki na ya kiswahili kuliko sie anaetuona tuna low kaliba
 
Hapo sasa na mimi najiuliza.. Maana m 200 kwa wiki daahhhh ht kimgahawa? tehh

Ndo ushangae sasa na wewe mtu kwa wiki analipwa mili 50 kama wanavyodai wapambe wake halafu unakaa nyumba ya kupanga tena sinza, what a shame? Kashindwa hata kupanga apartment yenye hadhi ya kistaa? Sasa sijui hizo million mia mbili anapeleka wapi.
 
Wasomi wenyewe wako wapi wabeba vyeti tu awa......msomi wa kibongobongo akawatishie wasioiona shule kama kina matola, sie wasitutishe kabisaa.........lecturer wa IT na hajawahi ata kutengeneza kiapplication au kasoftware kakizushi nae ajiite msomi.....injinia anajiandaa kufanya mtihani wa kugraduate unakuta yupo bize anameza notes uyu nae wakukutisha........ Hao wahitimu wa muziki uko chuo bagamoyo mbona hatuwaoni wakichaguliwa Bet au Mtv au ata wakisimama kwenye majukwaa makubwa sana sana wanaishia kuimba kwenye mahotel.....Mtu amesomea community development akipewa aandae mradi ajui ata aanzie wapi,kazi wanazofanya sasa ni kuandaa per diem, kutick orodha flani,kuingiza maandishi kwenye form yani hakuna lolote.

Msomi wa kibongobongo hatishi kabisa msiwaogope na tai zao wanamatatizo kinoma,si unaona stress zao umu .

respect kaka matumbo ukweli mtupu
 
Last edited by a moderator:
Matumbo kama ulivyojipa jina lako

unaongea UTUMBO unasadifu jina hahaha

Nyie wasomi wasomi mna usomi gani mnajaza mavyeti tu ndani.......msomi unajisifia mshahara na watu hawaujui ata mdigriii na wanaishi kama peponi nyie mnatoka jasho tu na suruali zenu za marinda na shati za tomato.
 
Matumbo kama ulivyojipa jina lako

unaongea UTUMBO unasadifu jina hahaha
Domo chaaafu mpaka kinyaa...na huyo bi dada alokariri vimaneno vya kimajungu vya mchiriku...afu hapa mnajifanya mmetuweka kwenye kundi la low caliber....!!
Nyie ndo wa high caliber!Midomo michaaafu...mnatia na kiinglish chenu cha kukalili..!mmenikeeera!
Mnafanya kazi gani zaidi ya kutumia muda wenu mwingi kujibizana hapa na kutukana!i doubt kuhusu usomi wenu!Cultural imperialism ni janga kuliko ebola na linawahenyesha!
Vya kwenu mnaviona nuksi...mfyuuu!Wivu na chuki bure mnataka diamond aish kama bill gates!!come on...!msimpangie maisha....kwel kabisa anatakiwa abadili mfumo wake wa maisha bt still ana mafanikio ktk jambo analofanya!hutaki kuamini kajinyonge kwa mijihasira....afu nyie ni walimu wa vigodoro hamna lolote mna akili finyu kuliko mie muuza mbogamboga!
 
Wasomi wenyewe wako wapi wabeba vyeti tu awa......msomi wa kibongobongo akawatishie wasioiona shule kama kina matola, sie wasitutishe kabisaa.........lecturer wa IT na hajawahi ata kutengeneza kiapplication au kasoftware kakizushi nae ajiite msomi.....injinia anajiandaa kufanya mtihani wa kugraduate unakuta yupo bize anameza notes uyu nae wakukutisha........ Hao wahitimu wa muziki uko chuo bagamoyo mbona hatuwaoni wakichaguliwa Bet au Mtv au ata wakisimama kwenye majukwaa makubwa sana sana wanaishia kuimba kwenye mahotel.....Mtu amesomea community development akipewa aandae mradi ajui ata aanzie wapi,kazi wanazofanya sasa ni kuandaa per diem, kutick orodha flani,kuingiza maandishi kwenye form yani hakuna lolote.

Msomi wa kibongobongo hatishi kabisa msiwaogope na tai zao wanamatatizo kinoma,si unaona stress zao umu .

wasomi wa kibongo wachache sana wanaweza kuimplement walichokisoma kwa uhalisia wengi wetu ni school feeding tu
 
respect kaka matumbo ukweli mtupu

Kaka awa wanatisha watu,mara sijui balance sheet balance sheet kuna kinamangi hawajui ayo mabalance sheet ila miradi imesimama mwanzo mwisho....awa balance sheet wape mtaji na kila kitu baada ya miezi biashara imekufa wanabaki kutukanatukana watoto wanaofanikiwa kwa talents zao.
 
Last edited by a moderator:
Nyie wasomi wasomi mna usomi gani mnajaza mavyeti tu ndani.......msomi unajisifia mshahara na watu hawaujui ata mdigriii na wanaishi kama peponi nyie mnatoka jasho tu na suruali zenu za marinda na shati za tomato.

Si bure ww ht std 2 haongei maji hivi
 
Domo chaaafu mpaka kinyaa...na huyo bi dada alokariri vimaneno vya kimajungu vya mchiriku...afu hapa mnajifanya mmetuweka kwenye kundi la low caliber....!!
Nyie ndo wa high caliber!Midomo michaaafu...mnatia na kiinglish chenu cha kukalili..!mmenikeeera!
Mnafanya kazi gani zaidi ya kutumia muda wenu mwingi kujibizana hapa na kutukana!i doubt kuhusu usomi wenu!Cultural imperialism ni janga kuliko ebola na linawahenyesha!
Vya kwenu mnaviona nuksi...mfyuuu!Wivu na chuki bure mnataka diamond aish kama bill gates!!come on...!msimpangie maisha....kwel kabisa anatakiwa abadili mfumo wake wa maisha bt still ana mafanikio ktk jambo analofanya!hutaki kuamini kajinyonge kwa mijihasira....afu nyie ni walimu wa vigodoro hamna lolote mna akili finyu kuliko mie muuza mbogamboga!

I see no point in ur comment, matusi ya ajabu ajabu tu jaribu bas hata kuongea point kidogo , sasa wewe ukitumia lugha chafu, warumi ana shahada za kutosha tu, sasa tusifike uko sana, jaribu kujibu hoja bas sometimes
 
Last edited by a moderator:
"Nkimaliza zangu Chuo ntaaplai zangu kazi Voda, ntalipwa milioni 3.5/mwezi, ntajibana zangu kila mwezi natumia laki5 tu, izo 3m naifaZi benki, baada ya miezi mi3 nanunua gari la 9m/=, nkishakua na gari basi 3m ya mwezi unaofatia napanga nyumba ya laki mbili na amsini kwa mwezi, 3m inayofatia nanunua fenicha, kwanza adi apo ntakuwa nshatimiza miezi 6 kazini, adi apo naruhusiwa kukopa, nakopa zangu 10m/= afu natafuta kiwanja cha 6m tu, si ntakuwa nakatwa 1m/= za mkopo kila mwezi, izo 4m nafungua kabishara, bado ntakuwa nabakia na 2m/= /mwezi baada ya makato ya mkopo, izo 2m zinatosha kila mwezi kupandisha tofali, Mungu jaalia kabla Jakaya ajatoka madaLakani, nna mjengo, gari na kijibiashara changu pale Mwenge.
.
Mliosoma vyuo naamini mmewahi kuwa na muono huo mkiwa chuoni, huu muono unapangika fresh sana, huitaji hata Kalkyuleta, hii kwa kizungu inaitwa "Theory", wahisani wetu Watu wa Marekani wanaitaga "PLAN A". Maliza chuo sasa uje mtaani, utakutana na kitu kwa kizungu inaitwa "Implimentesheni", ndo neno "PLAN B" linapokujaga, plan B kuielezea ni ngumu labda nitunge sentensi fupi huyo kijana apo juu atayoituma akitoka zake Job, of kozi mwezi wake wa 10 job: "Mwana shwari, leo nmetoka mapema mwana ila sina hata ela ya Bajaj, mwana unawezakuwa na efamsini ya karibu Mkuu nmalizie ngwe, ntakurudishia mwisho wa mwezi mshahara ukitoka, sijasteblaizi bado mwana!"
 
Domo chaaafu mpaka kinyaa...na huyo bi dada alokariri vimaneno vya kimajungu vya mchiriku...afu hapa mnajifanya mmetuweka kwenye kundi la low caliber....!!
Nyie ndo wa high caliber!Midomo michaaafu...mnatia na kiinglish chenu cha kukalili..!mmenikeeera!
Mnafanya kazi gani zaidi ya kutumia muda wenu mwingi kujibizana hapa na kutukana!i doubt kuhusu usomi wenu!Cultural imperialism ni janga kuliko ebola na linawahenyesha!
Vya kwenu mnaviona nuksi...mfyuuu!Wivu na chuki bure mnataka diamond aish kama bill gates!!come on...!msimpangie maisha....kwel kabisa anatakiwa abadili mfumo wake wa maisha bt still ana mafanikio ktk jambo analofanya!hutaki kuamini kajinyonge kwa mijihasira....afu nyie ni walimu wa vigodoro hamna lolote mna akili finyu kuliko mie muuza mbogamboga!

Msomi wa kweli hutumia mda wake kwa jamii kuwaelimisha mwenendo sahihi.. Kimsingi hapa hakuna aliyepoteza mda.. Tumejaribu kuwaelewesha bahati mby vchwa vyenu vibovu hamtaki kuelewa

tatizo la watu ambao IQ zenu sifuri ni kwamba mnadhani maisha ni hela.. Starehe na uzinzi.. Thats why tukaamua kuwaelekeza kuwa.. Hayo si maisha.. Ni wehu

lakini kwa kuwa ni makopo hamuwez kuelewa kinachozungumzwa na hamtabadilika daima

HALAFU LINGINE.. UNASEMA SIJUI KIINGEREZA CHA KUKARIRI

NADHANI WW NI MIONGON MWA WATU WANAODHANI KUWA KUJUA KIINGEREZA NI KIPIMO CHA USOMI.. HUU NI UJINGA MWINGINE AMBAO NAKUSHAURI KUANZIA LEO FUTA

just imagine tuamue watz kuanzia leo sote sisi.. Tufanye kazi ya kusaka wanawake au wanume wa kulala nao tu na kutafuta pesa...

Hivi Tanzania itakuwa nchi ya aina gani.. Kama watz wote tungekuwa na life style hilo mnaloliamini?

Hivi Taifa lingestawi kweli?
 
Ahsante kwa kunielewa, apa ndo tunapokuja kuona umuhimu wa ELIMU katika maisha. Maisha ya wasanii wa Tanzania yapo mikononi mwao wenyewe, hatma ya maisha yao ni juu yao wenyewe na sio serikali ya kikwete

Hata Leo msanii yeyote akiumwa sidhani kama atasema eti akakope pesa serikalini kwa kuwa tu yeye ni msanii maarufu, ila mwanafunzi wa chuo atakopeshwa, mwalimu wa shule ya msingi atakopeshwa ili kujikimu kimaisha, nashangaa wanavyocheka cheka ovyo na viongozi kana kwamba wamehaidiwa kujengewa nyumba za kuishi mastaa wa filami/muziki, wako wapi wasanii wakongwe wakina Ray c?

KIPAJI kinatolewa na mungu, na kuna ule msemo usemao kipaji chako ndio UTAJIRI wako lakini sio kwa hii nchi ya kikwete ,ni kule kwa obama binamu. Kipaji bila Elimu ni kazi bure tu, Elimu haileti maisha mazuri tu, bali inakupa mwangaza bora katika maisha

Hakika umenena mkuu.....msomi acha aheshimiwe.....na elimu ina nafas kubwa sana katika aya maisha uwez mfananisha msomi hata wa certificate na mtu wa lasaba hakika akil znakua tofauti
 
wasomi wa kibongo wachache sana wanaweza kuimplement walichokisoma kwa uhalisia wengi wetu ni school feeding tu

Mi nakushauri usiongelee nafsi ya wengi ongelea nafsi yko kama umeshindwa kuimplement.. Otherwise tutakuomba ulete vithibitisho. . Hiki ni kitu kingine ambcho tumeshindwa kuelewana ktk mjadala

unazusha mambo bro lakin huna uhakika nayo

ulianza na Income statement sasa hv unakuja na implementation

KUMBUKA no research.. No right to talk
 
Back
Top Bottom