Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Atakugonga wewe unayemshobokea na ma nguchiro wenzio wote wanaomshobokea

Mimi simchobokei ila simuonei wivu kama kutwa kumfollow kwenye insta kujua amepost nini,ametembea na nani?safari ya fiesta aliongozana na nani halafu unadai umshobokei.je wewe anakufuatiliwa
 
Sawa we endelea kuwa mzalendo kuzidi wanasiasa.wanasiasa ni wanafiki sana kodi kubwa tunalipa sisi walalahoi wao wametunga sheria ambazo zinawafanya wasilipe kodi nyingi kama watz wa kawaida.mfano waajiriwa wote wanalipa kodi ya PAYE isipokuwa rais wa nchi je yeye sio muajiliwa wa jamhuri au sio raia Wa tz.wastaafu wote wanakatwa kodi za mafao yao lakini wabunge wamejiwekea kinga kwamba wakimaliza kipindi cha bunge cha miaka 5 Yale mafao yao hayakatwi kodi yoyote sijawahi kumsikia wakati mwl wa s/msingi anayestaafu baada na kupewa mil.30 wanamkata kodi huyu mbunge anayepewa mil.60 tena kwa miaka 5 hakatwi kodi.yaani ningekuchambulia hapa ni mambo mengi wanasiasa wamejipa kinga ya kodi halafu sisi walalahoi ndio tunalipa.uzalendo upo wapi?

Kwa hyo ww unafanya hivyo kwa sababu wengine wanafanya.. Kwa lugha rahisi huongozwi na utashi wako ila unaongozwa na utashi wa wengine poleeeee......

Msomi wa kweli anakuwa na msimamo binafsi wa kofikra.. Hayumbishwi na matendo ya wengine

Mana hata huko pepon sifhani kama Mwenyezi Mungu anapokea utetezi wa namna hii

hata mahakamani hpa dunian utetez wa namna hii haukubaliki

kusaidia tax avoidance ni dhuluma na uhujumu wa uchumi.. Sasa kama elimu yko unaitumia kuhujumu uchumi basi tuseme jamii haikuwa na sababu ya kukupeleka shule

ni sawa na diamond anayetumia umaarufu wake kubadilisha wanawake mtaani na kuendekeza ngono

wakti wengine wanatumia umaarufu wao kuisaidia jamii kukabiliana na changamoto mbalimbali za ulimwengu
 
We unikome mi sio kichwa hewa ni wewe wa uswahili kwanza sisikilizagi huo ujinga na nyimbo za uswahili kama wewe na vigodoro vyenu huko huko uswahili kwenu mxiiiiiiiew

Ahah kwani we si ndo mdau wa hizo nyimbo mbona inageuka sasa.. Ahahah kweli ww hamna kitu
 
Mimi simchobokei ila simuonei wivu kama kutwa kumfollow kwenye insta kujua amepost nini,ametembea na nani?safari ya fiesta aliongozana na nani halafu unadai umshobokei.je wewe anakufuatiliwa

Sasa nani anayemfollow au kumlike diamond hapa...... Mimi na akili zangu nimfollow diamond.. Nitapata wazo gan jipya kwake labda?
 
Ahah kwani we si ndo mdau wa hizo nyimbo mbona inageuka sasa.. Ahahah kweli ww hamna kitu

Unaumwa eeh unitue bi shosti kwendraaaaa huko we si umesema wa uswahili mwenyewe kasikilize na domo mukiwa naye mana ndo mswahili mwenzako
 
Napita tuh...
Lkn naona dimondo alivyowakusanya. Dogo kawatoa madani kabisa, duuuh. Kweli mnyonge mnyongeni haki yake......
 
Nimepitia comments nyingi umu...ila nimeona jinsi wasomi wa kibongobongo akili zao zinavyowakilishwa na lusungo na mudakwapa....Yani ushamba ni mzigo sana,mjini hapa unajivunia vyeti wakati watu wanaheshimu pesa? kweli kuna haja watu wakitoka udsm mzumbe sua ifm wafundishwe na shortcourse ya ujanja...mtu upo mjini na unajiita msomi alafu unajitamba umeajiriwa duh kweli acha wamchukie diamond .
 
Kwa hyo ww unafanya hivyo kwa sababu wengine wanafanya.. Kwa lugha rahisi huongozwi na utashi wako ila unaongozwa na utashi wa wengine poleeeee......

Msomi wa kweli anakuwa na msimamo binafsi wa kofikra.. Hayumbishwi na matendo ya wengine

Mana hata huko pepon sifhani kama Mwenyezi Mungu anapokea utetezi wa namna hii

hata mahakamani hpa dunian utetez wa namna hii haukubaliki

kusaidia tax avoidance ni dhuluma na uhujumu wa uchumi.. Sasa kama elimu yko unaitumia kuhujumu uchumi basi tuseme jamii haikuwa na sababu ya kukupeleka shule

ni sawa na diamond anayetumia umaarufu wake kubadilisha wanawake mtaani na kuendekeza ngono

wakti wengine wanatumia umaarufu wao kuisaidia jamii kukabiliana na changamoto mbalimbali za ulimwengu

Mkuu nilichokuwa namaanisha ni kwamba wasomi wengi Tanzania elimu zao ni za kukrem sio za kuelewa na ndio hawa wanaishia kutambia mtaani Mimi nina masters,sijui Mimi nina degree ya Udsm.waambie wajiajiri kwa kutumia elimu zao hawawezi.
 
Tutajie angalau mmoja mwenye CPA na hajui kuandaa income statement maana hata mimi mwenye degree ya mgt ya rasilimali watu najua kuandaa INCOME STATEMENT hivyo acha kupotosha umma

pili taja show gani ambayo diamond alilipwa milion 24 Au msanii yeyote wa muziki ambye analipwa m 24 kwa show moja... Otherwise kiri kuwa umepotosha

kinachonzungumzwa hapa ni kitu rahisi sana.. Kwamba unapokuwa msanii maarufu ni vema ukajitambua na kufanya mambo ambyo kama utainfluence wengine yasilete madhara

sasa umetoka katka familia maskini.. Umekuwa msanii maarufu ukaanza kujipatia vijisent... Then ukaona sasa huu ni wakti wa kuendeleza uzinzi.. MAANA YAKE KAMA KIOO CHA JAMII UNAWAFUNDISHA VIJANA AMBAO WANAKUBALI KAZI ZAKO KUWA UKIYAPATIA MAISHA BASI KINACHOBAKI NI NGONO TU NA KUBADILI WANAWAKE KILA UCHAO....

KIMSINGI msanii anayejitambua anaitumia hadhi yake vxuri.. Anajitambua yy ni nani na mawazo au matendo yake yanaaffect vp jamii.. Baada ya hapo atajitahidi kuishi maisha ambyo hayataleta negative impacts kwa jamii hasa kwa wale mashabiki wake..... Ambao hata wakiiga matendo yake bas watajikuta wapo mikono salama...

Big up kwa PROFESA JAY. BANANA ZORRO. MRISHO MPOTO. LADY JAY DEE... MARLAW.. nk

poor DIAMOND. WEMA SEPETU. JOKATE. AUNT EZEKIEL. REHEMA CHALAMILA RAY. ELIZABETH MICHAEL LULU.. NA WENGINEO WANOFANANA NAO

BADILIKENI KABLA ULIMWENGU HAUJAWAHUKUMU
thanx umemalizaaaaa......!!!!
 
anaweza kua kichwa lakini ni empty set

diamond kaanzia from zero katokea kwenye maisha ya chini mno.kwa Tanzania ya sasahivi ya mfumo Wa kibepari ni ngumu sana haswa kwa darasa la saba.huyo Mwana f.a kasoma adv.diploma ya insurance and risk management akaenda u.k kusomea masters ya finance lakini ameachwa mbali kimafanikio na diamond
 
Unaumwa eeh unitue bi shosti kwendraaaaa huko we si umesema wa uswahili mwenyewe kasikilize na domo mukiwa naye mana ndo mswahili mwenzako

Ahaha kamgeuka msanii wake...
Ni heri umepunguza ushabiki vingnevyo ungekuwa kwenye list yake mana kimoyomoyo unaonekana wazi kabisa unamshobokea dadamondd sijui ndo mnakutana kwenye hiko kigodoro ulichotaja ahaha
 
Ahahahaa huyo achana nae ndo wale wale wanafikiri kutumia tundu la nyuma, kutembea na malaya wa jiji wema basi wanajiona wajanja, basi akamgonge na kim tumuone kwel yeye sukar ya warembo

Ha ha ha kwa lipi ?? Domo kubwa Kama lambo au???

Si atamjazia inzi mwenzie ashindwe kula?
 
diamond kaanzia from zero katokea kwenye maisha ya chini mno.kwa Tanzania ya sasahivi ya mfumo Wa kibepari ni ngumu sana haswa kwa darasa la saba.huyo Mwana f.a kasoma adv.diploma ya insurance and risk management akaenda u.k kusomea masters ya finance lakini ameachwa mbali kimafanikio na diamond

una hakika kuwa mwana FA ana mafanikio madogo kuliko diamond... Au unataka msomi awe mista misifa kama dadamond.. Msomi ana sifa ya pekee ambyo inamtofautisha na mtu ambye hajasoma hasa ktk life style
 
Mkuu nilichokuwa namaanisha ni kwamba wasomi wengi Tanzania elimu zao ni za kukrem sio za kuelewa na ndio hawa wanaishia kutambia mtaani Mimi nina masters,sijui Mimi nina degree ya Udsm.waambie wajiajiri kwa kutumia elimu zao hawawezi.

Lengo la elimu si kujiaijiri tu au kuajiriwa tu.... Kuna mambo mengi mtambuka ktk elimu.. Hivyo huwez mpima.msomi ktk msingi wa kujiajiri pekee maana kujiajiri hata asyesoma anajiajiri... Maana hata kulima shamba ni kujiajiri
 
Back
Top Bottom