Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ndio wapi huko? mboa mimi pia nipo Kimanzichana?
Kuna vijiji nikikutajiaa ni shedaa hamna hata mnara wa network
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wapi huko? mboa mimi pia nipo Kimanzichana?
Umeandika nini sasa? Hata kusomeka hayasomeki achilia mbali kueleweka...
Hivi nani kawaleta jf? Maana kwa hizo akili zenu chafu mngefaa kuishia huko Facebook.....
Yaani kila kitu kwenu uchafu tu kuanzia miili mpaka matendo....
Naona kima mwenzenu angeweza rekebisha lile Domo Kama kaango la mihogo ndo
ingekua balaa...
Hapa watu hawaagi......[/QUOTE
Hauna hati miliki ya jf ni jukwaa la watu wote...kama nachokiandika huelewi usingejaa kujivizana na mie,fb nayo ni social network ya watu kama mie...sijakufata kibarazan kwako,jinsi ulivo juha najua utanijibu tena coz nqkupa stress angalia usianguke presha hukoashambani.

Hivi umeandika nini? Hebu jisome Kama utaelewa....
Hivi umeandika nini? Hebu jisome Kama utaelewa....
Arudii darasaniiii
warumi njoo tuchezee
" am looking for my jonny
Where is my Jonny
Do you know jonny
Jonny ooooooo ayayaaaaaaaaaaaaaaa yemi alade eeeeeeeeeeeee
Hahahaa haaaa
Unanichekesha
Hapana Chezea John
Ni kichwa kwenu mnaokua hovyo hovyo Kama michicha na mibuyu inayojiotea hovyo huko majaani....
Ni kichwa kwenu ambao maisha yenu huko kwenye inzi ni kuwaza juu ya chakula...ngono....pombe....na miziki yenu mnayosikilizia kwenye bodaboda na simu za michina....
Ni kichwa kwenu ambao ndege na ulaya ni misamiati mizito Sana kwenu kwa kuwa vichwa vyenu vina usaha
mtvbase
Umejaza lundo la maandish hapa kana kwamba hicho kipindi uliangalia peke yako, Zitto ni mpumbavu tu period yeye kazi yake sasa hivi ni kuzunguka kwenye media tu, ni dead snake na nakushukuru kwa kuleta habari za Zitto jukwaa hili la celeb maana yeye sasa hivi ni kama Chege tu jukwaa la siasa hana mvuto.
Ngoja nikwambie kwanini wasomi wa Tz hawawezi kujiajiri hata kama mtaji anao
Aisee huu wimbo wa Jonny ni kiboko alaaaaaaa hapa nacheza tu kwa raha zangu maisha mafupiiiiii
Si bora hata JIDE yeye mambo ya kupiga show MAREKANI yalishamshindaga, ila maisha yake kaweka safi kabisa, anaishi vizuri na ana miradi ya kueleweka.
Sasa wenzetu wanaofanya show za kulipwa million 200 kwa week toka mwaka 2011 mpaka leo hata walichofanya cha maana hakijulikani , kweli wonders shall never end
Ahsante kwa kunielewa, apa ndo tunapokuja kuona umuhimu wa ELIMU katika maisha. Maisha ya wasanii wa Tanzania yapo mikononi mwao wenyewe, hatma ya maisha yao ni juu yao wenyewe na sio serikali ya kikwete
Hata Leo msanii yeyote akiumwa sidhani kama atasema eti akakope pesa serikalini kwa kuwa tu yeye ni msanii maarufu, ila mwanafunzi wa chuo atakopeshwa, mwalimu wa shule ya msingi atakopeshwa ili kujikimu kimaisha, nashangaa wanavyocheka cheka ovyo na viongozi kana kwamba wamehaidiwa kujengewa nyumba za kuishi mastaa wa filami/muziki, wako wapi wasanii wakongwe wakina Ray c?
KIPAJI kinatolewa na mungu, na kuna ule msemo usemao kipaji chako ndio UTAJIRI wako lakini sio kwa hii nchi ya kikwete ,ni kule kwa obama binamu. Kipaji bila Elimu ni kazi bure tu, Elimu haileti maisha mazuri tu, bali inakupa mwangaza bora katika maisha
Jaman wacheni tu hao bongostar wajilie mi nilipataga ka hela flan kama 5m kwa kweli ilikuja tu kwa udalali nikatafuta namba ya huyo kidoti nikatangaza dau la 2m akaniambia poa ila condition tukagegedane pretoria nilichoka kwa kweli nikatia mikono usoni familah
AYa sasa Dinazarde, princess sayuni, Mrembo by Nature, qn of sheba, Matola, christine ibrahim, Madame B, mtvbase, lusungo, geniveros bidhaa hiyo inapatikana madukani kote nchini Tanzania, sabuni ya kuogea MO.

Ndio, na akajiita balozi, siku izi kila mtu akitokea kwenye tangazo la bidhaa flani , basi yeye ni balozi
Ndio, na akajiita balozi, siku izi kila mtu akitokea kwenye tangazo la bidhaa flani , basi yeye ni balozi
Ha ha ha hyo bidhaa yake au tangazo Kama la mama ubaya kwenye AIRTEL?