matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
hakuna tajiri aliyeajiliwa duniani
we kweli shule ipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna tajiri aliyeajiliwa duniani
Atakugonga wewe unayemshobokea na ma nguchiro wenzio wote wanaomshobokea
Sawa we endelea kuwa mzalendo kuzidi wanasiasa.wanasiasa ni wanafiki sana kodi kubwa tunalipa sisi walalahoi wao wametunga sheria ambazo zinawafanya wasilipe kodi nyingi kama watz wa kawaida.mfano waajiriwa wote wanalipa kodi ya PAYE isipokuwa rais wa nchi je yeye sio muajiliwa wa jamhuri au sio raia Wa tz.wastaafu wote wanakatwa kodi za mafao yao lakini wabunge wamejiwekea kinga kwamba wakimaliza kipindi cha bunge cha miaka 5 Yale mafao yao hayakatwi kodi yoyote sijawahi kumsikia wakati mwl wa s/msingi anayestaafu baada na kupewa mil.30 wanamkata kodi huyu mbunge anayepewa mil.60 tena kwa miaka 5 hakatwi kodi.yaani ningekuchambulia hapa ni mambo mengi wanasiasa wamejipa kinga ya kodi halafu sisi walalahoi ndio tunalipa.uzalendo upo wapi?
Ukiniambie niongelee shule mi nitaongelea upande wa finance tu maana ndio upande wangu siwezi nikaongelea sociology wakati siijui.ila diamond watu wanamuonea wivu sana haswa wasomi
We unikome mi sio kichwa hewa ni wewe wa uswahili kwanza sisikilizagi huo ujinga na nyimbo za uswahili kama wewe na vigodoro vyenu huko huko uswahili kwenu mxiiiiiiiew
Mimi simchobokei ila simuonei wivu kama kutwa kumfollow kwenye insta kujua amepost nini,ametembea na nani?safari ya fiesta aliongozana na nani halafu unadai umshobokei.je wewe anakufuatiliwa
Diamond ni kichwa Mara 100 zaidi yako.
Ahah kwani we si ndo mdau wa hizo nyimbo mbona inageuka sasa.. Ahahah kweli ww hamna kitu
Kwa hyo ww unafanya hivyo kwa sababu wengine wanafanya.. Kwa lugha rahisi huongozwi na utashi wako ila unaongozwa na utashi wa wengine poleeeee......
Msomi wa kweli anakuwa na msimamo binafsi wa kofikra.. Hayumbishwi na matendo ya wengine
Mana hata huko pepon sifhani kama Mwenyezi Mungu anapokea utetezi wa namna hii
hata mahakamani hpa dunian utetez wa namna hii haukubaliki
kusaidia tax avoidance ni dhuluma na uhujumu wa uchumi.. Sasa kama elimu yko unaitumia kuhujumu uchumi basi tuseme jamii haikuwa na sababu ya kukupeleka shule
ni sawa na diamond anayetumia umaarufu wake kubadilisha wanawake mtaani na kuendekeza ngono
wakti wengine wanatumia umaarufu wao kuisaidia jamii kukabiliana na changamoto mbalimbali za ulimwengu
thanx umemalizaaaaa......!!!!Tutajie angalau mmoja mwenye CPA na hajui kuandaa income statement maana hata mimi mwenye degree ya mgt ya rasilimali watu najua kuandaa INCOME STATEMENT hivyo acha kupotosha umma
pili taja show gani ambayo diamond alilipwa milion 24 Au msanii yeyote wa muziki ambye analipwa m 24 kwa show moja... Otherwise kiri kuwa umepotosha
kinachonzungumzwa hapa ni kitu rahisi sana.. Kwamba unapokuwa msanii maarufu ni vema ukajitambua na kufanya mambo ambyo kama utainfluence wengine yasilete madhara
sasa umetoka katka familia maskini.. Umekuwa msanii maarufu ukaanza kujipatia vijisent... Then ukaona sasa huu ni wakti wa kuendeleza uzinzi.. MAANA YAKE KAMA KIOO CHA JAMII UNAWAFUNDISHA VIJANA AMBAO WANAKUBALI KAZI ZAKO KUWA UKIYAPATIA MAISHA BASI KINACHOBAKI NI NGONO TU NA KUBADILI WANAWAKE KILA UCHAO....
KIMSINGI msanii anayejitambua anaitumia hadhi yake vxuri.. Anajitambua yy ni nani na mawazo au matendo yake yanaaffect vp jamii.. Baada ya hapo atajitahidi kuishi maisha ambyo hayataleta negative impacts kwa jamii hasa kwa wale mashabiki wake..... Ambao hata wakiiga matendo yake bas watajikuta wapo mikono salama...
Big up kwa PROFESA JAY. BANANA ZORRO. MRISHO MPOTO. LADY JAY DEE... MARLAW.. nk
poor DIAMOND. WEMA SEPETU. JOKATE. AUNT EZEKIEL. REHEMA CHALAMILA RAY. ELIZABETH MICHAEL LULU.. NA WENGINEO WANOFANANA NAO
BADILIKENI KABLA ULIMWENGU HAUJAWAHUKUMU
anaweza kua kichwa lakini ni empty set
Unaumwa eeh unitue bi shosti kwendraaaaa huko we si umesema wa uswahili mwenyewe kasikilize na domo mukiwa naye mana ndo mswahili mwenzako
Ahahahaa huyo achana nae ndo wale wale wanafikiri kutumia tundu la nyuma, kutembea na malaya wa jiji wema basi wanajiona wajanja, basi akamgonge na kim tumuone kwel yeye sukar ya warembo
diamond kaanzia from zero katokea kwenye maisha ya chini mno.kwa Tanzania ya sasahivi ya mfumo Wa kibepari ni ngumu sana haswa kwa darasa la saba.huyo Mwana f.a kasoma adv.diploma ya insurance and risk management akaenda u.k kusomea masters ya finance lakini ameachwa mbali kimafanikio na diamond
Ahaha kamgeuka msanii wake...
Mkuu nilichokuwa namaanisha ni kwamba wasomi wengi Tanzania elimu zao ni za kukrem sio za kuelewa na ndio hawa wanaishia kutambia mtaani Mimi nina masters,sijui Mimi nina degree ya Udsm.waambie wajiajiri kwa kutumia elimu zao hawawezi.
Unachekesha tu nothing new