Penzi la kitapeli kati ya Mama Dangote na Mr Shamte

Penzi la kitapeli kati ya Mama Dangote na Mr Shamte

Kwakweli huwa nikisoma habari za huyu mama nasikia aibu sana aiseee...
Kifupi huwa ...sipendezwi na aina ya maisha ya mitandao aliyo yachagua..
 
Part 4 . . She kept lying , playing victim na mie nilivokuwa soft I was like I want her to be big and powerful !!!! . . She lied kuhusu Zamaradi kuja kuujua ukweli chaumbea nikaendelea kuficha !!!! She can lie and pretend like she z an angle !!!! She can manipulate people like she z about to die kumbe wote na mamake ni cornartist !!!! Nilipowashtukia nikaanza screenshot every evidence !!!! . . Anyway turudi kwa Mkongo , jamaa kamdanganya kaja Kamlala Hyat akasepa !!!! Nikaenda muuliza mama Ndoa ipo Au haipo guess jibu likawaje [emoji2364][emoji2364][emoji2364] Jamaaa Tapel yule !!!! . . Well nikaendelea kupromote na kuficha izo Aibu !!!! Then Team Misa uko Tz wakaplan Charity Event kwenye birthday ya Misa !!!! . . Mama akaja DM kuwa tumchangie Au niipost watu wachange kuhusu hiyo charity !!!! Nikagoma nikasema sichangishi watu tena !!! Nikaongea na diaspora tukamtumia mama Kama milion !!!! . . Watoto wa watu Tz budget imekuwa tight , wakaja nieleza kuwa wanahitaji msaada wa transport coz wameorganize charity but budget imekuwa ndogo !!!! Nikawambia Diaspora tumempa mama pesa ya charity mwambie awape !!!! Mama akawajibu atawachangia 50,000 Tu [emoji2364][emoji2364][emoji2364] so sadaqa yetu ilienda kwenye pombe !!!! . . I didn't give up !!! Akina kocho wakaanda birthday dinner , mie nikawambia diaspora wamsupport mama kwenye hiyo dinner , bus group likajichanga Tena , Million zikatumwa guess what ??? Mama hakutoa hata 100 kwenye hiyo dinner so alitutapel na hakuwasaidia kina kocho !!!! . . Still nikasema okey so mama anashida na pesa tufanyeje ili Misa astand out kama very rich na powerful celebrity ??? . . Nikimtafuta Misa , yuko sijui na bwana gani Yaani ni kudanga na kukuletea Screenshot ili uchambe watu but therez nothing positive comes out of her !!!! . . So nikasema nitaondoka kimya na kusupport wasanii mbali mbali kimya kimya !!!!! Sitaki tena kumpenda sana msanii coz wasanii wa tz ni umalaya kazi hawataki kufanya !!!!! . . But matusi niliotukanwa yamezidi , mmenitukana sana , kila mtu achukue time zake kimya kimya !!!!! Sitapost chat zozote !!! Naomba mnipumzishe !!!! Na mnaosema nimehamia team nandy mnakosea !!!! Nandy alikuwa na new song so I dedicated two week
Hivi huyu original east ni Mange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha pesa yangu ni ya kula Milo 3 ya nguvu kila cku, kubadilisha nguo, akiba, na kujiunga mb's kila cku, pamoja na kiwango kidogo cha pesa nlichonacho, lkn hawa wadada wanakitaka hicho hicho..na usipotoa pesa mapenzi yanaisha papo hapo Khantwe
Basi naomba nijiweke walau niwe nakula mitatu maana kwa sasa nakula mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom