Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

 
 

Hahahaa haaaa uwiii
Mkuu hiz za uso ni balaa

Yaani nimecheka
 

Zitto ameuliza yeye mnamuona hafai je nyie wazalendo mna kitu gani tangible ambacho kina reflect uzalendo wake
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikwambie kwanini wasomi wa Tz hawawezi kujiajiri hata kama mtaji anao

Hauna uhakika na unachokizungumza, unadhani sekta rasmi imeajiri watu wangapi ukilinganisha na sekta isiyo rasmi? Na kwa taarifa tu, watu wenye elimu ya kuanzia Diploma wengi wamejiajiri kuliko kuajiriwa!
 

Nimekukubali binamu
 

Asante binamu upo vizuri
Wape darasa vijana
 

Makubwa! !
 
Ha ha ha hyo bidhaa yake au tangazo Kama la mama ubaya kwenye AIRTEL?

Ndio, na akajiita balozi, siku izi kila mtu akitokea kwenye tangazo la bidhaa flani , basi yeye ni balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…