Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Kabisa cousin....awajiuliz kwann bungen haingii std seven.....

Hizi product tunazozizungumzia za udsm mzumbe saut tumain.....maji marefu ana elimu gani?mh bweg.e wa kilwa ana elimu gani?.
 

Ngoja nikwambie kwanini wasomi wa Tz hawawezi kujiajiri hata kama mtaji anao
1.professionals are not risk taker.ili ujiajiri inabidi ujue kuna kupata na kukosa hakuna biashara ni riskfree.sasa msomi anachukua mkopo bank mil.20 mfano lakini akifikiria kwamba anaweza kufanya biashara zikakwama anaona bora anunue verossa tu.
2.Wasomi sio wabana matumizi wakati ili ufanikiwe kibiashara sheria namba moja ni increase revenue while decrease expenses.sasa msomi anapata mshahara mil.2 lakini tarehe 20 umeshaisha
3.wasomi hawasevu hela
Kama usevu sahau kujiajiri maana hakuna kitu anachokipenda mwajiri kama aliyemuajiri asevu hela maana anajua utaendelea kumtegemea yeye tu.ndio maana haitatokea maaskari wakalipwa mshahara mkubwa hata siku moja maana wanaamini hakuna mtu atakayekubali kumlinda mwanadamu mwenzie wakati anaweza kujiajiri.
Sasa kama wewe unataka kujiajiri kama Mimi zingatia haya
 


Hapa hakuna anayewakejeli tunawapa kweli tupu yaani tunaonyesha real life mliyonayo....

Hapa ndo sehemu pekee ambayo naweza kutana na kima Wa aina tofauti tofauti kwakuwa Mimi nanyi hatuwezi onana pengine labda ofisini napo hatuwezi pata mda...

Mbaya zaidi hata kwenye hiyo mikusanyiko ya kishenzi ya kusikiliza nyimbo za shombo huwa siji so hii ndo sehemu mwafaka Wa kuwaeleza ukweli...
 
Hizi product tunazozizungumzia za udsm mzumbe saut tumain.....maji marefu ana elimu gani?mh bweg.e wa kilwa ana elimu gani?.

Hapa nakuponda nyundo tu kima upate akili huwezi jifananisha na msomi kwa namna yoyote ile..

Wewe wakujifananisha nao pengine kushindana nao ni wale mlokua mkiazimana nguo halafu ukawapiku...ulokua ukiwaomba chumvi na kujisaidia kwao ukawapiku na kuwa juu yao labda hao unaweza jilinganisha nao...

MTU aliyekamata system utaishia kusagika nyongo tu kushindana nae huwezi...
 

Huyu Lusungo akili hamna.. hata usihangaike nae... nimesoma comments zake karibu zote humu nimegundua ni punguani!! amekariri ka sentesi kake kny tags za pombe, ngono, ushenzini!! hamna analojua huyo hata usihangaike nae!! kama huyu jamaa ni msomi basi hii nchi ina hasara!!
 

Kachome ayo mavyeti,kisha fungua akili utoke ndani ya box.....msomi ajisifii kuajiriwa,na akiajiriwa atoe impact kwa jamii.... unamwita mtu wa ushenzini wakati ametoa ajira kibao,we wa maana kubeba mafaili .
 

hebu nambie miziki unayosikiliza wewe ni ya kina nani!!?? boya mwenyewe we umeajiriwa tu unatumwa na boss wako kama kenge tu!! mtu aliyejiajiri na anaingiza hata net profit ya million tu kwa mwez amekuzidi mbali sana kenge wee!! sidhan hata kama una kaz mana kutwa nzima naona uko humu kujitutumua tu eti msomi.... kenge kabisa wewe!! ningekuwa karibu na wewe ningekunasa makofi kabisa we kilaza
 
Miss Tanzania 2006 top 5 yote baba mmoja mama mmoja
Wema
Wolper
Jocket
Lisa johson
.......

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Mpiga picha mwenyewe kifesi?, manager mwenyewe babu tale? Wacheza show wenyewe wakina moze iyobo? Umeona sasa jinsi Ndomo alivyozungukwa na crew ambayo ni NON-PROFFESSIONAL? Yani apo wote wamekimbia ELIMU hao hata mimi ninaweza kuwaajiri na kuwalipa , kwa sababu they are all ignorant and cheap na hiyo hata usiite ni ajira bali ni kabarua tu cha mda.

Yaani mtu hata form four hujamaliza unajiita MANAGER? manager my foot, izi management za ajabu ajabu ndio maana sanaa ya bongo inakufa, yani mtu ukiwa na pesa tu basi ni manager, no education no technical skills kwenye industry unayofanyia kazi, umewaona ma manager wa kina kaka DAVIDO? Wale ndo ma manager wamesoma na wanajielewa vya kutosha na sio ma manager wenu wa manzese uko
 
Miss Tanzania 2006 top 5 yote baba mmoja mama mmoja
Wema
Wolper
Jocket
Lisa johson
.......

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

sidhan kama wolper alishawahi kushiriki miss Tanzania
 

Ahahah kama wakina mzee kipara na bibi kidude wangekuwa hai, ningewaambia wawaulize kama muziki/filamu ina mafao uzeeni, yani kuna watu ni ma mburula kwa kweli hadi wanaboa
 

Mkuu inaonekana wewe unakaa ofisini sana la saba wengi wana hela sana na wana mafanikio.Mimi nafanya kazi na wafanyabiashara wengi tu kariakoo mtu anakwambia njoo uniandalie final account.mtu hata kuandika ni shida lakini mtu anaingiza mpaka mil.200 faida kwa mwezi.anakwambia niandalie business plan akachukue mkopo bank mtu anachukua mpaka bil.1 mkopo na wengi wanachukua mil 200 kwenda mbele.sasa wakati ukienda kufanya auditing bank mfano Nmb utakuta mwenye sifa za kukopa mil.50 labda ni branch manager wengi wao mwisho mil.25-30.wakati watu kkoo hapohapo Nmb wanakuja kukopa mil.200-1000.ndio hapo watu wanapodharau wasomi wa bongo
 
Kachome ayo mavyeti,kisha fungua akili utoke ndani ya box.....msomi ajisifii kuajiriwa,na akiajiriwa atoe impact kwa jamii.... unamwita mtu wa ushenzini wakati ametoa ajira kibao,we wa maana kubeba mafaili .


Ha ha nilishakwambia tunaweza sote tukawa na PESA ila si rahisi sote tukawa na shule...

Mfano babu yangu mzaa baba alikuwa anamiliki assets nyingi tu pale njombe na ludewa ikiwemo mashamba ya mbao na alikua na PESA Sana ila shule hakuwa nayo...

Pili tatizo la huko jalalani mnakosa shule na ustaarabu hilo ndo tatizo mkipanda ndege haooo instagram kutangaza je jiulize kila anaepanda ndege angetangaza pangetosha?

Nyie ni watu ambao hata mkiiba mi siwakimbizi coz najua mwisho Wa sarakasi zenu mnakoishia...
 


Ha ha ha

Mkuu umesahau hao wabeba usaha wanapoishia??

Wamekariri wasomi hawana kitu wakati Mimi nipo likizo nilikua nahangaikia shamba langu huko malinyi nimelima zaidi ya ekari 150 piga hesabu nimezalisha ajira ngapi mpaka mavuno halafu hao washindania vyupi walete mushkeli hahha
 

Nitajie mwanamuziki aliyesoma either kusomea muziki kabisa au kusoma tu sana ambaye ametoa ajira au vibarua kwa watu ata watatu hapa bongo ili tujivunie elimu yake.......na kuwa manager ni performance sio vyeti hivi mbona hamuelewi nyinyi,rakii msomi alifanya nn. we na vyeti vyako beki tatu wako hana ata simu,mwenzio shule ana wasaidizi wake wana mpaka magari
 

Wasanii kutwa kuchezewa matak0 na kuhongwa magari na pesa, si wanaume wala wanawake hayo yote ni ukosefu wa elimu, shule imewashinda wanashindwa hata ku manage maisha yao, kutwa kuzurula kwenye ma bar kuomba pesa kwa mapedeshee.

Hawana ELIMU, wafanyaje sasa? , uko ulaya wanakokimbilia wanaishia kufirw@ na kupewa nauli, yani wanaishi kama watumwa, Hata hizo filamu wanazokimbilia hawana ujuzi nao, hawajasoma wanatengeneza filamu bora liende waonekane na kina clement wakawachezee mik*ndu wawape magar ya kutembelea, usupa staa my foot
 
Domo chaaafu...usomi wako haujakusaidia...mwanaume unasimamisha domo ka mwehu...!iq yako ingekua kubwa kama unavodai ungekua biz.

Ona unakadiria hadi jinsia

sifa nyingine ya mtu asyesoma hii hapa

anasema mambo asyo na uhakika nayo

anamdharau mtu amby ht hamjui na hajawahi kumwona

tutawaelimisha tu leo hadi muelewe

maana umezd kuwa kopo
 

Calm down kima hapo sijakuonesha tope ukiliona si utalia kabisa??

Umekazana sijajiajiri umeajuaje? Tukiwaambia ukweli mnalia lia...

Ajira imeniwezesha kununua shamba malinyi zaidi ya ekari 200 nimelima 150 za mpunga mwaka huu na mavuno yalikua poa Sana...

Piga hesabu nimetoa ajira kiasi gani halo ( Kama unaweza maana huwa mnajua kuhesabu idadi ya mademu tuu)

Mi sihangaiki kutafuta kick kwa media nakula kivulini na ajira imenipa vitu vingi tu ....

Baba yangu kupitia ajira ametusomesha wote nyumbani...tumeishi standard life full ustaarabu....kasaidia nduguze sasa muulize kima mwenzio alipata standard life? Hivi Kama anamtoto kwa maisha Yale anavuna nini yarabi??

Wazazi waliajiriwa wametuachia assets ambazo hata nikiamua kukaa tuu naishi bila wasi wasi...

Kazi kwenu mlozoea maisha ya kuombana mboga..chumvi..nguo n.k n.k

Tangu Jana nilikwambia nikipasua fuvu hilo hakuna uwazalo zaidi ya Chakula...pombe..ngono..na ushenzi mwingine Wa dunia
 

maofisini hao wasomi hawafanyi unayoyasema? hawaongwi? hawashikwi makalio? hawaombi bia bar? hawafanyi kazi bora liende? tatizo nao ni nn elimu au
 
Mtu kama bakhressa hata degree hana lakini katoa ajira zaidi ya mil.1 Tanzania na watu wamejiajiri kupitia yeye.sio watu wanalingia mavyet tu

Kwa mara nyingine mtu mjinga anaenda kinyume na mada

HAKUNA ALIYESEMA KUWA MSOMI NI KUWA TAJIRI

KIJIWE HAKIKUFAI NENDA KAKAE KIJIWE NA DADAMONDI TANDALE

Kwa sababu unahisi maisha bila hela na uzinzi hayaendi pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…