Nilijua huu wakati utafika ila sikudhani itakuwa mapema hiviTeam pugi wameanza geukana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua huu wakati utafika ila sikudhani itakuwa mapema hiviTeam pugi wameanza geukana
Nilijua huu wakati utafika ila sikudhani itakuwa mapema hivi
Daah tusio na insta tunakosa mengi walahPart 4 . . She kept lying , playing victim na mie nilivokuwa soft I was like I want her to be big and powerful !!!! . . She lied kuhusu Zamaradi kuja kuujua ukweli chaumbea nikaendelea kuficha !!!! She can lie and pretend like she z an angle !!!! She can manipulate people like she z about to die kumbe wote na mamake ni cornartist !!!! Nilipowashtukia nikaanza screenshot every evidence !!!! . . Anyway turudi kwa Mkongo , jamaa kamdanganya kaja Kamlala Hyat akasepa !!!! Nikaenda muuliza mama Ndoa ipo Au haipo guess jibu likawaje [emoji2364][emoji2364][emoji2364] Jamaaa Tapel yule !!!! . . Well nikaendelea kupromote na kuficha izo Aibu !!!! Then Team Misa uko Tz wakaplan Charity Event kwenye birthday ya Misa !!!! . . Mama akaja DM kuwa tumchangie Au niipost watu wachange kuhusu hiyo charity !!!! Nikagoma nikasema sichangishi watu tena !!! Nikaongea na diaspora tukamtumia mama Kama milion !!!! . . Watoto wa watu Tz budget imekuwa tight , wakaja nieleza kuwa wanahitaji msaada wa transport coz wameorganize charity but budget imekuwa ndogo !!!! Nikawambia Diaspora tumempa mama pesa ya charity mwambie awape !!!! Mama akawajibu atawachangia 50,000 Tu [emoji2364][emoji2364][emoji2364] so sadaqa yetu ilienda kwenye pombe !!!! . . I didn't give up !!! Akina kocho wakaanda birthday dinner , mie nikawambia diaspora wamsupport mama kwenye hiyo dinner , bus group likajichanga Tena , Million zikatumwa guess what ??? Mama hakutoa hata 100 kwenye hiyo dinner so alitutapel na hakuwasaidia kina kocho !!!! . . Still nikasema okey so mama anashida na pesa tufanyeje ili Misa astand out kama very rich na powerful celebrity ??? . . Nikimtafuta Misa , yuko sijui na bwana gani Yaani ni kudanga na kukuletea Screenshot ili uchambe watu but therez nothing positive comes out of her !!!! . . So nikasema nitaondoka kimya na kusupport wasanii mbali mbali kimya kimya !!!!! Sitaki tena kumpenda sana msanii coz wasanii wa tz ni umalaya kazi hawataki kufanya !!!!! . . But matusi niliotukanwa yamezidi , mmenitukana sana , kila mtu achukue time zake kimya kimya !!!!! Sitapost chat zozote !!! Naomba mnipumzishe !!!! Na mnaosema nimehamia team nandy mnakosea !!!! Nandy alikuwa na new song so I dedicated two week
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyo Mkuu hzi hela za chibu zinakuuma enhee?
Halafi mtu anakuja anasema kiswahili kifundishwe mpaka chuo kikuu. Yule mama aibu nimeona mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]She will eat the money send me to my glam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]in mama pugi's voice
Wallah nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]She will eat the money send me to my glam😂😂😂😂😂in mama pugi's voice
Halafi mtu anakuja anasema kiswahili kifundishwe mpaka chuo kikuu. Yule mama aibu nimeona mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aibu jamani. Ila kubwa kuliko yote kula hela za ada za watoto wa madrasa. Kuna watu wana roho mbaya jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameumbuliwa hadi huruma. Kiswahili kiishie tu primary
Aibu jamani. Ila kubwa kuliko yote kula hela za ada za watoto wa madrasa. Kuna watu wana roho mbaya jamani
Yule ni mange kabisa anang'ata huku anapuliza huku. Na mashabiki zake nao walijitoa usikute nyumban kwao hawatoi hata 100 lakini wakajikakamaza michango kwa mtu bakiMashauzi yote yale mafotoshoot,kwenda marekani kumbe hela za watu aiseee kweli sikukosea kuwaita misukule mashabiki wa pugi.
Halafu kuna mbulula zitakuja kubisha kuwa orijinofool sio mange daah.
Yule ni mange kabisa anang'ata huku anapuliza huku. Na mashabiki zake nao walijitoa usikute nyumban kwao hawatoi hata 100 lakini wakajikakamaza michango kwa mtu baki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani tununu jamani. Yote tisa, kumi la mama na mwana kutoaminiana. Wale hawakawii kuibiana madangaNa kawashika akili balaa wamebaki kugawanyika wanaokataa sio yeye na wanaokubali kwa huzuni
Wajinga wale daah eti wanachanga mara million mara laki saba khaa picha ya party ya birthday wa kawaida mno umaskini umewajaa,badala ya hizo hela wafanyie mambo yao wao wakaenda kuzitupa kwa tununu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani tununu jamani. Yote tisa, kumi la mama na mwana kutoaminiana. Wale hawakawii kuibiana madanga
Sijui ana shida gani yule binti. Si atafute bwana wa kwake peke yake naye apendweNdo zao hao,naona ka bwana alikoiba juzi kwa mbwembwe kamesharudi kwa tahiya
Ila tukatae tukubali Zari ana Mungu mkali Sana, Hamisa kavurugwa Ile mbaya.Halafu Mange ni zaidi ya shetani ukishirikiana nae tu lazma akuzamishe