Penzi la kitapeli kati ya Mama Dangote na Mr Shamte

Daah tusio na insta tunakosa mengi walah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameumbuliwa hadi huruma. Kiswahili kiishie tu primary
Halafi mtu anakuja anasema kiswahili kifundishwe mpaka chuo kikuu. Yule mama aibu nimeona mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameumbuliwa hadi huruma. Kiswahili kiishie tu primary
Aibu jamani. Ila kubwa kuliko yote kula hela za ada za watoto wa madrasa. Kuna watu wana roho mbaya jamani
 
Mashauzi yote yale mafotoshoot,kwenda marekani kumbe hela za watu aiseee kweli sikukosea kuwaita misukule mashabiki wa pugi.

Halafu kuna mbulula zitakuja kubisha kuwa orijinofool sio mange daah.

Yule ni mange kabisa anang'ata huku anapuliza huku. Na mashabiki zake nao walijitoa usikute nyumban kwao hawatoi hata 100 lakini wakajikakamaza michango kwa mtu baki
 
Na kawashika akili balaa wamebaki kugawanyika wanaokataa sio yeye na wanaokubali kwa huzuni

Wajinga wale daah eti wanachanga mara million mara laki saba khaa picha ya party ya birthday wa kawaida mno umaskini umewajaa,badala ya hizo hela wafanyie mambo yao wao wakaenda kuzitupa kwa tununu.
Yule ni mange kabisa anang'ata huku anapuliza huku. Na mashabiki zake nao walijitoa usikute nyumban kwao hawatoi hata 100 lakini wakajikakamaza michango kwa mtu baki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani tununu jamani. Yote tisa, kumi la mama na mwana kutoaminiana. Wale hawakawii kuibiana madanga
 
Ila tukatae tukubali Zari ana Mungu mkali Sana, Hamisa kavurugwa Ile mbaya.Halafu Mange ni zaidi ya shetani ukishirikiana nae tu lazma akuzamishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] enzi hizo ungeporomoshewa mapovu kama yote saiv watoa mapovu wamejificha kwa aibu
Ila tukatae tukubali Zari ana Mungu mkali Sana, Hamisa kavurugwa Ile mbaya.Halafu Mange ni zaidi ya shetani ukishirikiana nae tu lazma akuzamishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…