Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Tatizo la wasomi hawawezi kusimama wao kama wako(standing alone).
Na ndio wanaongoza kutoa matusi hapa JF utakuta mtu amesoma ana first class ya bcom UDSM,ana master ya finance mzumbe ana CPA jina kubwa wanamwita AUDITOR tena certified by NBAA.hizo ni sifa za macertificate njoo kazini ni butu mtupu hata income statement hajui kuandaa anachojua ni format.wazungu wanamshtukia kwa sababu wasome wote ni hivyohivyo wanampa ajira lakini wanambana mshahara wanampa mil.2 per month means mil.24 per year.
Sasa akisikia hiyo mil.24 diamond anaipata show moja ya Masaa machache ndio hapo povu linamtoka mara hajasoma Mara anauza madawa ya kulevya Mara malaya.sasa wewe ulitaka asipende wanawake wazuri apende mbuzi
Ndo umeandika nini hicho?
Wafanyakazi wote Wa taasisi hapa bongo wanafanyaje kazi??
Kama kupata mil 24 kwa show ni issue mbona anaishi maisha ya kishenzi tuu?
Ha ha ningeshangaa we kima Kama usingeongelea mademu wazuri maana ndo stori zenu huko majalalani unasugua gaga na maguta mijasho yote jioni unaenda kihonga Malaya asubuhi mnalia njaa...
Watoto Wa fungulia mbwa huwa hawatupi shida maana ramani ya safari ya maisha yao inajulikana..
Anatoka hapa anapita pale anafikia dimbwi anaanguka Kama fulushi..
Kupata hela ya show kubwa kwa wajalalani is not an issue wala haistui coz wengi wameishia kulekule walikoanzia....
Si tupo tu kwa ajili ya kutuchangisha michango mkishafulia maana akina Mr. Nice and the likes walikua mbali now wanapigwa jua tuu
Usije ukadhani mnatupa shida wakati tuna bima za maisha tunaishi maisha standard na hatutegemei MTU...