Penzi la kitapeli kati ya Mama Dangote na Mr Shamte

Mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Na pia yule anaendeshwa na mama yake kwa kila kitu so madanga yenye hela ndio wanaopendwa na mama pugi
Sijui ana shida gani yule binti. Si atafute bwana wa kwake peke yake naye apendwe
 
Kwakweli huwa nikisoma habari za huyu mama nasikia aibu sana aiseee...
Kifupi huwa ...sipendezwi na aina ya maisha ya mitandao aliyo yachagua..
 
Hivi huyu original east ni Mange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha pesa yangu ni ya kula Milo 3 ya nguvu kila cku, kubadilisha nguo, akiba, na kujiunga mb's kila cku, pamoja na kiwango kidogo cha pesa nlichonacho, lkn hawa wadada wanakitaka hicho hicho..na usipotoa pesa mapenzi yanaisha papo hapo Khantwe
Basi naomba nijiweke walau niwe nakula mitatu maana kwa sasa nakula mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…