Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Tatizo la wasomi hawawezi kusimama wao kama wako(standing alone).
Na ndio wanaongoza kutoa matusi hapa JF utakuta mtu amesoma ana first class ya bcom UDSM,ana master ya finance mzumbe ana CPA jina kubwa wanamwita AUDITOR tena certified by NBAA.hizo ni sifa za macertificate njoo kazini ni butu mtupu hata income statement hajui kuandaa anachojua ni format.wazungu wanamshtukia kwa sababu wasome wote ni hivyohivyo wanampa ajira lakini wanambana mshahara wanampa mil.2 per month means mil.24 per year.
Sasa akisikia hiyo mil.24 diamond anaipata show moja ya Masaa machache ndio hapo povu linamtoka mara hajasoma Mara anauza madawa ya kulevya Mara malaya.sasa wewe ulitaka asipende wanawake wazuri apende mbuzi

Ndo umeandika nini hicho?

Wafanyakazi wote Wa taasisi hapa bongo wanafanyaje kazi??

Kama kupata mil 24 kwa show ni issue mbona anaishi maisha ya kishenzi tuu?

Ha ha ningeshangaa we kima Kama usingeongelea mademu wazuri maana ndo stori zenu huko majalalani unasugua gaga na maguta mijasho yote jioni unaenda kihonga Malaya asubuhi mnalia njaa...

Watoto Wa fungulia mbwa huwa hawatupi shida maana ramani ya safari ya maisha yao inajulikana..

Anatoka hapa anapita pale anafikia dimbwi anaanguka Kama fulushi..

Kupata hela ya show kubwa kwa wajalalani is not an issue wala haistui coz wengi wameishia kulekule walikoanzia....

Si tupo tu kwa ajili ya kutuchangisha michango mkishafulia maana akina Mr. Nice and the likes walikua mbali now wanapigwa jua tuu

Usije ukadhani mnatupa shida wakati tuna bima za maisha tunaishi maisha standard na hatutegemei MTU...
 
Huwezi kuchangia bila kutukana.akili zako ndogo sana
 
Dah kwahyo wakirudi bongo ndo wanajishau katoka kwenye show ya dola elfu ishirini na na thelasini kumbe ya chumbani eti anaonewa wivu kwa kupiga pesa na show hadi nje show ya ukweli yenye nyomi ya Waafrica nilionaga ya p square tena Uingereza mashabiki wake sasa kelele mingi hi lack of exposure

Hivi unaweza mwonea wivu au hangaika na kunguru unayeujua mwisho wake?

Hivi unaona kabisa kunguru anapoangukia uhangaike?
Labda wivu wanao watoto wenzao Wa ushenzini wanaoshi chumba kimoja na wazazi...
 
Tatizo la wasomi hawawezi kusimama wao kama wako(standing alone).
Na ndio wanaongoza kutoa matusi hapa JF utakuta mtu amesoma ana first class ya bcom UDSM,ana master ya finance mzumbe ana CPA jina kubwa wanamwita AUDITOR tena certified by NBAA.hizo ni sifa za macertificate njoo kazini ni butu mtupu hata income statement hajui kuandaa anachojua ni format.wazungu wanamshtukia kwa sababu wasome wote ni hivyohivyo wanampa ajira lakini wanambana mshahara wanampa mil.2 per month means mil.24 per year.
Sasa akisikia hiyo mil.24 diamond anaipata show moja ya Masaa machache ndio hapo povu linamtoka mara hajasoma Mara anauza madawa ya kulevya Mara malaya.sasa wewe ulitaka asipende wanawake wazuri apende mbuzi?ndio nyie mlikuwa mnataka mkopo CRDB dhamana vyeti vya degree.

Mmh!! Kwa hiko kiwango cha elimu unachokitaja sidhani kama ni kweli mtu mwenye elimu ya kiwango hiko akawa anategemea huo mshahara wa mil 2 tu, watu wana miradi yao ya maana , wame invest na wana ma asset ya kufa mtu.

Sijawahi kusikia mwanamuziki wa aina yeyote apa bongo kuwa anamiliki hotel ya maana, achilia mbali shule hata ya chekechea, labda jaydee kwa mbali ndo kaonyesha njia na mgahawa wake wa kiwango cha kati kati, ivi hayo mahotel makubwa, shopping malls, mabasi ya mikoa na vitu vingine vingi tu, ni mwana bongo fleva gani aliyejaribu ku invest kwenye asset za maana kama hizo?, ndomo ka invest nini cha maana mpaka umtukuze kiwango hicho?, bado naona elimu ina muhimu wake no matter uwe na kipaji cha aina gani.

Huyo Ndomo wenu kila siku mnampamba na maneno lukuki, ivi ana asset gani inayokufanya wewe umuingize kwenye list ya mabilionea wa Tanzania? , achilia mbali lady jaydee maana hamfikii hata kidogo, hizo million 50 za show tunaishia kuzisikia tu masikioni hatuoni matunda yake, usitake kufananisha maisha ya wasomi na wanamuziki wa bongo wa vitorondo wewe, sio kwa nchi hii hata mara moja kijana.
 
Tatizo la wasomi hawawezi kusimama wao kama wako(standing alone).
Na ndio wanaongoza kutoa matusi hapa JF utakuta mtu amesoma ana first class ya bcom UDSM,ana master ya finance mzumbe ana CPA jina kubwa wanamwita AUDITOR tena certified by NBAA.hizo ni sifa za macertificate njoo kazini ni butu mtupu hata income statement hajui kuandaa anachojua ni format.wazungu wanamshtukia kwa sababu wasome wote ni hivyohivyo wanampa ajira lakini wanambana mshahara wanampa mil.2 per month means mil.24 per year.
Sasa akisikia hiyo mil.24 diamond anaipata show moja ya Masaa machache ndio hapo povu linamtoka mara hajasoma Mara anauza madawa ya kulevya Mara malaya.sasa wewe ulitaka asipende wanawake wazuri apende mbuzi?ndio nyie mlikuwa mnataka mkopo CRDB dhamana vyeti vya degree.

Tutajie angalau mmoja mwenye CPA na hajui kuandaa income statement maana hata mimi mwenye degree ya mgt ya rasilimali watu najua kuandaa INCOME STATEMENT hivyo acha kupotosha umma

pili taja show gani ambayo diamond alilipwa milion 24 Au msanii yeyote wa muziki ambye analipwa m 24 kwa show moja... Otherwise kiri kuwa umepotosha

kinachonzungumzwa hapa ni kitu rahisi sana.. Kwamba unapokuwa msanii maarufu ni vema ukajitambua na kufanya mambo ambyo kama utainfluence wengine yasilete madhara

sasa umetoka katka familia maskini.. Umekuwa msanii maarufu ukaanza kujipatia vijisent... Then ukaona sasa huu ni wakti wa kuendeleza uzinzi.. MAANA YAKE KAMA KIOO CHA JAMII UNAWAFUNDISHA VIJANA AMBAO WANAKUBALI KAZI ZAKO KUWA UKIYAPATIA MAISHA BASI KINACHOBAKI NI NGONO TU NA KUBADILI WANAWAKE KILA UCHAO....

KIMSINGI msanii anayejitambua anaitumia hadhi yake vxuri.. Anajitambua yy ni nani na mawazo au matendo yake yanaaffect vp jamii.. Baada ya hapo atajitahidi kuishi maisha ambyo hayataleta negative impacts kwa jamii hasa kwa wale mashabiki wake..... Ambao hata wakiiga matendo yake bas watajikuta wapo mikono salama...

Big up kwa PROFESA JAY. BANANA ZORRO. MRISHO MPOTO. LADY JAY DEE... MARLAW.. nk

poor DIAMOND. WEMA SEPETU. JOKATE. AUNT EZEKIEL. REHEMA CHALAMILA RAY. ELIZABETH MICHAEL LULU.. NA WENGINEO WANOFANANA NAO

BADILIKENI KABLA ULIMWENGU HAUJAWAHUKUMU
 
Ndo umeandika nini hicho?

Wafanyakazi wote Wa taasisi hapa bongo wanafanyaje kazi??

Kama kupata mil 24 kwa show ni issue mbona anaishi maisha ya kishenzi tuu?

Ha ha ningeshangaa we kima Kama usingeongelea mademu wazuri maana ndo stori zenu huko majalalani unasugua gaga na maguta mijasho yote jioni unaenda kihonga Malaya asubuhi mnalia njaa...

Watoto Wa fungulia mbwa huwa hawatupi shida maana ramani ya safari ya maisha yao inajulikana..

Anatoka hapa anapita pale anafikia dimbwi anaanguka Kama fulushi..

Kupata hela ya show kubwa kwa wajalalani is not an issue wala haistui coz wengi wameishia kulekule walikoanzia....

Si tupo tu kwa ajili ya kutuchangisha michango mkishafulia maana akina Mr. Nice and the likes walikua mbali now wanapigwa jua tuu

Usije ukadhani mnatupa shida wakati tuna bima za maisha tunaishi maisha standard na hatutegemei MTU...

We una elimu gani kwanza kama ni kutoka vyuo vya kata hapa bongo sibishani na wewe ni vya UK tujuane
 
Dah kwahyo wakirudi bongo ndo wanajishau katoka kwenye show ya dola elfu ishirini na na thelasini kumbe ya chumbani eti anaonewa wivu kwa kupiga pesa na show hadi nje show ya ukweli yenye nyomi ya Waafrica nilionaga ya p square tena Uingereza mashabiki wake sasa kelele mingi hi lack of exposure

Sasa Diamond zaidi ya show za sebuleni ulaya kampuni itamuita? bora kina Mr2 barozi na explastaz walikuwa wanadandia Mundial festival Uholanzi ili waonekane na kipindi hicho Diamond alikuwa bado anavaa ndala kwenda kariakoo.

Mpaka sasa Watanzania waliofanya makubwa mbele ya wazungu huko Ulaya ni Remmy Ongala na Tatu nane tu, zile walizoperfom ndio big concerts.
 
Tutajie angalau mmoja mwenye CPA na hajui kuandaa income statement maana hata mimi mwenye degree ya mgt ya rasilimali watu najua kuandaa INCOME STATEMENT hivyo acha kupotosha umma

pili taja show gani ambayo diamond alilipwa milion 24 Au msanii yeyote wa muziki ambye analipwa m 24 kwa show moja... Otherwise kiri kuwa umepotosha

kinachonzungumzwa hapa ni kitu rahisi sana.. Kwamba unapokuwa msanii maarufu ni vema ukajitambua na kufanya mambo ambyo kama utainfluence wengine yasilete madhara

sasa umetoka katka familia maskini.. Umekuwa msanii maarufu ukaanza kujipatia vijisent... Then ukaona sasa huu ni wakti wa kuendeleza uzinzi.. MAANA YAKE KAMA KIOO CHA JAMII UNAWAFUNDISHA VIJANA AMBAO WANAKUBALI KAZI ZAKO KUWA UKIYAPATIA MAISHA BASI KINACHOBAKI NI NGONO TU NA KUBADILI WANAWAKE KILA UCHAO....

KIMSINGI msanii anayejitambua anaitumia hadhi yake vxuri.. Anajitambua yy ni nani na mawazo au matendo yake yanaaffect vp jamii.. Baada ya hapo atajitahidi kuishi maisha ambyo hayataleta negative impacts kwa jamii hasa kwa wale mashabiki wake..... Ambao hata wakiiga matendo yake bas watajikuta wapo mikono salama...

Big up kwa PROFESA JAY. BANANA ZORRO. MRISHO MPOTO. LADY JAY DEE... MARLAW.. nk

poor DIAMOND. WEMA SEPETU. JOKATE. AUNT EZEKIEL. REHEMA CHALAMILA RAY. ELIZABETH MICHAEL LULU.. NA WENGINEO WANOFANANA NAO

BADILIKENI KABLA ULIMWENGU HAUJAWAHUKUMU

Kaka amini usiamini CPA holder wengi wanajua auditing na taxation ndio maana ni masomo yanaongoza kufaulisha Nbaa lakini hawajui accounting.ninaposema income statement simaanishi za dispensary za kata namaanisha income statement za multinational company.
 
Tatizo la wasomi hawawezi kusimama wao kama wako(standing alone).
Na ndio wanaongoza kutoa matusi hapa JF utakuta mtu amesoma ana first class ya bcom UDSM,ana master ya finance mzumbe ana CPA jina kubwa wanamwita AUDITOR tena certified by NBAA.hizo ni sifa za macertificate njoo kazini ni butu mtupu hata income statement hajui kuandaa anachojua ni format.wazungu wanamshtukia kwa sababu wasome wote ni hivyohivyo wanampa ajira lakini wanambana mshahara wanampa mil.2 per month means mil.24 per year.
Sasa akisikia hiyo mil.24 diamond anaipata show moja ya Masaa machache ndio hapo povu linamtoka mara hajasoma Mara anauza madawa ya kulevya Mara malaya.sasa wewe ulitaka asipende wanawake wazuri apende mbuzi?ndio nyie mlikuwa mnataka mkopo CRDB dhamana vyeti vya degree.

Tena do not even dare again to compare those silly people so called bongo fleva na wasomi wewe, au kwa kuwa hawatangazi mali zao kwenye magazeti ya shigongo ndo maana una conclude kwa research yako ya chumbani kuwa ndomo ana pesa nyingi, tena ukome kijana iwe mara yako ya mwisho
 
We una elimu gani kwanza kama ni kutoka vyuo vya kata hapa bongo sibishani na wewe ni vya UK tujuane

Msomi aliyeelimika vizuri hawezi kudharau cha kwake.. Kudharau vyuo vikuu vya Tz eti kisa umesoma UK inaonesha wazi jinsi gani hjjaweza kunufaika vema na elimu yako

kwa lugha rahisi ni utumwa wa kifikra unaodhan kuwa cha wazungu ndo kila kitu na si cha kwenu

yani umezaliwa Tz.. Tz ikakulea mpk ukamudu kwenda kulioia ada ya UK still unakashifu nchi yako ilihali umezaliwa ktk ardhi hyo

kumbe shida si kusoma UK au Marekani.. AKILI KICHWANI.. JAMBO LA MSINGI UKIWA MSOMI NA JAMII IONE MCHANGO WAKO KIFIKRA NA KIMABADILIKO

TUNALALAMIKIA MADHARA YA UKOLONI MAMBOLEO TUKIDHANI BASI HAWA WALIOSOMA WATAJUA JINSI YA KUDHIBITI

Lakini still msomi ww ulyesoma UK unausujudu uzungu badala ya uafrika wako ambao nfio uzao wako wa milele...... BADILIKA HUO NI USOMI FAKE UNAJIDHALILISHA NA KUONESHA WAZI KUWA HYO ELIMU YA UK UNAYOITAJA HAIJAKUSAIDIA KIFIKRA
 
Huyo chokoraa mwenzio anayo ya chuo gani cha kata???

Ha ha ulivyo punguwani unafikiri viwango vya mishahara vinapangwa kwa mujibu wa umesoma Wapi!!! Ha ha ha usaha mliojaza vichwani unawaabisha Sana...

Mwenzio nimesoma..Nina kazi inayonipa kumudu maisha...Nina bima ya afya na nachangia mifuko ya pensheni yakunihakikishia siishi maisha ya kuomba omba milele....

Kama mziki ungekua tija bongo Mr. Nice ambae Domo hajaifikia record yake asingefulia Katu...

Kima level zako ni mada za mapenzi na nguo labda habari za vyuo huziwezi...

Formula yako ya maisha ni CHAKULA+POMBE+NGONO+MZIKI &VIGODORO tuu labda ukisafishwa huo usaha Wa kichwani unaweza think big ...

Nenda kasafishe nyota nawewe labda imechafuliwa maana ndo akili zenu zilipo maoisho huko kwenye nzi teh teh teh
 
Dah kwahyo wakirudi bongo ndo wanajishau katoka kwenye show ya dola elfu ishirini na na thelasini kumbe ya chumbani eti anaonewa wivu kwa kupiga pesa na show hadi nje show ya ukweli yenye nyomi ya Waafrica nilionaga ya p square tena Uingereza mashabiki wake sasa kelele mingi hi lack of exposure

NDOMo toka mwaka 2011 anapiga show ya mili 50 mpaka leo, nashangaa mpaka kesho yupo sinza mori kwenye nyumba ya kupanga, mil 50 kila wiki tena na show uchwara za nje unashindwa hata kujenga kibanda kule kimbiji? Maana hiyo nyumba anayoijenga tunaishia kuisikia tu kwenye magazeti ya shigongo, demu wa billionea kutwa kucheza vigodor na kugongwa na watu wenye pesa zao, kwanza gari la wema la pink ni la clement alirudishe kwanza asituletew upuuzi apa, billionea my foot
 
Ha ha ha!mtvbase umenikoosha.....
watu wanajiboast kwa usimi wamejaa dharau,unafiki,matusi na lugha za kejeli sasa najiuliza,kati yao na dimondo nan ana uduni wa fikra!!
Wanamponda na kumtusi afu bado wanafatilia maisha yake na demu wake!Yani wanajua hadi mistari ya nyimbo zake!!Nimekerekwaaa eti maisha ya ushenzini!!Adharaulike msomi yeyote alojaa kejeli,chuki na wivu...huyo diamond hata hawafaham wala hawajui chuki zetu tuzielekeze kwenye kupambana na magonjwa,umasikini na ufukara wa fikra..!usomi wetu utusaidie sisi na jamii zetu katika jumuiya zilizotukuza..!Hata mkinitusi siwajui wajivuni nyie wala sitobishana ja nyie nimebanwa na banda langu la mbogamboga....keep it up Diamond watu roho zinawatoka juu yako kisa wivu na vijiba vya roho binafsi unaniburudisha!
 
Kaka amini usiamini CPA holder wengi wanajua auditing na taxation ndio maana ni masomo yanaongoza kufaulisha Nbaa lakini hawajui accounting.ninaposema income statement simaanishi za dispensary za kata namaanisha income statement za multinational company.

Taja hata mmoja bhana acha kupotosha
 
Msomi aliyeelimika vizuri hawezi kudharau cha kwake.. Kudharau vyuo vikuu vya Tz eti kisa umesoma UK inaonesha wazi jinsi gani hjjaweza kunufaika vema na elimu yako

kwa lugha rahisi ni utumwa wa kifikra unaodhan kuwa cha wazungu ndo kila kitu na si cha kwenu

yani umezaliwa Tz.. Tz ikakulea mpk ukamudu kwenda kulioia ada ya UK still unakashifu nchi yako ilihali umezaliwa ktk ardhi hyo

kumbe shida si kusoma UK au Marekani.. AKILI KICHWANI.. JAMBO LA MSINGI UKIWA MSOMI NA JAMII IONE MCHANGO WAKO KIFIKRA NA KIMABADILIKO

TUNALALAMIKIA MADHARA YA UKOLONI MAMBOLEO TUKIDHANI BASI HAWA WALIOSOMA WATAJUA JINSI YA KUDHIBITI

Lakini still msomi ww ulyesoma UK unausujudu uzungu badala ya uafrika wako ambao nfio uzao wako wa milele...... BADILIKA HUO NI USOMI FAKE UNAJIDHALILISHA NA KUONESHA WAZI KUWA HYO ELIMU YA UK UNAYOITAJA HAIJAKUSAIDIA KIFIKRA

Ha ha ha mkuu umenichekesha unadhani huyo hata form four kapass?

Hao wanaokula na nzi na kuishi ushenzini ubongo wao umejaa nta...
 
tena do not even dare again to compare those silly people so called bongo fleva na wasomi wewe, au kwa kuwa hawatangazi mali zao kwenye magazeti ya shigongo ndo maana una conclude kwa research yako ya chumbani kuwa ndomo ana pesa nyingi, tena ukome kijana iwe mara yako ya mwisho

hakuna tajiri aliyeajiliwa duniani
 
Huyo chokoraa mwenzio anayo ya chuo gani cha kata???

Ha ha ulivyo punguwani unafikiri viwango vya mishahara vinapangwa kwa mujibu wa umesoma Wapi!!! Ha ha ha usaha mliojaza vichwani unawaabisha Sana...

Mwenzio nimesoma..Nina kazi inayonipa kumudu maisha...Nina bima ya afya na nachangia mifuko ya pensheni yakunihakikishia siishi maisha ya kuomba omba milele....

Kama mziki ungekua tija bongo Mr. Nice ambae Domo hajaifikia record yake asingefulia Katu...

Kima level zako ni mada za mapenzi na nguo labda habari za vyuo huziwezi...

Formula yako ya maisha ni CHAKULA+POMBE+NGONO+MZIKI &VIGODORO tuu labda ukisafishwa huo usaha Wa kichwani unaweza think big ...

Nenda kasafishe nyota nawewe labda imechafuliwa maana ndo akili zenu zilipo maoisho huko kwenye nzi teh teh teh

Diamond atawagongengea Dada zenu mpaka mkome.wewe unadhani unaweza kumtongoza wema kwa kumuonyesha certificate zako.
 
Ha ha ha!mtvbase umenikoosha.....
watu wanajiboast kwa usimi wamejaa dharau,unafiki,matusi na lugha za kejeli sasa najiuliza,kati yao na dimondo nan ana uduni wa fikra!!
Wanamponda na kumtusi afu bado wanafatilia maisha yake na demu wake!Yani wanajua hadi mistari ya nyimbo zake!!Nimekerekwaaa eti maisha ya ushenzini!!Adharaulike msomi yeyote alojaa kejeli,chuki na wivu...huyo diamond hata hawafaham wala hawajui chuki zetu tuzielekeze kwenye kupambana na magonjwa,umasikini na ufukara wa fikra..!usomi wetu utusaidie sisi na jamii zetu katika jumuiya zilizotukuza..!Hata mkinitusi siwajui wajivuni nyie wala sitobishana ja nyie nimebanwa na banda langu la mbogamboga....keep it up Diamond watu roho zinawatoka juu yako kisa wivu na vijiba vya roho binafsi unaniburudisha!

tangu nijiunge jamii forums hii ni komenti mbovu kupita kiasi
 
Tena do not even dare again to compare those silly people so called bongo fleva na wasomi wewe, au kwa kuwa hawatangazi mali zao kwenye magazeti ya shigongo ndo maana una conclude kwa research yako ya chumbani kuwa ndomo ana pesa nyingi, tena ukome kijana iwe mara yako ya mwisho

Teh teh teh huyo kima anafanisha MTU aliyepata hela kwa kubahatisha na aliyepata hela kwa plan....
Uzao wa binamu nyama ya hamu ni laana tupu!!!
 
Back
Top Bottom