Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nacheka hapa kama mwehu
tehtehteh haaaaaa A!!ungekua unachunguza biblia kama unavochunguza maisha ya watu ungeshapaa mbinguni kitambo kama henoko
Naona mapicha picha tuPart 4 . . She kept lying , playing victim na mie nilivokuwa soft I was like I want her to be big and powerful !!!! . . She lied kuhusu Zamaradi kuja kuujua ukweli chaumbea nikaendelea kuficha !!!! She can lie and pretend like she z an angle !!!! She can manipulate people like she z about to die kumbe wote na mamake ni cornartist !!!! Nilipowashtukia nikaanza screenshot every evidence !!!! . . Anyway turudi kwa Mkongo , jamaa kamdanganya kaja Kamlala Hyat akasepa !!!! Nikaenda muuliza mama Ndoa ipo Au haipo guess jibu likawaje 🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️ Jamaaa Tapel yule !!!! . . Well nikaendelea kupromote na kuficha izo Aibu !!!! Then Team Misa uko Tz wakaplan Charity Event kwenye birthday ya Misa !!!! . . Mama akaja DM kuwa tumchangie Au niipost watu wachange kuhusu hiyo charity !!!! Nikagoma nikasema sichangishi watu tena !!! Nikaongea na diaspora tukamtumia mama Kama milion !!!! . . Watoto wa watu Tz budget imekuwa tight , wakaja nieleza kuwa wanahitaji msaada wa transport coz wameorganize charity but budget imekuwa ndogo !!!! Nikawambia Diaspora tumempa mama pesa ya charity mwambie awape !!!! Mama akawajibu atawachangia 50,000 Tu 🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️ so sadaqa yetu ilienda kwenye pombe !!!! . . I didn't give up !!! Akina kocho wakaanda birthday dinner , mie nikawambia diaspora wamsupport mama kwenye hiyo dinner , bus group likajichanga Tena , Million zikatumwa guess what ??? Mama hakutoa hata 100 kwenye hiyo dinner so alitutapel na hakuwasaidia kina kocho !!!! . . Still nikasema okey so mama anashida na pesa tufanyeje ili Misa astand out kama very rich na powerful celebrity ??? . . Nikimtafuta Misa , yuko sijui na bwana gani Yaani ni kudanga na kukuletea Screenshot ili uchambe watu but therez nothing positive comes out of her !!!! . . So nikasema nitaondoka kimya na kusupport wasanii mbali mbali kimya kimya !!!!! Sitaki tena kumpenda sana msanii coz wasanii wa tz ni umalaya kazi hawataki kufanya !!!!! . . But matusi niliotukanwa yamezidi , mmenitukana sana , kila mtu achukue time zake kimya kimya !!!!! Sitapost chat zozote !!! Naomba mnipumzishe !!!! Na mnaosema nimehamia team nandy mnakosea !!!! Nandy alikuwa na new song so I dedicated two week
Naona mapicha picha tu
Yaani ukombozi wa nchi hii utakawia sana... ndio maana hata wanasiasa wanatufanya watakavyo.. Yani hela ya mwingine ikuume wewe kweli? this is sad reallyKwa habari za chini ya kapeti ni kwamba baba wa kambo wa Diamond Platnumz Mr Shamte anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mchepuko wake mbali na bi Sandra.
Ila ndio hivyo Bi Sandra haoni wala hasikii kwa Shamte yaani anampenda kupitiliza na yupo tayari kufanya lolote ili amridhishe Shamte wakati Shamte hana mapenzi ya dhati na pesa anazohongwa na Bi Sandra huwa na yeye anahonga vimada wengine.
Miongoni mwa watu wanaokula pesa za Diamond Platnumz ni huyu Shamte jambo ambalo linaniuma sana,
Hivi ni kwa nini asimsaidie baba yake mzazi? Yani kweli anakubali kushikwa masikio na mama yake, anakubali kutomsaidia baba yake mzazi na badala yake hizo pesa zinaliwa na Shamte mtu ambaye hajui shida zozote walizopitia zaidi ya kuona tu mafanikio yao, daaah inasikitisha sana kwa kweli, kuna uwezekano na ndumba pia imetumika hapa maana si bure.
Mzee Abdul mwenyewe ukikaa naye anapenda kukusimulia jinsi walivyokuwa wanapendana na Bi Sandra ,jinsi walivyokuwa wanaimbiana nyimbo mbalimbali za mapenzi haswa ile ya "ASUUU" .
View attachment 1014833View attachment 1014834
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sentensi ina utata ndani yake, inamaana yupo tayari hata kutoa .............yupo tayari kufanya lolote ili amridhishe Shamte
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Nacheka hapa kama mwehu